Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

well with your so called observation, but all you got is some studio photos
I thought you would deny solar flares or that it’s impossible to send probes near the sun.

Unabishia picha ambayo obvious ni man made image; which is just common sense.
 
Vitu vingi ni uongo mtupu kwenye hivyo vitabu ameandika mtu anamsingizia Mungu kisa tu aonekani
 
Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili." ( Ufunuo 12:1 )

Mwanamke anawezaje kuvikwa jua ambalo ni kubwa zaidi ya mara bilioni kuliko dunia?!! bila kujali tempetarure
Turudi kwa Jua kuzama matopeni ,

Muhammad kasema
  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
    Grade Sahih
 
Qur’an inasifiwa sana, imeshuka kutoka mbinguni, aya zake zimehariri na malaika haijabadilishwa, lakini kuna stori za Abunuas za kutosha, ukiwabana waeleze ukweli wanakuwa wakali kama pili pili.. swali liko wazi jua lina zama kwenye tope jeusi jibu NDIO au HAPANA,, stori za nini?
Jua alizami popote kama lengo ni kuelewa usiku na mchana. Dunia ni duara na inazunguka katika muhimili wake eastwards ndio unapata usiku na mchana. Ndio maana always jua linaonekana east linapochomoza dunia inavyozunguka unaona linaelekea west mpaka linapozama kwa upande wako tu, kwengine asubuhi.

Sasa kama uamini hayo ya kuwa dunia ni duara is not rocket science, you just have to participate in round the world boat races. Au tafuta meli, magnetic campus (ukae nayo mwenyewe ili usiseme uliongopewa) pick a direction go on the expediation voyage only following one direction of the campus utazunguka utarudi pale pale.
 
hajaongeza

And he marched westwards] till, when he came to the setting of the sun, it appeared to him that it was setting in a dark, turbid sea; and nearby he found a people [given to every kind of wrongdoing]. We said: "O thou Two-Horned One! Thou mayest either cause [them] to suffer or treat them with kindness!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😂😂🤣 Nimecheka Yani hiyo translation ni kama anatoa maelezo sio ku translate tena 😂😂

Embu niambie ni ya nani na ni ya mwaka gani

Mimi naamini hii
  • 18:86 ,Yusuf Ali: Until, when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: Near it he found a People: We said: "O Zul-qarnain! (thou hast authority,) either to punish them, or to treat them with kindness."
 
View attachment 2488912

Kutokana na elimu ya jua and solar flares today they can predict ‘northern lights’ occurrences.

Ni hivi dunia ya leo kuna vitu sio vya kubishia tena. Mababu zetu ‘Northern Lights’ walikuwa wanausisha sijui hadithi gani za mungu.

Leo tunajua hizo ni solar flares na zinatokea on earth poles tu kwa sababu earth gravitational waves zina reflect weak points on the poles ndio maana zinaonekana.

Sasa watu wapo kwenye science ya kulielewa jua, hizo hadithi za earth is flat na longo longo zingine za vitabu vya dini hata hao Taliban sidhani kama wanaweza bishia tena.
Nataka kujua exactly kama mzungu anaweza kutengeneza chombo chenye camera kali kama hii kikaenda billions of mile anga za juu just to prove jambo fulani la kimazingira anashindwa nini kuboresha CCTV cameras za kuangalia usalama wake hapa sayari anakoishi?

Au kuzifunga ktk nyenzo mbalimbali za kitalaamu kurahisisha maisha yake kama x-rays,CT-scans MRIs machine etc ambazo kwa sasa ni muhimu kuliko hayo madubwana,hizi ninyi mnazitoa wapi?haiyumkiniki ni akili ya mtu amekaa chini anabuni ili atengeneze hela?
 
Umeambiwa kasome tafsiri ya ibn kathir

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ibn Abbas kwa Nini haumtaki
Huyu hapa
18:86 Abbas - Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs
(Till, when he reached the setting place of the sun) where the sun sets, (he found it setting in a muddy spring) a blackened, muddy and stinking spring; it is also said that this means: a hot spring, (and found a people thereabout) these people were disbelievers: (We said: O Dhu'l-Qarnayn!) We inspired him (Either punish) either kill them until they accept to believe that there is no deity except Allah (or show them kindness) or you pardon them and let them be.
 
Kwa hiyo unasema Kuna maneno ya watu kwenye

Quran maana tunaambiwa yote ni ya Mungu
Tena tunaambiwa kua Allah alimshushi Mtume Mohamed moja kwa moja kwenye kichwa chake.

Tunaambiwa ni kitabu kitakatifu alichokishusha Mungu mwenyewe.

Ghafla tunaambiwa tena kuna maneno ya watu wengine.

