Mtoto wako unamfundisha ashike mfumo wa Jua wa Allah au wa darasani ? Kama wa Allah mthiani uwa anajibuje ?Tunakuwa gizani pale tu linapo zama. Kwahiyo hesabu ni muda gani. Kingine nani alikwambia mtu akienda kusali au kusujudu Ina maana ya kuwa hafanyi shughuli nyingine tena ? Hii akili ya wapi ?