Mungu mwenye Upendo hawezi kuchoma watu kwa moto. Huo ni Ushetani

Kwahiyo Waislamu na waumini wa dini nyingine zote duniani wataenda motoni maana Mungu wao ni wa uongo?
Dini zote kama hazimkiri Yesu, wote wataenda motoni.

Kuzimu yupo mungu wao, na huyo allahu ni mmoja wa miungu ya huko.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
Imani ni shambulio la akili.

Reasoning na logic haifanyi kazi kwa wafia dini
Smotor wewe ni MPUMBAVU sawasawa na neno la Mungu lisemavyo.

Unavuta PUMZI Bure na usimjue aliyeiumba, ungekuwa mjinga ungemtafuta Mungu angekuonekanie.
 
Dini zote kama hazimkiri Yesu, wote wataenda motoni.

Kuzimu yupo mungu wao, na huyo allahu ni mmoja wa miungu ya huko.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
Ungekulia kwenye Uislamu ungeteta huko pia.
 
Smotor wewe ni MPUMBAVU sawasawa na neno la Mungu lisemavyo.

Unavuta PUMZI Bure na usimjue aliyeiumba, ungekuwa mjinga ungemtafuta Mungu angekuonekanie.
Mimi ni mpumbavu kwasababu Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Angekuwepo asingefanya ukatili huu wa kuumba mpumbavu kama mimi.

Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Unatumia hadithi za uongo kunitukana.

Poor you
 
Ungekulia kwenye Uislamu ungeteta huko pia.
Narudia,

Mungu Mimi naongea naye daily, Kwa kusoma Neno, kuomba, anasema nami katika ndoto na Maono.

Mungu ni HALISI Si hadithi, ukimtafuta Kwa bidii, atakuonekania.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Dini zote kama hazimkiri Yesu, wote wataenda motoni.

Kuzimu yupo mungu wao, na huyo allahu ni mmoja wa miungu ya huko.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
Reasoning haifanyi kazi kisawasawa.

Wewe ungezaliwa kwenye familia ya Kiislamu saizi ungekuwa unabishana na mkristo ukimuona ni mpotofu wa kutupwa.

Ungezaliwa huko kwa wa hindu, ungekuwa unaabudu ng'ombe.

Huu ni ukweli mtupu.

Ukitaka kujua ulevi wa dini uliyopo umekufikia level kubwa, kataa hilo.
 
Mimi ni mpumbavu kwasababu Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Angekuwepo asingefanya ukatili huu wa kuumba mpumbavu kama mimi.

Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Unatumia hadithi za uongo kunitukana.

Poor you
Sijakutukana, Nakuita Smotor MPUMBAVU sawasawa na lisemavyo NENO la Mungu kuwa,

MPUMBAVU amesema moyoni mwake hakuna Mungu,

Uvute PUMZI ya Mungu Bure na kusema hayupo halafu ubaki timamu?
 
Si Kweli,

Wapo waislamu waliozama kumtafuta Allah wakidhani ni Mungu, wakatokewa na YESU na kuwathibitishia Yeye ndiye.

Mungu unatakiwa umtafute Ukiwa na akili zako timamu, Si mapokeo ya Kuzaliwa,

Mimi nilimtafuta binafsi baada ya kusoma Maandiko Hasa Yohana 1:1 Kuwa,

Hapo mwanzo kulikuwako NENO, naye neno alikuwako Kwa Mungu, naye neno alikuwa Mungu.

Nilitaka kujua tofauti ya Mungu baba, Mwana/neno na Roho mtakatifu nikidhani ni tofauti,

Nilipojua UKWELI na kuthibitisha kuwa,

Yesu ndiye Baba, ndiye Mwana/Neno na Ndiye Roho mtakatifu, sikuwa na wasiwasi tena.

ELIMU Yako na Reasoning Yako ya kijinga ya Dunia hii utaendelea kuwa msukule Hadi siku ya kufa kwako, utaenda kuzimu huko ulikofungwa.

ELIMU atoayo Mungu kupitia Roho MTAKATIFU ni zaidi ya ELIMU ya Dunia, ndomana Yesu hakuenda hata darasani, lakini akijua Yote.

