Mungu mwenye Upendo hawezi kuchoma watu kwa moto. Huo ni Ushetani




Mungu hajachoma mtu wala hachomi mtu, Mwanadamu amepewa options za uchaguzi, uchaguzi wake ndo matokeo yake ni moto, Upendo wa Mungu upo sana kwa watii.

Mtoto anayemwadhibu mwanaye vipi na yeye? Mwanae kachagua kuazibiwa kwa kukosa utii, na Baba ana exercise kitu kinaitwa tough love.
 
Unaposema Mungu anataka tumtii alafu kuna Watu hawamtii sijui unaielewa hiyo statement? Haipo Logically Kwa level na sifa za Mungu.
tofautisha kutii na shuruti/kulazimisha.

Suala la kumtii au kutomtii Mungu ni suala la hiari ya muhusika wala halina vitisho au shuruti yeyote ile.
Mungu angetaka tumtii na tufanye Yale ayatakayo kama yaliyoagizwa na miungu(ya kwenye hizi dini tulizonazo) tungefanya pasipo kuhubiriana wala hizi hadithi.
Dini zipi izo za miungu ?
 

Sasa tunatoa Ile concept ya kumchoma MTU Kwa Moto kabisa huu Moto. Hicho ndicho ninakipinga.
Ile ni Lugha ya kifalsafa ambayo imechangamana na Fasihi.

Hata Hapa Duniani wapo Watu wanaungua Moto(wanateseka) Kwa Maisha magumu kama wapo Jehanum.
Ni Kutokana na maamuzi yetu Kwa sehemu kubwa
 
Na usomi wote ulionanao bado unaamini ni Mungu huyo huyo anaewabariki mabwanyenye watu wenye roho mbaya za kutisha na kuwaacha wengine hasa weusi kwenye tope la mahangaiko
 
Na usomi wote ulionanao bado unaamini ni Mungu huyo huyo anaewabariki mabwanyenye watu wenye roho mbaya za kutisha na kuwaacha wengine hasa weusi kwenye tope la mahangaiko
Tope la Mahangaiko ya maisha ya mtu mweusi ni matokeo ya matokeo ya matendo yake mwenyewe wala sio Mungu.
 
Na huu ndo ukweli. haya makitu ya moto ni sie tu binaadamu tumejitungia.
Dambi banaa, inakawaida ya Kumfanya anayetenda, kutafuta sababu za kukwepa Guilty !!

Wanadam wote hapa Duniani, wakifanya jambo lolote baya, Huwa wanakawaida ya kutafuta sababu ya kuhalalisha ubaya huo, na wengine njia pekee Huwa ni kukimbiaa .


Ulishawah jiuliza kwann , Ukifumaniwa , au ukifanya jambo baya la taharuki, Huwa watu wanaamua kuhama hiyo sehem????.

Au unadhan kwann Wenye ngoma, hupenda kuhama hama maeneo ya makazi???


Hiyo yote Huwa ni kuukwepa huo ukweli ,yaan mwanadam anahangaika kutafuta sababu za kuhalalisha Matatizo yake !!.


Mungu yupo, na yeye mwenye ni Pendo, ijapokua tunafanya dhambi, yeye ATABAKI kua Mungu, na atabaki kutupatia Rehema na muda wa kumjua na kurudi kwake.


Sasa basi, Usiache Mungu ,akurudishe yeye mwenyewe kwake , yaan usimpuuze Mungu kiasi kwamba ,yeye mwenyewe aamue kuingilia Kati !!!!!.


Habari za moto ni za Hakika, kama unaamin Titanic ilizama, Kama unaamin aliwah kuwepo Hitler, basi amini, Kuna watu waliwahi kuchomwa moto Kwa Dhambi za Ushoga na kufirana, wengine wakaangamizwa Kwa maji ya gharika !!.


Mungu ni mwema wakati wote !!.
 
Naunga mkono hoja, moto ni wa shetani, usipotenda mema ya Mungu ukatenda maovu ya shetani, wewe ni wa shetani na motoni utakwenda!.
P
 
Na usomi wote ulionanao bado unaamini ni Mungu huyo huyo anaewabariki mabwanyenye watu wenye roho mbaya za kutisha na kuwaacha wengine hasa weusi kwenye tope la mahangaiko
Ni Mungu huyohuyo anayenyeshea Mvua MASIKIN na matajiri , ni Mungu huyohuyo anayeruhusu MASIKIN na Matajiri wote wapitie shida, wote wanaumwa, wote wanakufa n.k !!.


Shida nyingi za Maisha Kwa wanadam ,zimewafanya waamini Mungu hayupo ,na kama yupo mbona wao ni wanamaisha magumu ?.


Wanaulizaz mbona wengine ni matajiri ?.


Mungu hakumwambia Abeli Fuga mifugo, Mungu hakumwambia Kaini fanya kilimo, Mungu hakumwambia Ayubu Fuga wananyama ,fanya biashara ,

Yeye Mungu alisema ,Fanya kazi siku sita, ya Saba pumzisha.



HATA SHETANI ANAOUWEZO WA KUKUFANYA UWE TAJIRI !!.

KWA MUNGU UTAJIRI UTAUPATA

👉KUMPENDA MUNGU KWA MOYO, AKILI NANGUVU ZAKO ZOTE.
👉KUFANYA KAZI ZAKO KWA BIDII BILA ULEGEVU.
👉KUMPENDA JIRANI ZAKO KAMA UNAVYOJIPENDA.
 
Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vilivyomo.
Asiyejulikana hata jina lake Kwa sababu hajawahi kuonekana popote pale na Wakati wowote ule.
Mbona Huyu Mungu wako ndio Mungu wa dini ulizosema hapo juu na kuwaita miungu.

Mungu wa ukristo naye ndie aliyeumba dunia na vyote vilivyomo, tofauti ya huyo mungu wa ukristo na huyo Mungu wako ni ipi ?.
 
Akuna ajuae ukwel na hakuna anaejua kutafsiri biblia/ quran kuzidi watu wote na akuna ajuae na wala hakuna aliewai kushuhudia uwo moto wala akuna alowai kuiona jehanamu cha msingi amini Mungu yupo mkubali mkili na mjue bas

Mengne ayo waachie hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…