Acha makasiriko Kwanini waislamu mda wote mnamakasiriko Yani mioyo yenu Haina amani kabisa ,
Anaepinga Allah kiti chake kuwa juu ya maji ni muislamu mwenzako
professional Driver anawasiwasi kwamba Allah kakiamisha kiti ila ana andiko lolote la kumsupport wasiwasi wake
Uthibitisho huu hapa
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water.
Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
ww ndio una makasiriko na chuki dhidi ya uislamu.
Huwa unaanzisha hoja za copy & paste ili kuukejeli na kuukashifu uislamu.
Na hunaga hoja za msingi ila ni ubishi na chuki ndio zinazokusumbua.
Walishindwa waarabu wanaojua lugha ya Qur’an ( kiarabu) ije kuwa ww hata kiarabu hujui. You are just wasting your time, ww unatumika tu kama ubao wakuwaleta watu ktk Nuru wakat ww ukibaki kuwa mweusi kwa ubishi na chuki dhidi ya uislamu.
Halafu hapo, professional driver ww hujamuelewa tu.
Hajakubali wala hajapinga. Anahitaji ushahidi ya unachokisema.
Shida yako ww unalazimisha vitu ambavyo huna ushahidi navyo. Ukiombwa aya wapi arshi ya Allah bado ipo juu ya maji, huna 😀.
Uislamu huwa unaenda kwa evidence sio kama ukristo wenu, kila mtu anajipangia kitu chochote anachokitaka.
“ If no evidence no right to speak”.
Turudi kwenye mada.
Hiyo hadithi ulotoa bado inazungumzia before the creation of the heavens and the earth, the Arsh of Allah was over the water.
Still, bado ni past tense.
Tupe aya sasa ambayo inasema, “
after creation of the heavens and earth the Arsh of Allah is still on water “