Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Hujathibitisha Kwanza kama kipo. Nitakwambiaje kama alikiamisha

Thibitisha kama kipo kwanza

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uthibitisho huu hapa
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
 
Alivyo kiumba akakiacha hapo hapo ?
Au maana yeye anasema kiti chake kilikuwa kwenye juu ya maji baada ya hapo hakuna anae jua kama kipo hapo hapo au hapana

Hata wewe umeumbwa kwenye tumbo la mama yako je bado upo kwenye tumbo la mama yako
Nimekupa mfano hai hapo. Ili ujue kua kuna kuokoteza na elimu.

Wewe unaokoteza lkn huna elimu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Alivyo kiumba akakiacha hapo hapo ?
Au maana yeye anasema kiti chake kilikuwa kwenye juu ya maji baada ya hapo hakuna anae jua kama kipo hapo hapo au hapana
Mimi nimethibitisha kwa maandiko kipo juu ya maji wewe unamadai kilihamishwa embu thibitisha
 
Hakuna maandiko yanayosema kipo juu ya maji bhana hujui kusoma au

Hadithi ina sema amekiumba juu ya maji aya ikaja ikasema ,Kilikua juu ya maji hapo inatoa tafsiri ya hadithi kua wakati ana kiumba kilikuwa juu ya maji na baada ya hapo Allah ndie anajua kiko wapi sasa

Au mwenzetu una elimu ya yasio onekana maana naona una lazimisha jambo liwe utakavyo wewe na sio huyo Mungu.

Wala sijasema kama kimeamishwa na wewe pia huna uthibitisho kama kipo huko huko vilevile

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna maandiko yanayosema kipo juu ya maji bhana hujui kusoma au

Hadithi ina sema amekiumba juu ya maji aya ikaja ikasema ,Kilikua juu ya maji hapo inatoa tafsiri ya hadithi kua wakati ana kiumba kilikuwa juu ya maji na baada ya hapo Allah ndie anajua kiko wapi sasa
NI andiko gani linasema alikiamisha ?
 
Aya inasema kilikuwa juu ya maji baada ya hapo kilipo anajua ALLAH
Hiyo ni elimu ya ghaibu ambayo mwanadamu hawezi tambua

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama umejua kilikuwa juu ya maji , alafu unasema baada ya hapo , hii maana yake unamadai kiliamishwa na hujui kilipo , Nakutaka uweke andiko kiliamishwa ata kama andiko alisemi kilipo pelekwa weka humu?

Ukishindwa kitaendelea kuwa juu ya maji
 
Sawa hayo ni mawazo yako hayabadilishi ukweli maana hata wewe unae sema kipo juu ya maji huna andiko

Hivyo ni sawa tu na kukubali kujiongopea mwenyewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sina wasiwasi pia wewe huna ilo andiko.

Wewe baki na uo uelewa wako usio na ushahidi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unapinga hakipo juu ya maji au unakubali kipo juu ya , au haujui kilipo ?

Andiko linaonesha kipo juu ya maji na hakuna andiko uliloweka likionesha kinyume na andiko la juu ya maji

Kwa Nini hautaki Allah akae Kwenye kiti juu ya maji? Au wasiwasi wako atazama
 
Tatizo unalazimisha lisilo kuwepo mimi nisha kwambia huna andiko wewe unasema lipo umelitoa wapi?
Alafu unapo sema ita zama aya tupe muongozo hiyo Arsh ya ALLAH ikoje?
Tupe sifa ya hiyo Arsh ya ALLAH hapa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimeweka andiko kipo juu ya maji , wewe unawasiwasi kiliamishwa ila huna andiko
Andiko ulotoa linasema,”and His throne was on the water…”
Ametumia past tense, ilikuwa juu ya maji.
Sasa wewe toa aya inayosema, “and His throne is on the water” ikimaanisha ni present continuos, kitu kinachoendelea ili hoja yako iwe na mashiko.

Na hata kama bado ipo juu ya maji, so what?
 
