min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sawa mkuu ,ulokole ni sawa na umekunywa sumu tayari alafu unakunywa maji kama kujiokoa kumbe ndio unaisambaza vizuri.😂😂😂
Afrika tatizo lake ni zaidi ya huo ulokole unaouona mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu ,ulokole ni sawa na umekunywa sumu tayari alafu unakunywa maji kama kujiokoa kumbe ndio unaisambaza vizuri.😂😂😂
Afrika tatizo lake ni zaidi ya huo ulokole unaouona mkuu.
Dini Afrika ni tatizo kubwa sana hivi kwamba watu sasa hawawezi kupima mambo kwa mwanga wa akili.Sawa mkuu ,ulokole ni sawa na umekunywa sumu tayari alafu unakunywa maji kama kujiokoa kumbe ndio unaisambaza vizuri.
Na huu ndio ukweli ambao watu wengi wanashindwa kuelewa.Mkuu.
Ni kweli sayansi inashughulika na vitu vinavyoonekana na vinavyoweza kupimika. Na imani inashughulika na mambo ya badae na bayana ya vitu visivyoonekana.
Kwa lugha nyingine, imani inafunua kweli za akili na sayansi inatafuta kuthibitisha kweli hizo. Nitaeleza kwa mfano, imani inaeleza kuwa ulimwengu uliumbwa na Mungu. Sayansi inatafuta ukweli wa wazo hilo - kwa jinsi gani ulimwengu umetokea? That's science.
Imani inaeleza kuwa Bikra Maria alimzaa Yesu bila kufanya tendo la ndoa na mwanaume; na kwamba kuzaliwa kwa Yesu hakukuwa kwa uhandisi wa kimaabara - imani inaeleza hivyo. Sayansi inatafuta ukweli wa jambo hilo - kwa jinsi gani (mtu) mtoto anaweza kuzaliwa pasipo ya mwanamke na mwanaume kufanya tendo la ndoa? Au pasipo ya mbegu za mwanaume na yai la mwanamke kupitia mchakato wa uhandisi wa kimaabara?
Muhimu kajua ni kwamba kati ya sayansi na imani - moja yaani, sayansi inashughulika na vitu vinavyoonekana na vinavyoweza kupimika: mambo au vitu vilivyopo sasa.
Na nyingine - yaani, imani inashughulika na mambo ya badae na bayana ya vitu visivyoonekana: mambo au vitu ambavyo kwa sasa havipo au havionekani.
Aidha, pamoja na imani, sayansi ni maarifa yanayokua na yanayoendelea
Mkuu Science ina principal zake,Mkuu.

Aidha, pamoja na imani, sayansi ni maarifa yanayokua na yanayoendelea.
Mkuu imani ya dini haitaki matumizi sahihi ya akili zaidi ya KUAMINI scripturesDini Afrika ni tatizo kubwa sana hivi kwamba watu sasa hawawezi kupima mambo kwa mwanga wa akili.
Mkuu.Mkuu imani ya dini haitaki matumizi sahihi ya akili zaidi ya KUAMINI scriptures
Mkuu.Hebu niambie Science inachunguzaje life after dearth? Inachunguzaje kuna Jehanamu au pepo au mabikira 72? Unamchunguzaje Malaika? Nk nk
Mkuu.Na huu ndio ukweli ambao watu wengi wanashindwa kuelewa.
Ndio utaona mtu analazimisha kama Mungu yupo mbona haonekani, hashikiki n.k bila kujua kuwa maswala ya Mungu yameelezwa kiimani na imani imejikita zaidi katika visivyoonekana. Hapa ni kusema kuwa kwa kuwa sayansi ina deal na vyenye kuonekana zaidi, Hivyo vitu vingi vya kiimani vinakuwa ni beyond science level.
Niwe, nisiwe nayo.Hauna logic mkuu 100%.
Reasoning capacity thinking still ni poor.
Samahani mkuu🙏.
Kama sio imani mthibitishe huyo Mungu yupo yeye mwenyewe sio kutumia vitu vilivyopo kumhusisha navyo kama ni yeye.Sio imani na Wala sihitaji kukuthibitishia ili yeye aonekane kuwa yupo, Amini au usiamini ila yeye ndio aliyeufanya uwepo wangu.
hio ni wewe umesema , usitake tufuate vile utakavyo.Niwe, nisiwe nayo.
Nakwambia hivi, Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Niwe, nisiwe nayo.
Nakwambia hivi, Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
sasa yeye ndio kasema mtamjua kuoitia vitu vilivyopo.Kama sio imani mthibitishe huyo Mungu yupo yeye mwenyewe sio kutumia vitu vilivyopo kumhusisha navyo kama ni yeye.
Mthibitishe yeye kama yeye. Sio kutumia vitu vilivyopo kumthibitisha.
Huko ni kufanya, Logical non sequitur.
Kwamba sasa kuanze kuwa na Scientific Theories za Mungu, shetani, malaika, life after death, jehanam peponi nk nk?Mkuu.
Msingi wa sayansi ni nadharia. Na nadharia kwa lugha rahisi ni shughuli zinazoongoza kufikia ukweli. Kwa hiyo ni ujuzi.
Ni ujuzi wa kuunda mfumo wa mawazo au wa maelezo; au muongozo uliopangwa ili kuelezea ukweli wa jambo fulani.
Kwenye suala la life after death kwa mfano, mtu kwa ujuzi alioupata au alionao anaweza kuunda mfumo wa mawazo wa kuangalia ufanyajikazi wa mawimbi ya ubongo wa mtu yanakuwaje wakati hajafa, akiwa mgonjwa, anapokaribia kufa na baada ya kufa.
Kwa hiyo kupitia huo mfumo anaweza kupendekeza alivyoelewa.
Mkuu imani ndio haielewekiMkuu.
Watu hawaelewi sio tu imani, bali hata sayansi ambayo wanajificha kwayo.
Unataka uthibitisho wa aina gani ? NijuzeKama sio imani mthibitishe huyo Mungu yupo yeye mwenyewe sio kutumia vitu vilivyopo kumhusisha navyo kama ni yeye.
Mthibitishe yeye kama yeye. Sio kutumia vitu vilivyopo kumthibitisha.
Huko ni kufanya, Logical non sequitur.
Mungu pia ana apply kwenye maisha yetu kila siku, Tunaofahamu yupoMkuu imani ndio haieleweki
Sayansi kila mtu anaielewa na kui apply kila siku kwenye maisha yake bila hata kujua kama ana apply sayansi
Kwa lugha rahisi kabisa na kwa level ya chini kabisa Sayansi ni LOGIC tu na haina maajabu yoyote
Hata na nyie kusema Mungu yupo ni ninyi mmesema wala msifosi na msitake kila mtu afuate mtakavyo.hio ni wewe umesema , usitake tufuate vile utakavyo.
nakwambia hivi , huyo MUNGU alikueko,yuko na ataendelea kuwepo.
Kasema wapi?sasa yeye ndio kasema mtamjua kuoitia vitu vilivyopo.
Uthibitisho wa ulipo muona huyo Mungu.Unataka uthibitisho wa aina gani ? Nijuze
Mimi sina tatizo ukisema unafahamu Mungu yupo KIIMANI kwasababu hiyo itabaki ni imani yako tu, na imani hiyo has nothing to do with Fact.Mungu pia ana apply kwenye maisha yetu kila siku, Tunaofahamu yupo