professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Mmekutana mnao jiweza hivi amuoni kua muulizaji ameuliza kitu tofauti na kilicho ongelewaAtetewe tu hakuna jinsi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmekutana mnao jiweza hivi amuoni kua muulizaji ameuliza kitu tofauti na kilicho ongelewaAtetewe tu hakuna jinsi
Atetewe tu hakuna jinsi
Quran inasema kwamba jua hutuama kwenye kisima ama dimbwi la matope kazito na asubuhi huamka.
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Nimeuliza hivyo kwa sababu Sayansi ya Dunia inatuambia kwamba Jua liko mahapa pamoja ila Dunia ndio hulizunguka hivyo halina kuzama wala kuibuka.
Je mwenyezi Mungu SWT alikua na maana gani kusema hivyo?
Ahsante.
Na huyo Eintein sio mtu??[emoji16][emoji16][emoji23]Hakuna cha kutuama , Mungu sijui nini, ni mastory ya watu tu! Muulize Einstein atakwambia ukweli wa ulimengu ukoje. Haya mengine achana nayo!
Ndugu yangu tafsiri ya qoran haipo hivyo ulivyoichukulia yaani kilugha, hata waarabu ambao qoran imeandikwa kwa lugha yao hua wanaenda kusoma ili waelewe tafsiri yake.Quran inasema kwamba jua hutuama kwenye kisima ama dimbwi la matope kazito na asubuhi huamka.
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Nimeuliza hivyo kwa sababu Sayansi ya Dunia inatuambia kwamba Jua liko mahapa pamoja ila Dunia ndio hulizunguka hivyo halina kuzama wala kuibuka.
Je mwenyezi Mungu SWT alikua na maana gani kusema hivyo?
Ahsante.
Technology imesaidia sana sana...Elimu ya usiku na mchana kutoka kwa mtume na allah
- Kwanza tuanze na dunia ipoje kwa mujibu wa allah dunia ipo kama meza au kapeti
- koran 20:53 Sahih International
[It is He] who has made for you the earth as a bed [spread out] and inserted therein for you roadways and sent down from the sky, rain and produced thereby categories of various plants.- 20:53 He Who has made for you the earth like a carpet spread out; has enabled you to go about therein by roads (and channels); and has sent down water from the sky." With it have We produced divers pairs of plants each separate from the others. yusuf ali
- Je kwa mujibu wa allah jua linapo zama uwa lipo wapi????
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326- 18:86 ,Yusuf Ali: Until, when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: Near it he found a People: We said: "O Zul-qarnain! (thou hast authority,) either to punish them, or to treat them with kindness."
- 18;86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih
Hii ni uongo , ameongeza appeared to him ,Una Umuhimu sana wa Quran kuwa kuwa Kwa lugha Moja. Tafsiri Huwa zinachanganya watu. Naomba usome hii tafsiri hapa utapata jibu.
Quran: 18. 86
"until he reached the setting ˹point˺ of the sun, which appeared to him to be setting in a spring of murky water, where he found some people. We said, “O Ⱬul-Qarnain! Either punish them or treat them kindly.”
Basi inamaana kwa muktadha huo, kutamka huyu ni mtume wa mwenyezi mungu, haitafisiriwi hivyo?!!!! loh! kutetea uongo kazi kweli kweli....Ndugu yangu tafsiri ya qoran haipo hivyo ulivyoichukulia yaani kilugha, hata waarabu ambao qoran imeandikwa kwa lugha yao hua wanaenda kusoma ili waelewe tafsiri yake.
Ukitaka tafsiri sahihi ya aya ya qoran, kasome tafsiri ya Ibn Kathir, inapatikana kwenye mitandao kwa lugha ya kiingereza na kiarabu.
Kwa tafsiri ya hizo aya ulizozisema hapo ni kwamba kuna watu walikua wakimuuliza Mtume maswali ya mambo ya zamani sana ili kupima uwezo wake kama kweli yeye ni Mtume wa Mungu.
Na hiyo sehemu aliyosema kuhusu kuzama kwa jua ni uwezo wa kuona huyo mtu kuona, akaona kwamba jua linazama kwenye kidimbwi cha tope, haina tofauti na baadhi ya watu walioko pwani kusema wameliona jua likizama au kuchomoza baharini.
Kwahiyo nakushauri soma Tafsir Ibn Kathir uielewe vizuri qoran, huyu ni mwanazuoni anaekubalika ulimwenguni kwa tafsiri ya qoran.
Mokit acha uongo kuhusu aya za juu hazijazungumzia kuhusu duniaElimu ya usiku na mchana kutoka kwa mtume na allah
- Kwanza tuanze na dunia ipoje kwa mujibu wa allah dunia ipo kama meza au kapeti
- koran 20:53 Sahih International
[It is He] who has made for you the earth as a bed [spread out] and inserted therein for you roadways and sent down from the sky, rain and produced thereby categories of various plants.- 20:53 He Who has made for you the earth like a carpet spread out; has enabled you to go about therein by roads (and channels); and has sent down water from the sky." With it have We produced divers pairs of plants each separate from the others. yusuf ali
- Je kwa mujibu wa allah jua linapo zama uwa lipo wapi????
