Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ndio maana nikakwambia binadamu sio mnyama.Hicho kinachomfanya binadamu (mtu) kuwa wa kipekee kati ya wanyama wengine (akili) ndio wewe unakana.
Kwa maneno mengine, wewe mwenyewe unajikana huna ufahamu. Pia hata ujuzi wa kuandika, au kuunda au kutunga maneno, unavyoandika hapa unaukana.
Kwanini wewe usiendelee kuwepo tu kama ilivyo madai yako kuhusu ulimwengu kwamba ulimwengu ulikuwepo na utaendelea kuwepo ??Nipo Kwa sababu nilizaliwa.
Na kabla sijazaliwa sikuwepo na nikifa pia sitakuwepo.
Hivi kama watu na viumbe wangekuwa wanaendelea kuwepo tu bila kufa, ulimwengu ungetosheleza ku accommodate population yote ya binadamu na viumbe wengine wote kwa wakati wote?Kwanini wewe usiendelee kuwepo tu kama ilivyo madai yako kuhusu ulimwengu kwamba ulimwengu ulikuwepo na utaendelea kuwepo ??
Ninyi ndio wajinga mnaoishi njia za kijinga mnaamini kuna mbingu yenye maisha bora ila kufa hamtaki.Hukuwepo, Ukawepo, Then badae utadisappear ( Kufa )
Haya maswali umewahi kujiuliza ? Au wewe umeamua kuishi njia ya "mjinga" kwamba unaishi kwa kadri ya mambo unayoyafahamu tu
Hii umemaanisha: binadamu ni binadamu na sio mnyama kwa sababu ya kuwa na akili.Sasa kama binadamu ana akili kama unavyodai, Utasemaje tena binadamu ni mnyama?
Umepanick ? Mbona unaandika ambayo sijayasemaHivi kama watu na viumbe wangekuwa wanaendelea kuwepo tu bila kufa, ulimwengu ungetosheleza ku accommodate population yote ya binadamu na viumbe wengine wote kwa wakati wote?
Ninyi ndio wajinga mnaoishi njia za kijinga mnaamini kuna mbingu yenye maisha bora ila kufa hamtaki.
Mnang'ang'ana kuishi kwenye ulimwengu huu huu.
Hata kwa hilo ilibidi ujiulize kuwa ni kivipi tunakufa ili kubalance population ulimwenguni kama maoni yako yanavyosema, kwanini tusingekuwepo tuuHivi kama watu na viumbe wangekuwa wanaendelea kuwepo tu bila kufa, ulimwengu ungetosheleza ku accommodate population yote ya binadamu na viumbe wengine wote kwa wakati wote?
Ninyi ndio wajinga mnaoishi njia za kijinga mnaamini kuna mbingu yenye maisha bora ila kufa hamtaki.
Mnang'ang'ana kuishi kwenye ulimwengu huu huu.
Akili ni neno la kutungwa linalomaanisha ufanyaji kazi wa ubongo wa binadamu au kiumbe chochote.Hii umemaanisha: binadamu ni binadamu na sio mnyama kwa sababu ya kuwa na akili.
Hatahivyo, wakati huo huo umesema akili ni dhana ya kufikirika tu, haipo.
Sasa, inawezekanaje binadamu asiwe mnyama kama hali yake ya akili ni ya kufikirika tu, haipo?
Nimekujibu kulingana na ulicho uliza.Umepanick ? Mbona unaandika ambayo sijayasema
Ndivyo nature ilivyo, ili wengine wapate kuishi lazima wengine wapungue kwa kufa.Hata kwa hilo ilibidi ujiulize kuwa ni kivipi tunakufa ili kubalance population ulimwenguni kama maoni yako yanavyosema, kwanini tusingekuwepo tuu
Sawa.Akili ni neno la kutungwa linalomaanisha ufanyaji kazi wa ubongo wa binadamu au kiumbe chochote.
Hata wanyama wana huo ufanyaji kazi wa ubongo wao ambao kwa ujumla tunauita Akili.
Akili ni neno dhahania sawa na kusema pumzi, njaa, kiu, hofu n.k vyote hivi hata wanyama wanavyo.
Binadamu sio mnyama kwa sababu ufanyaji kazi wake wa ubongo (Akili) ni mkubwa sana na wa tofauti kuliko wa wanyama wengine
Nature yenyewe.Sawa.
Nini kimefanya ufanyaji kazi wa ubongo wa binadamu kuwa mkubwa na wa tofauti kuliko wa wanyama wengine?
Basi hii nature ndio ufahamu wa hali ya juu kuliko fahamu/akili zote ( Kufanyika )Ndivyo nature ilivyo, ili wengine wapate kuishi lazima wengine wapungue kwa kufa.
Ulimwengu ambayo ndio nature yenyewe hujibalance yenyewe.
Na sisi binadamu na viumbe vyote ni sehemu ya hiyo nature..
Hata wewe ni sehemu ya hiyo Nature.Basi hii nature ndio ufahamu wa hali ya juu kuliko fahamu/akili zote ( Kufanyika )
Upo sahihi wala hujakosea,Hata wewe ni sehemu ya hiyo Nature.
Na huwezi kujitenganisha na hiyo nature kusema kwamba kuna nature nyingine tofauti iliumba nature unayo iona na uliopo ndani yake..
Hapo sawa.Upo sahihi wala hujakosea,
Ila sisi watu ambao tunafahamu na tunatambua kuna nguvu kuu ( Nature/Mungu ) tunaamini ni nguvu ambayo ipo ndani yetu pia na ndio iliyofanya kuwepo kwa kila kitu kilichopo.
Maana yake hapa kuna nature ambayo hii haifi badala yake inaendelea kufanya viumbe wengine na binadamu wengine wazaliwe na waendelee kuwepo.Ndivyo nature ilivyo, ili wengine wapate kuishi lazima wengine wapungue kwa kufa.
Ulimwengu ambayo ndio nature yenyewe hujibalance yenyewe.
Na sisi binadamu na viumbe vyote ni sehemu ya hiyo nature..
Nature ni nini?Nature yenyewe.
Kwa sababu kila kitu ni sehemu ya nature.
Hivyo kila kitu kinafanyika chenyewe kwa vile kila kitu ni nature hiyohiyo.
Nature ni kila kitu.Nature ni nini?
Na,
Ulimwengu ni nini?
Asili ( nature ) ni chanzo cha jambo fulani . Kila kitu kina asili yake , hakuna kitu duniani au ulimwenguni kisichokuwa na asili .Nature ni nini?
Na,
Ulimwengu ni nini?
Maneno ya lugha yalitungwa au yaliumbwa ili tuyatumie katika kurahisisha kuweza kuwasiliana . Hata wewe maneno unayotumia kama Logical non sequitur na mengine yalitungwa pia .Akili ni neno la kutungwa linalomaanisha ufanyaji kazi wa ubongo wa binadamu au kiumbe chochote.
Hata wanyama wana huo ufanyaji kazi wa ubongo wao ambao kwa ujumla tunauita Akili.
Akili ni neno dhahania sawa na kusema pumzi, njaa, kiu, hofu n.k vyote hivi hata wanyama wanavyo.
Binadamu sio mnyama kwa sababu ufanyaji kazi wake wa ubongo (Akili) ni mkubwa sana na wa tofauti kuliko wa wanyama wengine..