MUNGU ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
Sijakutukana, Nakuita Smotor MPUMBAVU sawasawa na lisemavyo NENO la Mungu kuwa,

MPUMBAVU amesema moyoni mwake hakuna Mungu,

Uvute PUMZI ya Mungu Bure na kusema hayupo halafu ubaki timamu?
Kwamba ukisema smotor mpumbavu unakuwa hujanitukana?

Kama sivyo nitaanza kumuita Mungu wako mpumbavu.

Mimi ni mpumbavu kwasababu Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Angekuwepo asingefanya ukatili huu wa kuumba mpumbavu kama mimi.

Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Unatumia hadithi za uongo tu kunitukana hapa kisa zimeandikwa matusi ya kuwatukana ambao watakuwa tofauti na mtazamo wenu.

Hata mimi naweza kuandika kitabu nkasema "Mpumbavu ni yule anayeamini nyoka anaongea, mjinga asiye na maarifa anaamini kuna Mungu"
 
Wewe Si MPUMBAVU wa kwanza kuokolewa,

Alikuwepo Mtume Paulo kabla ya Kutokea na YESU akiwa katika Utukufu na akawa kipofu sababu ya upumbavu wake.

Nakuombea, akutokee live umuone, ni HALISI na uje kushuhudia.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Wewe ni mjinga.

Nkisema wewe ni mjinga ni kwamba huna knowledge kabisa kuhusu ukisemacho.

Nmejua wewe ni mlevi wa dini

Hao waislam wanaohama ni minor sana na ni ambao wanafuata tamaa zao kama ndoa ukristoni n. k

Hata wakristo pia wapo wanaoslim.

Sasa hapo tunaangalia majority.

Mimi nmekupa mfano.

Ungekywa hata North Korea huko, ungejua hata habari za yesu wala uislamu?

Yaani wewe ni msukule haswa, hujui hata kufikiri kidhahania.

Unadhani wenzio wote waislamini habari za yesu ni wajinga sana siyo!?

Yesu huyo ni msomi mzuri tena wa dini, ni kwamba wewe hujui hilo.

Hujui history hata ya hiko kitabu unachokiamini.
Hujui kimepitia mambo yapi.
Hujui kuwa hizo habari za yesu zilipikwa tu na watu na wakaamua wachukue baadhi zingine wakaamua waziache tu.

Sasa wewe ni mfia dini tu, huwezi kufanya reasoning na mimi hapa.

Kitabu chenyewe hiko kina contradiction kibao wewe unajinasibu nacho hapa.

Kumbuka hata Mungu hujaweza kumthibitisha.
Unanitukana tu humu
 
Smotor MPUMBAVU nisikize,

Habari za Yesu hazijapikwa,

Nimekuthibitishia Mungu anaishi ndani yangu na ninawasiliana naye daily.

Unahitaji uthibitisho upi zaidi?

Wapo watoto wa Waganga waliozaliwa viringeni ,hawakuwa wakimjua Yesu,

Waliposikia INJILI kupitia njia mbalimbali kama kusoma BIBLIA, kusikiza shuhuda, kuota NDOTO, Yesu alikutana nao.

Huyo YESU wa kutengeneza simjui, Namjua Yesu Real.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Umeandika vizuri kabisa. Hongera!!
 
Nshakwambia mimi sihitaji mahubiri yako.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Wewe Unanihubiria.

Umeandika Kwamba Mungu yupo ndani yako tu then unadai ndo umethibitisha.

Hujathibitisha, maybe haujui hata kuthibitisha.

Kwangu mimi mahubiri yako hayafanyi kazi, issue ni facts.

Na nmekuonesha kabisa kuwa uwepo wa mimi mpumbavu unadhihirisha Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hawezekani kuwepo, hapo anakuwa kajipinga sifa zake

Tukianza kutupiana matusi humu, hoja hazitoonekana.
Nmeshajifunza kitu kuwa wakristo mnafundishwa lugha ya matusi na kutoheshimu watu,

Haya mimi nakupa darasa leo ufikie viwango vya kiutu

Matusi situmii, kama huna hoja matusi ya nini!?

Heshimu watu.
 
Porojo nyiiingi,

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Duuh
 
Mkuu ili tuepuke hili janga tunapaswa kufanya nini?
 
Mkuu ili tuepuke hili janga tunapaswa kufanya nini?
Tembelea hiyo U-Tube channel ya UNYAKUO TV,yapo maelekezo.🙏🙏

Ni kujiokoa tu NAFSI Yako na kuokoa watakaosikia na kuchukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…