Acha makasiriko Kwanini waislamu mda wote mnamakasiriko Yani mioyo yenu Haina amani kabisa ,

Anaepinga Allah kiti chake kuwa juu ya maji ni muislamu mwenzako professional Driver anawasiwasi kwamba Allah kakiamisha kiti ila ana andiko lolote la kumsupport wasiwasi wake

Uthibitisho huu hapa
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
 
mimi nisha kwambia huna andiko wewe unasema lipo umelitoa wapi?

ww ndio una makasiriko na chuki dhidi ya uislamu.
Huwa unaanzisha hoja za copy & paste ili kuukejeli na kuukashifu uislamu.
Na hunaga hoja za msingi ila ni ubishi na chuki ndio zinazokusumbua.
Walishindwa waarabu wanaojua lugha ya Qur’an ( kiarabu) ije kuwa ww hata kiarabu hujui. You are just wasting your time, ww unatumika tu kama ubao wakuwaleta watu ktk Nuru wakat ww ukibaki kuwa mweusi kwa ubishi na chuki dhidi ya uislamu.

Halafu hapo, professional driver ww hujamuelewa tu.
Hajakubali wala hajapinga. Anahitaji ushahidi ya unachokisema.
Shida yako ww unalazimisha vitu ambavyo huna ushahidi navyo. Ukiombwa aya wapi arshi ya Allah bado ipo juu ya maji, huna 😀.

Uislamu huwa unaenda kwa evidence sio kama ukristo wenu, kila mtu anajipangia kitu chochote anachokitaka.
“ If no evidence no right to speak”.

Turudi kwenye mada.
Hiyo hadithi ulotoa bado inazungumzia before the creation of the heavens and the earth, the Arsh of Allah was over the water.
Still, bado ni past tense.

Tupe aya sasa ambayo inasema, “ after creation of the heavens and earth the Arsh of Allah is still on water
 
Sasa unauliza Mungu alikua na maana Gani badala ya kuuliza wanasayansi walikua na maana Gani kutofautiana na Mungu? Yaani tayari swali lako lishamuwekea shaka Mungu na kumuamini mwanasayansi..Ajabu ya Mwanadamu!
 
ww ndio una makasiriko na chuki dhidi ya uislamu.
Huwa unaanzisha hoja za copy & paste ili kuukejeli na kuukashifu uislamu.
Na hunaga hoja za msingi ila ni ubishi na chuki ndio zinazokusumbua.
Walishindwa waarabu wanaojua lugha ya Qur’an ( kiarabu) ije kuwa ww hata kiarabu hujui. You are just wasting your time, ww unatumika tu kama ubao wakuwaleta watu ktk Nuru wakat ww ukibaki kuwa mweusi kwa ubishi na chuki dhidi ya uislamu.

Halafu hapo, professional driver ww hujamuelewa tu.
Hajakubali wala hajapinga. Anahitaji ushahidi ya unachokisema.
Shida yako ww unalazimisha vitu ambavyo huna ushahidi navyo. Ukiombwa aya wapi arshi ya Allah bado ipo juu ya maji, huna [emoji3].

Uislamu huwa unaenda kwa evidence sio kama ukristo wenu, kila mtu anajipangia kitu chochote anachokitaka.
“ If no evidence no right to speak”.

Turudi kwenye mada.
Hiyo hadithi ulotoa bado inazungumzia before the creation of the heavens and the earth, the Arsh of Allah was over the water.
Still, bado ni past tense.

Tupe aya sasa ambayo inasema, “ after creation of the heavens and earth the Arsh of Allah is still on water
Huyu jamaa ana chuki sana hayupo katika kutaka kuelimika kabisa ana copy vitu havijui

Analazimisha anacho taka yeye Dah yuko tayari kubadilisha lililo sahihi kwa vyovyote vile.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tupe aya sasa ambayo inasema, “ after creation of the heavens and earth the Arsh of Allah is still on water
Kusema Allah kiti cheke kipo juu ya maji ndio kuupinga Uislam?

Nimewataka mmelete andiko kwamba Allah alikiamisha kiti mmebaki na makasiriko tu
 
Huyu jamaa ana chuki sana hayupo katika kutaka kuelimika kabisa ana copy vitu havijui
Kuweka andiko Allah kiti chake kipo juu ya maji ndio chuki zidi ya Uislamu? Au Mimi ndio sijui maana ya chuki

Allah amesema mwenyewe Mimi nikinukuu ni chuki 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom