shadrackAmri
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 275
- 4,064
yesu sio mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Kitabu halisi Kiko wapi? (Nani alithibisha hiko ni halisi na kile sio? Na kwanini tumuamini?), ko hawa waliokuwa wakristo kutokana na kuisoma sana injili(kitabu halisi cha yesu na sio biblia human version) ko walisubiri ujio wa mtume aliyetabiriwa kwenye injili naye ni muhammad, then Mungu yuleyule aliyetabiriwa kwenye ukristo wa before Islamic era ndiye yuleyule aliyeabudiwa within muhammad era.
Jamaa ameuliza kistaarabu, ila kutokana na ujinga wako na chuki ukaandika usiyoyajua ili waislamu waumie,,,,,!!!!
Kwaiyo hakuna aliyeumba mbingu na nchiNakwambia hivi, hiyo Biblia, hiyo Quran, vyote ni vitabu vya hadithi za kutungwa na watu, zilizoandikwa na watu tu.
Hakuna Allah, hakuna Mungu nje ya hizo hadithi.
Ni nani??yesu sio mungu
Kwaiyo Allah siyo mungu ni ile miungu ya waarabuNa ndio huyo Allah mmoja wao alikuwa na mabinti watatu.
Inawezekana Allah linamaanisha mungu lakini ni mungu yupi mbona wana itikadi tofaut na mungu wa Abraham na yakobAllah ni neno la kiarabu, kama ilivyo GOD ni neno la kizungu, tafsiri ya maneno hayo kwa kiswahili ni MUNGU.
Don't worry kuna siku utakutana nae huyo Mungu unaemkana kwamba hayupo utatoa hesabu ya hiyo pumzi unapewa bure ukimkana hatupo.Kwanza kabisa ishamael sio baba wa waarabu, maana kiuhalisia kama ibrahimu alikuwa mzungu wa aina yeyote yule na alizaa na kijakazi wa kimisri(watu weusi) na itambulike wazi hapa misri ya kipindi cha ibrahimu ilikaliwa na watu weusii tii hakukuwepo muarabu wala mtu mweupe, tena hao waarabu hata hawakuwepo.
Kama ibrahimu alizaa na huyo binti wa kiafrika basi hata mtoto alizaliwa chotara yaan wa kizungu na kiafrika na sio mwarabu kama Quran inavyodanganya.
Ukiendelea mbele utagundua kuwa ishmael hausiki hata kidogo na uarabu wala uislamu maana hakuwa mtu wa asili hiyo, hapa unagundua kufeli wa Quran kumiliki historia ya asili yake na maandiko yake kudanganya.
Pili huyo Allah na huyo Mungu wa biblia ni vitu viwili tofauti ambavyo vinaing'ang'ania historia fulani iwe yao kupitia maandiko yao ya kucopy.
Tatu, dunia ina maelfu ya Miungu na mamia ya dini, je kuna uhakika gani na ushahidi gani kuwa Mungu wa dini fulani ndiye sahihi?.
Nne, kila dini inamafundisho yanayopingana na dini nyingine, je Mungu gani huyo awe mmoja huku aseme hivi na kule aseme tofauti?, hapa unazidi kujionea kuwa kila dini ina kiumbe chake ambacho watu wafuasi wa dini wanakiita Mungu na wamekipa sifa za Ukuu na uumbaji uku wakikitofautisha na Kiumbe(Mungu) wa dini zingine kuwa ndiye pekee anayestahili kuabudiwa, huu ni uongo na uzushi mkubwa.
Mungu wa hizi dini angekuwepo kweli asingehitaji nguvu kubwa ya waumini wake kutumia kuaminisha watu uwepo wake wala asingetumia mikanganyiko na utata wa maandiko yake, yaani kila dini inamtafsiri hivi na wengine wanamtafsiri vile.
Kiufupi Dunia haijaumbwa na Mungu maana Mungu ni kiumbe chenye roho kama mwanadamu chenye sifa kama mwanadamu, kinaishi katika ulimwengu ambao viumbe walioumbwa wanaishi huko Rohoni,
Je Kama mbingu&ardhi ziliumbwa Muumbaji alikuwa wapi kabla ya hivi vitu kuwepo? Na inawezekana vipi muumbaji wa mbingu aje aishi mahala alipopaumba? Kabla ya kupaumba alikuwa wapi? Ukipata maswali ya haya majibu utajua kuwa kumbe Mungu si wa pekee bali kuna maelfu ya viumbe vinavyojiita Mungu ambavyo vinasifa kama ya viumbe wengine wa rohoni na vinaishi katika sehemu iliyoumbwa,
Hivyo basi viumbe hivi(Miungu) si waumbaji bali waliumbwa na wapo wengi kwa makundi mbalimbali kulingana na nguvu zao, na hawa Miungu ndio hawa wamejigawa dunian katika kila jamii kwa kujipa umiliki wa jamii fulani iwatumikie na kuwaabudu huku viumbe hawa wakiacha sheria zao na stori zao kupitia maandiko wanayoita matakatifu.
Kiundan kabisa na ukweli ambao ni mchungu, Mungu,Allah, Yesu, Yehova,Elshadai hawa ni aina ya mashetan/Aliens ambao walishuka dunian zamani sana kabla hata ya ujio wa vitoto vyao(white people) na kuanza kuudanganya ulimwengu wa watu weusi, na baada ya ujio wa watu weupe duniani, Ikawa rahisi utawala wa hao Fallen angeles(Miungu wa dini) kutawala ulimwengu kupitia watoto wao ambao ni watu wote wa jamii za wazungu, waarabu nakadhalika.
Ukweli ndio huo Miungu wote wa dini zote nia yao ni moja kuuteketeza uzao wa watu weusi kupitia hizo takataka ziitwazo dini na mafundisho yote ya dini zote.
Amkeni.
mkuu we ndo unatuchanganyaKwanza kabisa ishamael sio baba wa waarabu, maana kiuhalisia kama ibrahimu alikuwa mzungu wa aina yeyote yule na alizaa na kijakazi wa kimisri(watu weusi) na itambulike wazi hapa misri ya kipindi cha ibrahimu ilikaliwa na watu weusii tii hakukuwepo muarabu wala mtu mweupe, tena hao waarabu hata hawakuwepo.
Kama ibrahimu alizaa na huyo binti wa kiafrika basi hata mtoto alizaliwa chotara yaan wa kizungu na kiafrika na sio mwarabu kama Quran inavyodanganya.
Ukiendelea mbele utagundua kuwa ishmael hausiki hata kidogo na uarabu wala uislamu maana hakuwa mtu wa asili hiyo, hapa unagundua kufeli wa Quran kumiliki historia ya asili yake na maandiko yake kudanganya.
Pili huyo Allah na huyo Mungu wa biblia ni vitu viwili tofauti ambavyo vinaing'ang'ania historia fulani iwe yao kupitia maandiko yao ya kucopy.
Tatu, dunia ina maelfu ya Miungu na mamia ya dini, je kuna uhakika gani na ushahidi gani kuwa Mungu wa dini fulani ndiye sahihi?.
Nne, kila dini inamafundisho yanayopingana na dini nyingine, je Mungu gani huyo awe mmoja huku aseme hivi na kule aseme tofauti?, hapa unazidi kujionea kuwa kila dini ina kiumbe chake ambacho watu wafuasi wa dini wanakiita Mungu na wamekipa sifa za Ukuu na uumbaji uku wakikitofautisha na Kiumbe(Mungu) wa dini zingine kuwa ndiye pekee anayestahili kuabudiwa, huu ni uongo na uzushi mkubwa.
Mungu wa hizi dini angekuwepo kweli asingehitaji nguvu kubwa ya waumini wake kutumia kuaminisha watu uwepo wake wala asingetumia mikanganyiko na utata wa maandiko yake, yaani kila dini inamtafsiri hivi na wengine wanamtafsiri vile.
Kiufupi Dunia haijaumbwa na Mungu maana Mungu ni kiumbe chenye roho kama mwanadamu chenye sifa kama mwanadamu, kinaishi katika ulimwengu ambao viumbe walioumbwa wanaishi huko Rohoni,
Je Kama mbingu&ardhi ziliumbwa Muumbaji alikuwa wapi kabla ya hivi vitu kuwepo? Na inawezekana vipi muumbaji wa mbingu aje aishi mahala alipopaumba? Kabla ya kupaumba alikuwa wapi? Ukipata maswali ya haya majibu utajua kuwa kumbe Mungu si wa pekee bali kuna maelfu ya viumbe vinavyojiita Mungu ambavyo vinasifa kama ya viumbe wengine wa rohoni na vinaishi katika sehemu iliyoumbwa,
Hivyo basi viumbe hivi(Miungu) si waumbaji bali waliumbwa na wapo wengi kwa makundi mbalimbali kulingana na nguvu zao, na hawa Miungu ndio hawa wamejigawa dunian katika kila jamii kwa kujipa umiliki wa jamii fulani iwatumikie na kuwaabudu huku viumbe hawa wakiacha sheria zao na stori zao kupitia maandiko wanayoita matakatifu.
Kiundan kabisa na ukweli ambao ni mchungu, Mungu,Allah, Yesu, Yehova,Elshadai hawa ni aina ya mashetan/Aliens ambao walishuka dunian zamani sana kabla hata ya ujio wa vitoto vyao(white people) na kuanza kuudanganya ulimwengu wa watu weusi, na baada ya ujio wa watu weupe duniani, Ikawa rahisi utawala wa hao Fallen angeles(Miungu wa dini) kutawala ulimwengu kupitia watoto wao ambao ni watu wote wa jamii za wazungu, waarabu nakadhalika.
Ukweli ndio huo Miungu wote wa dini zote nia yao ni moja kuuteketeza uzao wa watu weusi kupitia hizo takataka ziitwazo dini na mafundisho yote ya dini zote.
Amkeni.
Unaposema "aliyeumba" unqmaanisha nini?Kwaiyo hakuna aliyeumba mbingu na nchi
wala alieumba binadamu
Itikadi tofauti zipo baina ya watu, mitazamo yao na uelewa wao. Mungu ni mmoja.Inawezekana Allah linamaanisha mungu lakini ni mungu yupi mbona wana itikadi tofaut na mungu wa Abraham na yakob
Mungu na Allah ni mmoja yaani mwanzo, ndiye aliyeandikwa katika vitabu kuwa ni mwanzo na mwisho.Wataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel ( mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-yakobo (israel)——yesu
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——mtume muhammad
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma)
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu
Kama Kweli nia yako ni Kujifunza.Wataalamu wa dini mje hapa?

comment ndefu ujinga mtupu, Akisoma mwarabu mkristo lazima acheke, umeshawahi hata kuuliza Biblia ya Kiarabu neno Mungu linaandikwaje?Kwanza kabisa ishamael sio baba wa waarabu, maana kiuhalisia kama ibrahimu alikuwa mzungu wa aina yeyote yule na alizaa na kijakazi wa kimisri(watu weusi) na itambulike wazi hapa misri ya kipindi cha ibrahimu ilikaliwa na watu weusii tii hakukuwepo muarabu wala mtu mweupe, tena hao waarabu hata hawakuwepo.
Kama ibrahimu alizaa na huyo binti wa kiafrika basi hata mtoto alizaliwa chotara yaan wa kizungu na kiafrika na sio mwarabu kama Quran inavyodanganya.
Ukiendelea mbele utagundua kuwa ishmael hausiki hata kidogo na uarabu wala uislamu maana hakuwa mtu wa asili hiyo, hapa unagundua kufeli wa Quran kumiliki historia ya asili yake na maandiko yake kudanganya.
