St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Hawa ni tofauti kabisa.. Wala sio mmoja. Wamejitambulisha kwa majina tofauti.. Mmoja akiitwa Yahweh mwingine akiitwa Allah.. Mmoja ameahidi uzima wa milele wenye kusifu na kuabudu mwingine ameahidi mito ya pombe na ngono isiyoisha utamu.. Mmoja amefundisha msamaha, mwingine amefundisha kisasi.. Na hata mitume wao ni tofauti kabisa.. Kwa nini sisi tuseme ni mmoja wakati tofauti zao zipo wazi..