- Thread starter
- #81
Maana yake nature ina ufahamu si ndio?Nature yenyewe.
Kwa sababu kila kitu ni sehemu ya nature.
Hivyo kila kitu kinafanyika chenyewe kwa vile kila kitu ni nature hiyohiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake nature ina ufahamu si ndio?Nature yenyewe.
Kwa sababu kila kitu ni sehemu ya nature.
Hivyo kila kitu kinafanyika chenyewe kwa vile kila kitu ni nature hiyohiyo.
Kama ikiwa ulimwengu ni nature hiyohiyo kwa nini maneno hayo (ulimwengu-universe na nature - asili) yawepo pamoja kama yote ni kitu kilekile kimoja?Nature ni kila kitu.
Ulimwengu ni nature hiyohiyo.
Ufahamu ni nini?Maana yake nature ina ufahamu si ndio?
Nature ndio inabeba kila kitu kwa sababu kila kitu ni part ya nature hata ulimwengu na universe.Kama ikiwa ulimwengu ni nature hiyohiyo kwa nini maneno hayo (ulimwengu-universe na nature - asili) yawepo pamoja kama yote ni kitu kilekile kimoja?
Hata huyo Mungu pia alitungwa tu.Maneno ya lugha yalitungwa au yaliumbwa ili tuyatumie katika kurahisisha kuweza kuwasiliana . Hata wewe maneno unayotumia kama Logical non sequitur na mengine yalitungwa pia .
Maneno "asili - nature" na "chanzo - origin", yanahitaji umakini katika kuelewa maana ya kila moja; kuyatofautisha na kuyatumia.Asili ( nature ) ni chanzo cha jambo fulani . Kila kitu kina asili yake , hakuna kitu duniani au ulimwenguni kisichokuwa na asili .
Rejea madai yako juu ya binadamu kutokuwa mnyama.Ufahamu ni nini?
Nature ni hali ya kuzaliana na kuendelea na kufanya kazi kwa vitu vyote vya asili vilivyopo, yaani ulimwengu, katika hali ileile inayofanana.Nature ndio inabeba kila kitu kwa sababu kila kitu ni part ya nature hata ulimwengu na universe.
Nature ni vitu vyote ambavyo havija tengenezwa na binadamu.Nature ni hali ya kuzaliana na kuendelea na kufanya kazi kwa vitu vyote vya asili vilivyopo, yaani ulimwengu, katika hali ileile inayofanana.
'Nature - asili', sio sababu ya kutokea kwa ulimwengu, yaani vitu vyote vya asili vilivyopo.
Kwa mfano, asili ya samaki ni majini. Ili samaki waendelee kuwepo - kufanya kazi na kuzaana katika hali ileile inayofanana wanahitaji hali hiyo ya maji.
Asili ya binadamu ni duniani. Ili binadamu waendelee kuwepo, kufanya kazi na kuzaliana na kuendelea kuwepo katika hali ileile inayofanana wanahitaji hali ya hapa duniani.
Kwa lugha rahisi sayari pekee hadi sasa inayowezesha uhai ni dunia (earth 🌍).
Lakini hiyo haina maana kwamba hakuna vitu vingine ulimwenguni. Na pia haimanishi kwamba sayari ya dunia inaweza kuwepo bila uwepo wa sayari nyingine katika mfumo wa jua.
Kwa mfano kuna vimondo ambavyo asili yao sio duniani, bali angani.
Kwahiyo, kwa maneno mengine ni hivi:
Ni kweli kwamba binadamu ni sehemu ya ulimwengu - anafanya ulimwengu na asili yake ni duniani. Lakini hatahivyo, binadamu au viumbe waliopo duniani, asili yao sio sayari ya Zuhura au Mirihi, ambako hakuna hali kama ya hapa duniani.
Hii maana yake ni kwamba binadamu akienda au akipelekwa kwenye hizo sayari nyingine hawezi kuwepo; au kuwa katika umbo hili alilonalo hapa katika sayari ya dunia, na pia ufanya kazi wake na kuzaliana kwao kama walivyo hapa duniani kutatatizwa.
Ninakunukuu "Hivyo hata universe na sayari nyingine zote ni nature kwa sababu sayari hizo sio man made.Hivyo hata universe na sayari nyingine zote ni nature kwa sababu sayari hizo sio man made.
Pia binadamu na viumbe wengine wote ni sehemu nature kwa sababu hatujaundwa na kitu chochote kile.