Pili huyo Allah na huyo Mungu wa biblia ni vitu viwili tofauti ambavyo vinaing'ang'ania historia fulani iwe yao kupitia maandiko yao ya kucopy.
Tatu, dunia ina maelfu ya Miungu na mamia ya dini, je kuna uhakika gani na ushahidi gani kuwa Mungu wa dini fulani ndiye sahihi?.
Nne, kila dini inamafundisho yanayopingana na dini nyingine, je Mungu gani huyo awe mmoja huku aseme hivi na kule aseme tofauti?, hapa unazidi kujionea kuwa kila dini ina kiumbe chake ambacho watu wafuasi wa dini wanakiita Mungu na wamekipa sifa za Ukuu na uumbaji uku wakikitofautisha na Kiumbe(Mungu) wa dini zingine kuwa ndiye pekee anayestahili kuabudiwa, huu ni uongo na uzushi mkubwa.
Mungu wa hizi dini angekuwepo kweli asingehitaji nguvu kubwa ya waumini wake kutumia kuaminisha watu uwepo wake wala asingetumia mikanganyiko na utata wa maandiko yake, yaani kila dini inamtafsiri hivi na wengine wanamtafsiri vile.
Kiufupi Dunia haijaumbwa na Mungu maana Mungu ni kiumbe chenye roho kama mwanadamu chenye sifa kama mwanadamu, kinaishi katika ulimwengu ambao viumbe walioumbwa wanaishi huko Rohoni,
Je Kama mbingu&ardhi ziliumbwa Muumbaji alikuwa wapi kabla ya hivi vitu kuwepo? Na inawezekana vipi muumbaji wa mbingu aje aishi mahala alipopaumba? Kabla ya kupaumba alikuwa wapi? Ukipata maswali ya haya majibu utajua kuwa kumbe Mungu si wa pekee bali kuna maelfu ya viumbe vinavyojiita Mungu ambavyo vinasifa kama ya viumbe wengine wa rohoni na vinaishi katika sehemu iliyoumbwa,
Hivyo basi viumbe hivi(Miungu) si waumbaji bali waliumbwa na wapo wengi kwa makundi mbalimbali kulingana na nguvu zao, na hawa Miungu ndio hawa wamejigawa dunian katika kila jamii kwa kujipa umiliki wa jamii fulani iwatumikie na kuwaabudu huku viumbe hawa wakiacha sheria zao na stori zao kupitia maandiko wanayoita matakatifu.
Kiundan kabisa na ukweli ambao ni mchungu, Mungu,Allah, Yesu, Yehova,Elshadai hawa ni aina ya mashetan/Aliens ambao walishuka dunian zamani sana kabla hata ya ujio wa vitoto vyao(white people) na kuanza kuudanganya ulimwengu wa watu weusi, na baada ya ujio wa watu weupe duniani, Ikawa rahisi utawala wa hao Fallen angeles(Miungu wa dini) kutawala ulimwengu kupitia watoto wao ambao ni watu wote wa jamii za wazungu, waarabu nakadhalika.
Ukweli ndio huo Miungu wote wa dini zote nia yao ni moja kuuteketeza uzao wa watu weusi kupitia hizo takataka ziitwazo dini na mafundisho yote ya dini zote.
Amkeni.
Wataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel ( mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-yakobo (israel)——yesu
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——mtume muhammad
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma)
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu
Ewaaaaa swadakta!Kwaiyo Allah siyo mungu ni ile miungu ya waarabu
Ni kweli yesu sio mungu, isipokuwa Yesu ndio Munguyesu sio mungu
Kumbuka wakristo waarabu hawamuiti Yesu Issa. Hupo hapo?comment ndefu ujinga mtupu, Akisoma mwarabu mkristo lazima acheke, umeshawahi hata kuuliza Biblia ya Kiarabu neno Mungu linaandikwaje?
View attachment 3016848
Hii picha hapa chini sio Quran bali ni page ya Biblia ya Kiarabu
View attachment 3016851