Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye uwezo WA kuelezea Aya wa kwanza ni muhammad, ni nimeweka Hadith akisema wazi kuelezea Jua kuzama matopeni, kaeleza waI Jua linaondoka linaenda kujitupa kwa Allah chini ya kiti chake na chini ya kiti cha Allah Kuna maji
Muhammad akishatoa maelezo wewe kaa kimya
Relax kijana Jua kuzama kwenye chemchem ya matope ni ukweli , issue ni kwamba science bado haijagundua , uko mbelebi wakigundua elimu itabadilikaUmeweka hadithi , kwani hadithi unajua ni kitu gani ??
We kenge bado ujapata hadithi inayo taja tope sioRelax kijana Jua kuzama kwenye chemchem ya matope ni ukweli , issue ni kwamba science bado haijagundua , uko mbelebi wakigundua elimu itabadilika
Relax kijana Jua kuzama kwenye chemchem ya matope ni ukweli , issue ni kwamba science bado haijagundua , uko mbelebi wakigundua elimu itabadilika
Qur'an,habadiliki,katika lugha yake ya asili,ambao ni kiarabu,kwenye tafsiri ndio inategemea lugha iliyotafsiriwa.mwana umekazania lugha lugha afu point hakuna, simnasemaga quran haibadiliki haya tupe maana yake kwa hiyo lugha yao,
Muhammad hajasema macho wala upeo kathibitisha linazama kwenye chemchem hamiyahQur'an,habadiliki,katika lugha yake ya asili,ambao ni kiarabu,kwenye tafsiri ndio inategemea lugha iliyotafsiriwa.
Nimekupa mfano wa kila lugha inatofautiana,nakupa mfano tena,ziko lugha zina majina,ambayo ukiyaleta kwenye kiswahili ni matusi,kama wajapani yapo majina kama Kum*moto,kwa kiswahili tusi.Au pia yapo majina katika lugha za makabila baadhi ya Tanzania,kwa kiswahili ni matusi,kama Akanit*mb*,ni jina,ukilileta katika kiswahili ni tusi kubwa sana.
Kuhusu kisa cha huyo aliyeona jua,likitua,kimeletwa kwa utunzaji wa mazingira,hapo,hao aliowakuta,walikuwa wanachafua chanzo cha maji,kwa shughuli za kibinadamu,ndio maji yakawa na matope,kwa macho ya huo aliyeona,aliona kama jua linatuwa kwenye matope(kutokana na uoni wa upeo wa macho yake),na ndio upeo wa macho wa binadamu,wanaoishi kando ya bahari,huwa wanaelewa hili,binadamu akiangalia baharini wakati jua linakuchwa,huwa linaonekana kama linazama kwenye maji ya bahari.Kutokana na uchafuzi wa vyanzo vya maji,ndio ikamalizia uwaadhibu au uwache,vyovyote atakavyoona inafaa.Lakini kikubwa hapo,ni uchafuzi wa vyanzo vya maji kwa hao,waliokutwa hapo,na huo anayesimuliwa kisa chake.Sasa badala,ya kuangalia elimu iliyopo katika aya ya utunzaji wa mazingira(kwenye vyanzo vya maji,wapingaji wanaangalia kuzama kwa jua,kulikosemwa na mtu,aliyeona kwa upeo wa macho ya binadamu wote,wanavyoona wakiwa kwenye mto au bahari,jua linavozama(ambayo pia ni elimu,ya upeo wa macho wa binadamu).
Muhammad anasemaQur'an,habadiliki,katika lugha yake ya asili,ambao ni kiarabu,kwenye tafsiri ndio inategemea lugha iliyotafsiriwa.

Elimu ya Allah ni kubwa bado binadamu hatujagundua kwamba Jua linazama kwenye chemchem hamiyah, maji yenye matopeWe kenge bado ujapata hadithi inayo taja tope sio
Lete sourceMuhammad hajasema macho wala upeo kathibitisha linazama kwenye chemchem hamiyah
Nimeshakufahamisha kila lugha,ina nna yake ya kujieleza,kuna lugha neno moja linajitosheleza kujieleza,kwenye kiswahili mpaka utumie maneno mengi,kwa mfano ,kiingereza,ukiambiwa,Blue,tayari umeshaelewa,lakini kwenye kiswahihil mpaka useme blue ya maji ya bahari.Muhammad hajasema macho wala upeo kathibitisha linazama kwenye chemchem hamiyah
Hiyo ni perception binafsi ya mtu, na wala haimaanishi jua linazama hapo!
Kwa hiyo muhammad anavyosema chemchem ya maji ni kitu tofauti?Nimeshakufahamisha kila lugha,ina nna yake ya kujieleza,kuna lugha neno moja linajitosheleza kujieleza,kwenye kiswahili mpaka utumie maneno mengi,kwa mfano ,kiingereza,ukiambiwa,Blue,tayari umeshaelewa,lakini kwenye kiswahihil mpaka useme blue ya maji ya bahari.
Wewe na huyo chizi mwenzio mpaka sasa hamja leta hiyo hadithi inayosema hivyoWewe una akili, wenzako wanatuambia jua huzama topeni kweli.
Mjinga kama huyo ni wakumpuuza tu usipoteze nguvu zako kumuelimisha ikiwa yeye amehiari na kudhamiria upotofu hata baada ya kumbainishia wazi ..We kenge bado ujapata hadithi inayo taja tope sio
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
SourceLete source
Vijana waaminifu...salama yenu wekeni white out hii AYA.. jua letu lichafuke kwa tope two words "NO"1. Mleta mada, mbona neno "kisima" sijaliona kwenye tafsiri uliyoleta?
2. Aya hiyo ya 86 -inasema hivi
"Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi"
Je wewe mleta mada unaweza kutueleza labda Huyo Dhurqarnain aliliona jua linazama wapi?
Maana sometimes mtu unaweza kuliona jua linazama milimani, au maporini kulingana na ulipo.
Hiyo ni perception binafsi ya mtu, na wala haimaanishi jua linazama hapo!
Sio waarabu, kitabu kitukufu....Jua linatoka kwenye matope !
waarabu akili hawana bado sisitizia.
Hivi ISS iliyopo juu na sayansi mnayoelezwa bado tu