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha (cha Mwenyezi Mungu) allah,
Vol. 6, Book 60, Hadith 326- 18:86 ,Yusuf Ali: Until, when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: Near it he found a People: We said: "O Zul-qarnain! (thou hast authority,) either to punish them, or to treat them with kindness."
- 18;86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih
Mwenye uwezo WA kuelezea Aya wa kwanza ni muhammad, ni nimeweka Hadith akisema wazi kuelezea Jua kuzama matopeni, kaeleza waI Jua linaondoka linaenda kujitupa kwa Allah chini ya kiti chake na chini ya kiti cha Allah Kuna majiMokit acha uongo kuhusu aya azijazungumzia kuhusu dunia
Kama unabisha zilete kwa tafsiri sahihi ya kiswahili. Unapenda sana kujificha ficha
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeambiwa kasome tafsiri ya ibn kathirBasi inamaana kwa muktadha huo, kutamka huyu ni mtume wa mwenyezi mungu, haitafisiriwi hivyo?!!!! loh! kutetea uongo kazi kweli kweli....
Aya za juu pia hazizungumzii jua acha uongoMwenye uwezo WA kuelezea Aya wa kwanza ni muhammad, ni nimeweka Hadith akisema wazi kuelezea Jua kuzama matopeni, kaeleza waI Jua linaondoka linaenda kujitupa kwa Allah chini ya kiti chake na chini ya kiti cha Allah Kuna maji
Muhammad akishatoa maelezo wewe kaa kimya
Utukufu wake ni upi?Fiction iliingiaje Kwenye kitabu hicho kitukufu
Anabishana na mtume wa mwenyezi mungu?!!!Mwenye uwezo WA kuelezea Aya wa kwanza ni muhammad, ni nimeweka Hadith akisema wazi kuelezea Jua kuzama matopeni, kaeleza waI Jua linaondoka linaenda kujitupa kwa Allah chini ya kiti chake na chini ya kiti cha Allah Kuna maji
Muhammad akishatoa maelezo wewe kaa kimya
duh nawe umewaamini hao, picha za studio hizo elimu isikufute akiliView attachment 2488686
Watu huko kwenye science world wametuma chombo kwa jina (Parker Solar Probe) kimenasa kwenye orbit ya jua kinalizinguka kulisoma. Kumbuka jua alipo stationary na lenyewe linatembea kwa hivyo wanaenda nalo chezea mzungu.
Moja ya vitu wanavyotaka kuvielewa ni solar flares zina impact kubwa sana (uharibifu) kwenye miundombinu ya umeme ambayo inaweza kuleta athari kubwa sana ya power cuts.
Sasa watu hilo jua lenyewe wanalizunguka, wanaelewa elements zinazofanya liwe moto, halafu bado tu kuna mtu anasikiliza hadithi kutoka vitabu vya dini kuhusu how the universe work that is beyond me.
Copernicus mtu wa kwanza kubaini dunia ndio inalizunguka jua, not vice versa kama church ilivyokuwa inahubiri; alikuwa priest. George Lemaitre alieleta theory ya ‘Big Bang’ was a priest.
Ifike mahala as human beings common sense has to prevail, and not sticking to religious ideologies wakati the facts are out there.
mwana umekazania lugha lugha afu point hakuna, simnasemaga quran haibadiliki haya tupe maana yake kwa hiyo lugha yao,Tatizo ni kutafsiri kutoka lugha ya kiarabu kuja kiswahili.Kisa kinasimuliwa kuhusu huyo aliyeona jua kuzama.Yeye huyo anayesimuliwa kisa chake,ndio yeye aliona jua kuzama.Kila lugha ina uandishi wake,kutegemea na lugha husika.
Ukisoma,tafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine,inatakiwa ujuwe utamaduni wa lugha husika,katika kiswahili,mtu aliyekuzidi umri,huwezi kumwamkia kwa kumwambia habari yako,lakini kwa wazungu na lugha nyingi duniani,hazitofautishi katika kuamkiana,akiwa ni baba yako,mama yako,mkubwa wako,wote ni "How are you".
Kujuwa utamaduni wa lugha iliyotafsiriwa ni muhimu.
Ote machizi tu mnavyo zipotosha aya mwambie azilete kwa kiswahili aya zile kama anawezaAnabishana na mtume wa mwenyezi mungu?!!!
MmeanzaDHUL QARNAIN ni nani?! hadi Mwenyezi Mungu aliyeumba mbigu na dunia na vyote vilivyomo amsimulie Muhamad uongo wake?? Au kulikuwa na maana nyingine?! maana ni kituko.