Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Acha uongo
Wapi inaonyesha Allah alikuwa na mabinti watatu
Screenshot_20240614-133102_Chrome.jpg
 
Mkuu mbinguni ni wapi, tuelimishe!!
Mungu wa kweli anakaa mbinguni ndo makazi yake. Huyo huyo Mungu wa kweli kiti chake cha utawala kiko katika "mbingu". Mbingu ni chini ya Mbinguni. Baada ya hapo chini yake kuna "anga" au kwa lugha yetu tunaita mfumo wa nyota, sayari na jua (solar system). Sasa hapa kwenye anga (solar system) ndiko aliko huyu "allah" ambaye ni muhasi wa Mungu wa mbinguni na anatawala kwa kutumia mfumo wa "kiungu" na majini kutawala wanadamu. Anajifanya kabisa katika kuwatawala wanadamu kama Mungu. Lakini ukimpima kwa misingi ya "neno la Mungu" wa Biblia unagundua siye! Mizania
 
Mkuu usipotoshe watu, Allah ni Mungu kwa lugha ya Kiarabu kama anavyotafsirika kwetu waswahili kwa Jina la Mungu au kwa lugha ya kiingereza kuwa ni God. Majina hayo yote yamlenga na kumaanisha mhusika mmoja!!!
Yehova nae maana yake ni Nini?
 
Allah ni
Allah ni jina la Mungu wa Waislamu.
Mungu kwa kiarabu ni illah.
Kwani ukipata muda kwanda kuuliza msikitini utakosa nini?
Una haraka gani
Huyo kwani ni Dr. wa lugha ya kiarabu.

"La illah" = hakuna Mungu
"Ila Allah" = Isipokuwa Allah.
Haya ni maneno ya mwanzo ya shahada yenu ya Kiislamu.
Inaishia na
"Muhammadi rasul illah"
Na muhamadi ni mjumbe wa Mungu.
Umeziona illah mbili hapo ?
Zikimaanisha neno Mungu?
Shahada yenu inatamka neno Mungu mala mbili, na kumtaja Allah mala moja.

Wewe ulienda shule kweli ?
Najua kiarabu na watu wote wakiwemo wakristo kwenye nchi za kiarabu hutumia neno allah kumaanisha mungu ,tembea duniani ujifunze wewe unashinda kawe kwa mwamposa huwezi kujua mambo kama haya
 
Allah ni
Allah ni jina la Mungu wa Waislamu.
Mungu kwa kiarabu ni illah.
Kwani ukipata muda kwanda kuuliza msikitini utakosa nini?
Una haraka gani
Huyo kwani ni Dr. wa lugha ya kiarabu.

"La illah" = hakuna Mungu
"Ila Allah" = Isipokuwa Allah.
Haya ni maneno ya mwanzo ya shahada yenu ya Kiislamu.
Inaishia na
"Muhammadi rasul illah"
Na muhamadi ni mjumbe wa Mungu.
Umeziona illah mbili hapo ?
Zikimaanisha neno Mungu?
Shahada yenu inatamka neno Mungu mala mbili, na kumtaja Allah mala moja.

Wewe ulienda shule kweli ?
Haya pata elimu kidogo maana hujui chochote zaidi ya kubisha bisha tu vitu ulivyokaririshwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240614-134612_Chrome.jpg
    Screenshot_20240614-134612_Chrome.jpg
    357.4 KB · Views: 5
Wataalamu wa dini mje hapa?

Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?

Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)

Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.

Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).

Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).

Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.

Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?

NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Elimu elimu elimu ndio inayowasumbua haya pata elimu hapo kidogo
 

Attachments

  • Screenshot_20240614-134612_Chrome.jpg
    Screenshot_20240614-134612_Chrome.jpg
    357.4 KB · Views: 6
Mungu wa kweli anakaa mbinguni ndo makazi yake. Huyo huyo Mungu wa kweli kiti chake cha utawala kiko katika "mbingu". Mbingu ni chini ya Mbinguni. Baada ya hapo chini yake kuna "anga" au kwa lugha yetu tunaita mfumo wa nyota, sayari na jua (solar system). Sasa hapa kwenye anga(mbingu/solar system) ndiko aliko huyu "allah" ambaye ni muhasi wa Mungu wa mbinguni na anatawa kwa kutumia mfumo wa "kiungu" na majini kutawala wanadamu. Anajifanya kabisa katika kuwatawala wanadamu kama Mungu. Lakini ukimpima kwa misingi ya "neno la Mungu" wa Biblia unagundua siye! Mizania
🤣 🤣 🤣
 
Hujanjb swali langu
haya yahweh kwa jews simply means mungu sio kwamba jina lake ni yahweh acheni uzuzu hizi ni lugha tu mbali mbali za kumaanisha mungu , na jews kwao mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240614-154127_Chrome.jpg
    Screenshot_20240614-154127_Chrome.jpg
    219.8 KB · Views: 6
Mungu ni mmoja katika majina tofauti tofauti kulingana na dini!

CC Smart911
Sio dini ni lugha tu ndio tofauti kwa mfano waarabu wakristo na waislamu mungu kwa lugha yao ni allah ila mungu huyo huyo kwa kizungu ni god, na kwa jews ni yahweh, sisi waswahili ni mungu ila since tumeletewa hizi dini ndio tunakosea tunajua ni jina lake allah au yahweh
 
Sio dini ni lugha tu ndio tofauti kwa mfano waarabu wakristo na waislamu mungu kwa lugha yao ni allah ila mungu huyo huyo kwa kizungu ni god, na kwa jews ni yahweh, sisi waswahili ni mungu ila since tumeletewa hizi dini ndio tunakosea tunajua ni jina lake allah au yahweh
Asante kwa clarification

Cc Smart911
 
لقد اقتربت أيام حكم الله النهائي، وسيأتي المهدي وعيسى شاهدين له، فيضلان العالم أجمع، وسيكون الدين الإسلامي دين المسيح الدجال (المهدي) كونه حاكم العالم، ويجبر الجميع أن نعبده كأنه الله.
laqad aqtarabat 'ayaam hukm allah alnihayiy, wasayati almahdi waeisaa shahidayn lah, fayadilaan alealam 'ajmaeu, wasayakun aldiyn al'iislamiu din almasih aldijal (almahdi) kawnuh hakim alealami, wayujbir aljamie 'an naebudah ka'anah allahu.
 
Kwanza kabisa Ismael si mwana haramu, Bali yeye ni mtoto wa mke mdogo wa Ibrahimu aitwaye Hajarah.
Uzao wa Ismael ndio uzao wa Waarabu, sawasawa ilivyo kwa Yakubu (Is-haka) ambaye ndio uzao wa Wana wa Israel.
Katika Uislamu, Mola ndie huyo huyo mmoja vyovyote umuitavo kama sisi tunavyomuita MwenyeziMungu au Mungu ndivyo watakavyomuita wazungu God nk.
Lakini Kwa hususi yeye anayo majina 99 Kuu ni Lile Allah.

Allah alikuwepo kabla ya kitu pakiwa si kitu, yupo na atakuwepo daima. Ama yeye ndie aliewatuma mitume mbalimbali kwa hekima yake, kuu ni ulinganizi kwa Wanaadamu juu ya kutimiza lengo la kuletwa hapa duniani ambalo ni ibada.
Ukiwa na swali lolote ni PM nitajitahidi kukutafutia ufafanuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom