Kwanza lazima ujue mungu wa wayahudi sio yesu na wayahudi wanaamini mungu ni mmoja tu hakuna cha utatu kama nyie wakristo
Na wayahudi hawaamini biblia bali torati
Wakristo na wayahudi hawakaribiani hata kidogo, wao wapo karibu na uislamu kuliko ukristo
Hadi chakula chao ni halal wanaita kosher na mara nyingi wana import kutoka uturuko bidhaa zao za chakula
Huna umachojua kijana toka kwenye ukafir
Yesu hajawahi kuwa mungu na ndio maana wakati wayahudi wanamsulubu na yeye alimlilia mungu wake kwamba amemuacha
Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na wayahudi kwenye torati ni hivyo hivyo
Na sisi waislamu hadi siku wayahudi walipofanikiwa kuondoka mikononi mwa farao tunafunga na wayahudi wanafunga siku hiyo
Toka kwenye ukafir mungu ni mmoja tu
Nani kasema Mungu wa Wayahudi ni Yesu ?
Unaweza kunionesha neno Utatu au Mungu watatu popote pale ?
Ni kwanini unasema Yesu ni Mungu wakati ni Binadamu raia wa Israeli ?
Kwa umri wako Maswala ya Mungu huwezi kutajua.
Lingine, usifananishe tabia za Allah na tabia za Mungu wa Wayahudi.
Allah ana watoto watatu tu, Mungu wa Wayahudi anawaita Wayahudi anawaita Wayahudi wote kuwa ni watoto wake.
Zaburi (Psa) 2:7
Nitaihubiri amri; BWANA aliniambia, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Ukimsikiliza Allah na kumwamini na kutaka Mungu wa Wayahudi afanane naye hutawaleza kuelewa kitu.
Unachotakiwa kusema ni kuwa.
" Mimi Mungu wangu ajulikanaye kwa jina la Allah ana tabia hizi na hizi tu basi"
Kuna miungu wengi sana ulimwenguni na kila Mungu ana tabia zake ambazo hazifanani na Miungu wengine.
Na sio lazima Mungu wako afanane na mungu wenu.
Mwamini Muhammadi alipo sema katika sura ya Makafiri.
Alisema:
"Siabudu mnaye mwabudu,
Mimi nina dini yangu na nyie mna dini yenu"
Tosheka tu na Mungu wako Alah