Likiwa linasujudu bado linamulika au ni mpaka limalize ndio liruhusiwe kumulika kutoa mwanga, Jua ni kiumbe hai ?Tunakuwa gizani pale tu linapo zama. Kwahiyo hesabu ni muda gani. Kingine nani alikwambia mtu akienda kusali au kusujudu Ina maana ya kuwa hafanyi shughuli nyingine tena ? Hii akili ya wapi ?