Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Tunakuwa gizani pale tu linapo zama. Kwahiyo hesabu ni muda gani. Kingine nani alikwambia mtu akienda kusali au kusujudu Ina maana ya kuwa hafanyi shughuli nyingine tena ? Hii akili ya wapi ?
Mtoto wako unamfundisha ashike mfumo wa Jua wa Allah au wa darasani ? Kama wa Allah mthiani uwa anajibuje ?
 
Usiwe na hasira , hii ni sayansi ya Allah ambayo dunia haijagundua bado , unapopata mda kama huu unaelemisha Allah anasemaje kuhusu solar system yake ?
Allah Hana Sayansi bali Allah ana uhalisia. Unaposema Allah anasemaje kuhusu Solar System unatakiwa ujue Solar System ni nini na je nadharia hiyo ni sahihi au siyo sahihi. Sababu Kuna Geocentric na hiyo Heliocentric.

Kwa Allah hakuna Solar System hizi nadharia ni matokeo ya wafikiriao kitoto, Allah ameshasema kuhusu Just na Mwezi katika Surat Yunusu aya ya 38 na Surt Al Anbiyaa aya ya 33 kama nilivyo kuweka huko juu.
 
Mtoto wako unamfundisha ashike mfumo wa Jua wa Allah au wa darasani ? Kama wa Allah mthiani uwa anajibuje ?
Kuna kujibu mtihani na uhalisia, unauliza maswali ya kitoto sana. Atajibu kama alivyofundishwa ili afaulu mtihani ila huku anajua ya kuwa huu ni uongo katika uhalisia.
 
Kasome bhukar tafuta Hadith ya Jua kwenda kusujudu na kuomba ruhusu
Nisomee mara ngapi ndiyo maana nakuonyesha ya kuwa yote ni sahihi ila haionyeshi ya kuwa likisujudu haliendelei na nidhamu ya mwendo iliyo pangiwa.
 
Kuna kujibu mtihani na uhalisia, unauliza maswali ya kitoto sana. Atajibu kama alivyofundishwa ili afaulu mtihani ila huku anajua ya kuwa huu ni uongo katika uhalisia.
😂😂😂😂🤣 Ata danganya mbele ya Allah , Yani Allah kasha mfundisha yeye anajibu kinyume
 
Nisomee mara ngapi ndiyo maana nakuonyesha ya kuwa yote ni sahihi ila haionyeshi ya kuwa likisujudu haliendelei na nidhamu ya mwendo iliyo pangiwa.
Mpaka lipewe ruhusu ya kuchomoza tena
 
Mpaka lipewe ruhusu ya kuchomoza tena
Naam, shida iko wapi ? Naam unajua ni wakati gani linaomba ruhusa ya kuchomoza ? Majibu mepesi ndiyo maana kwingine unaona usiku na kingine ni mchana na uzuri hakuna sehemu duniani tumepishana kwa urefu wa siku nzima.
 
Kuna maswali nilikuuliza likiwa linasujudu bado linatoa mwanga au inakuwaje ?
 
Haya Mungu anasema kilikua juu ya maji
Haya tuaminishe sasa kua bado kipo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182

Uje utuambie kama alikiamisha
 
Hujathibitisha Kwanza kama kipo. Nitakwambiaje kama alikiamisha

Thibitisha kama kipo kwanza

Back
Top Bottom