Jamani mbona mchungaji hapa keshafafanua vizuri tu ubishi unatoka wapi tenaKuna wale niliwasikia wakilalamika kwa jaziba wakidai Yesu si mungu
Wakati Wana mungu wao
Swali ni je kwanini wanapenda kuchungulia kwa jirani???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona mchungaji hapa keshafafanua vizuri tu ubishi unatoka wapi tenaKuna wale niliwasikia wakilalamika kwa jaziba wakidai Yesu si mungu
Wakati Wana mungu wao
Swali ni je kwanini wanapenda kuchungulia kwa jirani???
Ningeshangaa sana usingejitokeza hapaMungu na Allah wote ni wahusika wa hadithi za kutungwa na watu tu, nje ya hadithi hizo hakuna Mungu wala Allah.
Yani hata huyo Allah au Mungu ukichambua habari zake utaona contradictions zinazoonesha hii ni story ya kuungaunga ya watu tu.
Ndo maana nasema alah anajipendekeza kwa JehovaUpo shallow sana mzee waislamu tunaamini na tunaisoma ,torati na injili vyote na tunawaamini mitume hao wa mungu walioleta vitabu hivyo
Na nipo vizuri sana kwenye kiarabu nadhani doctor hapo amemaliza ubishi kwenye maana ya allah sina haja ya kukueleza kama umeshindwa kumuelewa hadi huyo hutaweza kuelimika
Kwahiyo mtu mwenye PhD ya utamaduni ndio anajua dini ?Huyu hachanganyi hisia na kukaririshwa kama wewe ni doctor ana phd ya mambo ya utamaduni amefanya reasearch kwa ajili ya elimu siyo wewe huna point unaleta hisia zako ili ubishane tu
na bado hapo hapo mnawaita makafiriUpo shallow sana mzee waislamu tunaamini na tunaisoma ,torati na injili vyote na tunawaamini mitume hao wa mungu walioleta vitabu hivyo
Na nipo vizuri sana kwenye kiarabu nadhani doctor hapo amemaliza ubishi kwenye maana ya allah sina haja ya kukueleza kama umeshindwa kumuelewa hadi huyo hutaweza kuelimika
Ye n nani?? yaan kwasababu ana kakanisa kake ndio uhisi kwamba yy ndie kwelJamani mbona mchungaji hapa keshafafanua vizuri tu ubishi unatoka wapi tena
Unachekesha kweli PhD ya mambo ya kucheza ngoma na kusalimiana inahusika vipi na elimu ya dini ?Huyu hachanganyi hisia na kukaririshwa kama wewe ni doctor ana phd ya mambo ya utamaduni amefanya reasearch kwa ajili ya elimu siyo wewe huna point unaleta hisia zako ili ubishane tu
Wewe kama hulijui hata jina la Mungu wako.Upo shallow sana mzee waislamu tunaamini na tunaisoma ,torati na injili vyote na tunawaamini mitume hao wa mungu walioleta vitabu hivyo
Na nipo vizuri sana kwenye kiarabu nadhani doctor hapo amemaliza ubishi kwenye maana ya allah sina haja ya kukueleza kama umeshindwa kumuelewa hadi huyo hutaweza kuelimika
Huyo Dr. Ni mtume wako mwingine hadi aaminike kwenye elimu ya dini yako ya Kiislamu ?Wewe kama hulijui hata jina la Mungu wako.
Unaendeleaje kuuliza maswali ya dini ?
Hebu niambie hapa,
Mungu wako anaitwa nani?
Ana majina 99 ambazo yametokana na sifa zake , mbona doctor hapo kakuelekeza vizuri tu acha kujitoa ufahamuWewe kama hulijui hata jina la Mungu wako.
Unaendeleaje kuuliza maswali ya dini ?
Hebu niambie hapa,
Mungu wako anaitwa nani?
Tatizo lako ni elimu hujui dini ni utamaduni poor youUnachekesha kweli PhD ya mambo ya kucheza ngoma na kusalimiana inahusika vipi na elimu ya dini ?
Nenda kwanza msikitini kaulize, Mungu wetu Allah jina lake ni nani ?
Kama Mungu wenu hana jina basi muna abudu Mungu hewa tu.
Mungu wenu anaitwa Allah
Mungu kwa kiarabu ni illah.
Ukishindwa kuuliza msikitini nenda kaulize Polisi.
Ni ukwwli mchungu ambao mliokaririshwa hampendi kuusikia yupo sahihiYe n nani?? yaan kwasababu ana kakanisa kake ndio uhisi kwamba yy ndie kwel
KAfir maana yake mtu asiyeamini mungu na mitume yakena bado hapo hapo mnawaita makafiri
haya mambo n magumu 😂😂
Hayo sio majina ni sifa 99.Ana majina 99 ambazo yametokana na sifa zake , mbona doctor hapo kakuelekeza vizuri tu acha kujitoa ufahamu
Mungu kwa waislamu ni mungu waarabu wanaita allah ,wazungu god mbona doctor hapo juu kafafanua vizuri tu ,tatizo lako ni elimu wakati hujui kituHayo sio majina ni sifa 99.
Rahman- mwenye Rehema
Al-Hakim- ni hakimu
Nk.
Hizo ni sifa 99 na sio Jina la Mungu wa Waislamu.
Kijana kadri unavyo ongea unaonesha hujui chochote kwe dini yako.
Mungu hayupo mkuu, hiyo ndiyo point.Ningeshangaa sana usingejitokeza hapa
Allah ni jina la Mungu wa Waislamu.Mungu kwa waislamu ni mungu waarabu wanaita allah ,wazungu god mbona doctor hapo juu kafafanua vizuri tu ,tatizo lako ni elimu wakati hujui kitu
Ukisoma neno katika zaburi 65:2 unasema Eee msikiaji wa sala watu wa kila aina watakujia,ikiwa na maana kila mmoja ananafasi ya kusali kwaMungu akuna lugha ususa ambayo ni muhimu ili usali kwa Mungu...akili kichwan sasa.Wataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Acha uongoNa ndio huyo Allah mmoja wao alikuwa na mabinti watatu.
Kwaiyo ulimwengu nani kaumba bro..Tungependa kujua.Hakuna ulicho fanya zaidi ya kubadilisha small letters za mungu kuwa capital letters Mungu.
Huyo Mungu au MUNGU hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.