Si Kweli,
Wapo waislamu waliozama kumtafuta Allah wakidhani ni Mungu, wakatokewa na YESU na kuwathibitishia Yeye ndiye.
Mungu unatakiwa umtafute Ukiwa na akili zako timamu, Si mapokeo ya Kuzaliwa,
Mimi nilimtafuta binafsi baada ya kusoma Maandiko Hasa Yohana 1:1 Kuwa,
Hapo mwanzo kulikuwako NENO, naye neno alikuwako Kwa Mungu, naye neno alikuwa Mungu.
Nilitaka kujua tofauti ya Mungu baba, Mwana/neno na Roho mtakatifu nikidhani ni tofauti,
Nilipojua UKWELI na kuthibitisha kuwa,
Yesu ndiye Baba, ndiye Mwana/Neno na Ndiye Roho mtakatifu, sikuwa na wasiwasi tena.
ELIMU Yako na Reasoning Yako ya kijinga ya Dunia hii utaendelea kuwa msukule Hadi siku ya kufa kwako, utaenda kuzimu huko ulikofungwa.
ELIMU atoayo Mungu kupitia Roho MTAKATIFU ni zaidi ya ELIMU ya Dunia, ndomana Yesu hakuenda hata darasani, lakini akijua Yote.
MUNGU ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.
Amen