Sasa yapi ni ya Mungu na yapi ni ya binadamu? Ya binadamu ni nani alimshushia Mtume?
 
Nani kakwambia Mimi natunga Hadith za waislamu?

Muhammad kashaelezea vyema kabisa Jua linazama kwenye maji yenye tope
Wewe huna akili hadithi yako hii hapa pigia mstari sehemu anapo sema kwenye tope nimalize utata kuku wewe

Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Turudi kwa Jua kuzama matopeni ,

Muhammad kasema
  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
    Grade Sahih
Ndio jibu lako hilo tope likowapi hapo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe huna akili hadithi yako hii hapa pigia mstari sehemu anapo sema kwenye tope nimalize utata kuku wewe

Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwanza rekebisha Hadith ni yenu waislamu Mimi sijawahi watungia Hadith waislamu

Issue sasa imeamia kama ni maji joto hamiyah au tope 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji1787] Nimecheka Yani hiyo translation ni kama anatoa maelezo sio ku translate tena [emoji23][emoji23]

Embu niambie ni ya nani na ni ya mwaka gani

Mimi naamini hii
  • 18:86 ,Yusuf Ali: Until, when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: Near it he found a People: We said: "O Zul-qarnain! (thou hast authority,) either to punish them, or to treat them with kindness."
Unaamini wewe
mimi naamini hii the clear Quran cha sheikh. Dr mustapha khattab

Haya unasemaje

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nataka kujua exactly kama mzungu anaweza kutengeneza chombo chenye camera kali kama hii kikaenda billions of mile anga za juu just to prove jambo fulani la kimazingira anashindwa nini kuboresha CCTV cameras za kuangalia usalama wake hapa sayari anakoishi?

Au kuzifunga ktk nyenzo mbalimbali za kitalaamu kurahisisha maisha yake kama x-rays,CT-scans MRIs machine etc ambazo kwa sasa ni muhimu kuliko hayo madubwana,hizi ninyi mnazitoa wapi?haiyumkiniki ni akili ya mtu amekaa chini anabuni ili atengeneze hela?
Wakati wewe huko usingizini au unaendelea na shughuli zako, kuna watu wanafanya kazi usiku na mchana kuangalia ‘near earth objects’ in others words ni asteroids ambazo kubwa kutosha zinazo orbit karibu na dunia na zenye uwezo wa kuleta madhara zikija kuipiga dunia.

Majuzi tu walipeleka chombo kujaribu kuipiga asteroid ya size ya kati kwenye asteroid belt na tukio lote lilikuwa live kuona kama wanaweza badilisha orbit yake.

Lengo ni nini? kujifunza siku moja iwapo asteroïd kubwa inaelekea duniani wanaibadili vipi njia ili isiipige dunia na isilete madhara au kutuuawa wote tunaoishi humu.

So usiseme wanachofanya hakina tija, hizo solar flares zinauwezo wa kuharibu mitambo ya umeme na kuleta madhara makubwa sana ulimwenguni they need warnings kujitayarisha kama kuzima umeme kwa muda safely.

Moreover technology inayotumika kwenye hiyo probe not necessary live cameras wapo more interested na kuangalia UV light spectrum kujifunza mengi (different elements emit different colours) and the same technology kwenye kutengeneza hizo X-rays and ultra sound.

Hawatumii billions of money for the sake of it ni kwa ulinzi wako pia.
 
Ibn Abbas kwa Nini haumtaki
Huyu hapa
18:86 Abbas - Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs
(Till, when he reached the setting place of the sun) where the sun sets, (he found it setting in a muddy spring) a blackened, muddy and stinking spring; it is also said that this means: a hot spring, (and found a people thereabout) these people were disbelievers: (We said: O Dhu'l-Qarnayn!) We inspired him (Either punish) either kill them until they accept to believe that there is no deity except Allah (or show them kindness) or you pardon them and let them be.
Umeambiwa kasome tafsiri ya aya kwa ibn kathir

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tena tunaambiwa kua Allah alimshushi Mtume Mohamed moja kwa moja kwenye kichwa chake.

Tunaambiwa ni kitabu kitakatifu alichokishusha Mungu mwenyewe.

Ghafla tunaambiwa tena kuna maneno ya watu wengine.

Sasa yapi ni ya Mungu na yapi ni ya binadamu? Ya binadamu ni nani alimshushia Mtume?
Aliyekwambia kakuongopea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaamini wewe
mimi naamini hii the clear Quran cha sheikh. Dr mustapha khattab

Haya unasemaje

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbona ukiyowema ni ya sahih international na ni translation ya juzi

Ngoma hii hapa
18:86 ,Yusuf Ali: Until, when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: Near it he found a People: We said: "O Zul-qarnain! (thou hast authority,) either to punish them, or to treat them with kindness."
 
Back
Top Bottom