Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Nami nitakuuliza swali ukinijibu sawa..kwanza ongera kwa kuliandika jina la YEHOVA vizuri..Je unajua maana Yake..nenda kasome kwanzia Mwanzo 3 :13 alafu urudi...nipo pale nimekaa nakusubiri.
Haujanielewa

Wewe umesema Mungu wako anaitwa YEHOVA

Ni nabii gani wa Mungu alikuwa anaongea kigiriki Hadi Mungu akajifunua jina lake ni YEHOVA?

maana YEHOVA ni nineno linalotokana na lugha ya kigiriki
 
Haujanielewa

Wewe umesema Mungu wako anaitwa YEHOVA

Ni nabii gani wa Mungu alikuwa anaongea kigiriki Hadi Mungu akajifunua jina lake ni YEHOVA?

maana YEHOVA ni nineno linalotokana na lugha ya kigiriki
Ni neno linalotokana na kigiriki
Haujanielewa

Wewe umesema Mungu wako anaitwa YEHOVA

Ni nabii gani wa Mungu alikuwa anaongea kigiriki Hadi Mungu akajifunua jina lake ni YEHOVA?

maana YEHOVA ni nineno linalotokana na lugha ya kigiriki
Ukijua maana yake ndo uniulize katafute maana yake alafu soma maandiko....
 
Kama YEHOVA ni neno linalotokana na Lugha ya kigiriki basi tambua kuwa Mungu hajawahi kujiita yeye ni YEHOVA
Kwann ulijiita jina ulilonalo sasa,oooh au kwann wazazi wako walikupa jina ulivyo zaliwa 🤔 kuna maana nyuma yake kila jina lina maana ...Amka ulipo kaa umekalia akili bro🤫🤫😂😂😂
 
Kiuhalisia na ukweli ni kwamba hamna msomi wa madrasa anayefundishwa kufuga majini kama unavyoamini, madrasa wanafundishwa kumjua Mungu na kutekeleza wajibu kama binadamu aliyeumbwa ili amuabudu Mungu, na ndio maana hamna Ostadh wa kweli anayenadi kuhusu miujiza au pesa za ajabu, hao unaowaona wakifanya hivyo sio watu wa dini ya kiislamu bali ni washirikina waliozaliwa kutokana na wazazi wenye kuamini juu ya uislamu tofauti na wakristo ambao ni viongozi wa kanisa au wanamiliki makanisa na wanafanya ushirikina at the same.
 
Kwann ulijiita jina ulilonalo sasa,oooh au kwann wazazi wako walikupa jina ulivyo zaliwa 🤔 kuna maana nyuma yake kila jina lina maana ...Amka ulipo kaa umekalia akili bro🤫🤫😂😂😂

Sio wewe tu wakristo wote jina la Mungu aliyekuumbeni hamlijui na Wala sifa zake hamzijui

Na ndio maana wengine wanasema Mungu wapo 3

Wengine wanasema Kuna Mungu baba na Mungu mwana

Wengine wanasema Mungu huyo huyo alijigeuza binadamu akaja kuishi Duniani akapanga chumba katika nyumba ya mzee Nathaeli pale Jerusalem

Hizo zote ndio hizo sifa za Mungu wenu wa kigiriki anayeitwa YEHOVA

Ila Mungu muumba mbingu na aridhi aliyejufunua Kwa Musa ni mmoja tu yupo peke yake na hajawahi kujiita YEHOVA
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Hivi nyie mnaopinga uwepo wa Mungu wafa mko siriasi,? Au mnafurahisha genge
Mzee we uliozaliwa uyo MUNGU akiwa yupo tayari ndani Yako ama ulifundishwa na dini uliyopo kuwa Kuna MUNGU na kukaririshwa?🤔
 
Yani nawashangaa sana wanopojibu hoja kupitia maandiko Yani wanayaamini asilimia 💯 hawatak at kutilia shaka kwamba yaliandikwa na watu
Ivi waandishi wa Quran n nani??
Au muhamad aliandika afu akawapatia
 
Kaka jitathimini sana
 
Mzee we uliozaliwa uyo MUNGU akiwa yupo tayari ndani Yako ama ulifundishwa na dini uliyopo kuwa Kuna MUNGU na kukaririshwa?🤔
Fanya jaribio zaa mtoto muweke mbali na jamii kabisa asijue chochote akifika miaka 7 au kabla siku Moja utamkuta anaabudu hili halina shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…