Nature ilivyo ni kwamba kila kiumbe kina sehemu yake specific ya kuishi.Ninakunukuu "Hivyo hata universe na sayari nyingine zote ni nature kwa sababu sayari hizo sio man made.
Pia binadamu na viumbe wengine wote ni sehemu nature kwa sababu hatujaundwa na kitu chochote kile." Mwisho wa kunukuu.
Swali langu.
Kama ulivyosema au kuandika "...hata universe na sayari nyingine zote ni nature...pia binadamu na viumbe wengine wote ni sehemu nature..."
Tukimchukuwa binadamu hapa duniani, ambaye umesema ni sehemu ya nature na universe na sayari nyingine zote ambazo nazo umesema ni nature, tukampeleka sayari nyingine ya Zuhura, kwa sababu binadamu ni sehemu ya nature au ni nature je, ataendelea kuwa hivi kama alivyo hapa duniani?
Kwa maneno haya: "Nature ilivyo ni kwamba kila kiumbe kina sehemu yake specific ya kuishi.", unakiri kwamba nature ina ufahamu na ndiyo iliyosababisha vitu vyote vya asili vilivyopo kuwepo hapo kila kitu kilipo na kwa jinsi yake.Nature ilivyo ni kwamba kila kiumbe kina sehemu yake specific ya kuishi.
Hizo sayari zingine ni sehemu ya nature ila hazina oxygen.
Sasa wewe unataka kwenda kuishi huko uvute hewa gani?
Kumtoa binadamu duniani kuenda kuishi kwenye sayari zingine ni sawa na kutaka samaki aishi nchi kavu.
Hapo utakuwa unapingana na nature automatically.
Ufahamu ni nini?Kwa maneno haya: "Nature ilivyo ni kwamba kila kiumbe kina sehemu yake specific ya kuishi.", unakiri kwamba nature ina ufahamu na ndiyo iliyosababisha vitu vyote vya asili vilivyopo kuwepo hapo kila kitu kilipo na kwa jinsi yake.
Kwa hiyo kwa sababu sayari nyingine hazina oxygen, oxygen sio sehemu ya nature katika sayari hizo, ila sayari hizo ambazo hazina oxygen zenyewe ni sehemu ya nature. Lakini kwa sababu sayari ya dunia ina oxygen, oxygen ni sehemu ya nature na sayari ya dunia yenyewe pia ni sehemu ya nature.Hizo sayari zingine ni sehemu ya nature ila hazina oxygen.
Unauliza swali ambalo nimeshalieleza.Ufahamu ni nini?
Na wewe una uliza vitu ambavyo nimesha kujibu.Unauliza swali ambalo nimeshalieleza.
Nilisha kwambia kila kitu ni nature .Kwa hiyo kwa sababu sayari nyingine hazina oxygen, oxygen sio sehemu ya nature katika sayari hizo, ila sayari hizo ambazo hazina oxygen zenyewe ni sehemu ya nature. Lakini kwa sababu sayari ya dunia ina oxygen, oxygen ni sehemu ya nature na sayari ya dunia yenyewe pia ni sehemu ya nature.
Very interesting!!!
My point is that don't confuse nature with origin. To be specific the nature of man should not be confused with the origin of man.Nilisha kwambia kila kitu ni nature .
Hakuna sehemu niliyokwambia oxygen sio sehemu ya nature.
Wewe unazunguka zunguka tu kutafuta maswali ambayo yapo ndani ya hiyohiyo nature.
Nature ilivyo pangilia oxygen iwepo duniani na isiwepo kwenye sayari nyingine haimaanishi kwamba oxygen sio sehemu ya nature.
Maana wewe unadhani nature ni hapa hapa tu duniani.
Nimesha kwambia universe na kila kitu kwa ujumla ni nature.
Hicho chanzo cha ulimwengu ni nini?My point is that don't confuse nature with origin. To be specific the nature of man should not be confused with the origin of man.
Wewe unachanganya hayo - asili na chanzo. Asili ya ulimwengu sio chanzo cha ulimwengu. Yaani nini kimesababisha kutokea kwa ulimwengu si sawa na hali inawezesha na kufanya ulimwengu uendelee kuwepo.
Kwa hiyo:
Hoja yangu mimi inaeleza: "Nini kimesababisha kutokea kwa ulimwengu: vitu vyote vya asili vilivyopo, origin - chanzo.
Hoja yangu si hali inayofanya au inayouwezesha ulimwengu yaani vitu vyote vya asili vilivyopo kuendelea kuwepo: kufanya kazi kama vinavyofanya na kuzaliana katika hali ileile inayofanana, asili - nature.