Nani kakwambia Mimi natunga Hadith za waislamu?Na hadithi yako pia haijataja tope mwehu wewe
Muhammad kashaelezea vyema kabisa Jua linazama kwenye maji yenye tope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia Mimi natunga Hadith za waislamu?Na hadithi yako pia haijataja tope mwehu wewe
I thought you would deny solar flares or that it’s impossible to send probes near the sun.well with your so called observation, but all you got is some studio photos
Qur’an irudishwe ilikotoka itafsiriwe kwa kiswahili cha kisasa..Nani kakwambia Mimi natunga Hadith za waislamu?
Muhammad kashaelezea vyema kabisa Jua linazama kwenye maji yenye tope
Turudi kwa Jua kuzama matopeni ,Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili." ( Ufunuo 12:1 )
Mwanamke anawezaje kuvikwa jua ambalo ni kubwa zaidi ya mara bilioni kuliko dunia?!! bila kujali tempetarure
Jua alizami popote kama lengo ni kuelewa usiku na mchana. Dunia ni duara na inazunguka katika muhimili wake eastwards ndio unapata usiku na mchana. Ndio maana always jua linaonekana east linapochomoza dunia inavyozunguka unaona linaelekea west mpaka linapozama kwa upande wako tu, kwengine asubuhi.Qur’an inasifiwa sana, imeshuka kutoka mbinguni, aya zake zimehariri na malaika haijabadilishwa, lakini kuna stori za Abunuas za kutosha, ukiwabana waeleze ukweli wanakuwa wakali kama pili pili.. swali liko wazi jua lina zama kwenye tope jeusi jibu NDIO au HAPANA,, stori za nini?
😂😂🤣 Nimecheka Yani hiyo translation ni kama anatoa maelezo sio ku translate tena 😂😂hajaongeza
And he marched westwards] till, when he came to the setting of the sun, it appeared to him that it was setting in a dark, turbid sea; and nearby he found a people [given to every kind of wrongdoing]. We said: "O thou Two-Horned One! Thou mayest either cause [them] to suffer or treat them with kindness!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nataka kujua exactly kama mzungu anaweza kutengeneza chombo chenye camera kali kama hii kikaenda billions of mile anga za juu just to prove jambo fulani la kimazingira anashindwa nini kuboresha CCTV cameras za kuangalia usalama wake hapa sayari anakoishi?View attachment 2488912
Kutokana na elimu ya jua and solar flares today they can predict ‘northern lights’ occurrences.
Ni hivi dunia ya leo kuna vitu sio vya kubishia tena. Mababu zetu ‘Northern Lights’ walikuwa wanausisha sijui hadithi gani za mungu.
Leo tunajua hizo ni solar flares na zinatokea on earth poles tu kwa sababu earth gravitational waves zina reflect weak points on the poles ndio maana zinaonekana.
Sasa watu wapo kwenye science ya kulielewa jua, hizo hadithi za earth is flat na longo longo zingine za vitabu vya dini hata hao Taliban sidhani kama wanaweza bishia tena.
Ibn Abbas kwa Nini haumtaki
Tena tunaambiwa kua Allah alimshushi Mtume Mohamed moja kwa moja kwenye kichwa chake.Kwa hiyo unasema Kuna maneno ya watu kwenye
Quran maana tunaambiwa yote ni ya Mungu
Wewe huna akili hadithi yako hii hapa pigia mstari sehemu anapo sema kwenye tope nimalize utata kuku weweNani kakwambia Mimi natunga Hadith za waislamu?
Muhammad kashaelezea vyema kabisa Jua linazama kwenye maji yenye tope
Ndio jibu lako hilo tope likowapi hapo.Turudi kwa Jua kuzama matopeni ,
Muhammad kasema
- Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih
Kwanza rekebisha Hadith ni yenu waislamu Mimi sijawahi watungia Hadith waislamuWewe huna akili hadithi yako hii hapa pigia mstari sehemu anapo sema kwenye tope nimalize utata kuku wewe
Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haujaona tope 😂😂😂Ndio jibu lako hilo tope likowapi hapo.
Unaamini wewe[emoji23][emoji23][emoji1787] Nimecheka Yani hiyo translation ni kama anatoa maelezo sio ku translate tena [emoji23][emoji23]
Embu niambie ni ya nani na ni ya mwaka gani
Mimi naamini hii
- 18:86 ,Yusuf Ali: Until, when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: Near it he found a People: We said: "O Zul-qarnain! (thou hast authority,) either to punish them, or to treat them with kindness."
Wakati wewe huko usingizini au unaendelea na shughuli zako, kuna watu wanafanya kazi usiku na mchana kuangalia ‘near earth objects’ in others words ni asteroids ambazo kubwa kutosha zinazo orbit karibu na dunia na zenye uwezo wa kuleta madhara zikija kuipiga dunia.Nataka kujua exactly kama mzungu anaweza kutengeneza chombo chenye camera kali kama hii kikaenda billions of mile anga za juu just to prove jambo fulani la kimazingira anashindwa nini kuboresha CCTV cameras za kuangalia usalama wake hapa sayari anakoishi?
Au kuzifunga ktk nyenzo mbalimbali za kitalaamu kurahisisha maisha yake kama x-rays,CT-scans MRIs machine etc ambazo kwa sasa ni muhimu kuliko hayo madubwana,hizi ninyi mnazitoa wapi?haiyumkiniki ni akili ya mtu amekaa chini anabuni ili atengeneze hela?
Umeambiwa kasome tafsiri ya aya kwa ibn kathirIbn Abbas kwa Nini haumtaki
Huyu hapa
18:86 Abbas - Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs
(Till, when he reached the setting place of the sun) where the sun sets, (he found it setting in a muddy spring) a blackened, muddy and stinking spring; it is also said that this means: a hot spring, (and found a people thereabout) these people were disbelievers: (We said: O Dhu'l-Qarnayn!) We inspired him (Either punish) either kill them until they accept to believe that there is no deity except Allah (or show them kindness) or you pardon them and let them be.
Aliyekwambia kakuongopeaTena tunaambiwa kua Allah alimshushi Mtume Mohamed moja kwa moja kwenye kichwa chake.
Tunaambiwa ni kitabu kitakatifu alichokishusha Mungu mwenyewe.
Ghafla tunaambiwa tena kuna maneno ya watu wengine.
Sasa yapi ni ya Mungu na yapi ni ya binadamu? Ya binadamu ni nani alimshushia Mtume?
Mbona ukiyowema ni ya sahih international na ni translation ya juziUnaamini wewe
mimi naamini hii the clear Quran cha sheikh. Dr mustapha khattab
Haya unasemaje
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Onesha katika hiyo hadithi yakoHaujaona tope [emoji23][emoji23][emoji23]