The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Hivyo vitabu vingine havina stori ya uwepo wa mungu mwenye nguvu, mungu mjua yote, mungu mwenye upendo wa dhati ambae anakupenda sana ila atakuchoma moto. Havina.Kwahiyo Miungu ya kwenye vitabu na imani zengine(tofauti na Qur'an na Biblia) wapo?
Kwahiyo hiyo kama Mungu wa kwenye Qur'an na Biblia asingeelezwa kwa hizo sifa (za upendo wote,uwezo na mwenyewe nguvu)ingekuwa Mungu huyo kuwepo?Hivyo vitabu vingine havina stori ya uwepo wa mungu mwenye nguvu, mungu mjua yote, mungu mwenye upendo wa dhati ambae anakupenda sana ila atakuchoma moto. Havina.
Uliza maswali ya maana kidogo basi kiongoziKwahiyo hiyo kama Mungu wa kwenye Qur'an na Biblia asingeelezwa kwa hizo sifa (za upendo wote,uwezo na mwenyewe nguvu)ingekuwa Mungu huyo kuwepo?
Mkuu hii hoja yenu ya kusema Mungu wa Qur'an na Biblia hayupo haileti maana, Mungu ni Mungu tu hivyo vitabu vinaelezea ya kumuhusu huyo Mungu sasa kama kuna maelezo kwenye hivyo vitabu ambayo unaona sio sahihi ungesema kuna maelezo yasio sahihi kuhusu Mungu kwenye hivyo vitabu sio kusema Mungu wa biblia na qur'an hayupo kwangu haileti maana.Uliza maswali ya maana kidogo basi kiongozi
Kabla ya yeye kumjua Mungu hakua anaishi? Aliwezaje kuishi pasipo kumjua Mungu?Labda nikuulize huyo Mungu wewe ulimjua tu mwenyewe uwepo wake( kama ulivyojua kunyonya titi la mama) au uwepo wa anayeitwa Mungu ulijua kupitia watu?
NakaziaMungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu.
Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu?
Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni mpango wa mwanadamu. Dini imejaa vitisho, Mungu hana haja ya kumtisha mtu.
Dini zimeenezwa kwa kufanya mauaji makubwa. Mungu wetu anachukia mauaji.
Dini ni mpango halisi wa shetani, kuwadanganya watu, wajione wanamfuata Mungu kumbe wako maili nyingi sana na mpango wa Mungu kwa mwanadamu.
Kama dini haiwezi kukupeleka Kariakoo, itawezaje kukupelela mbinguni?
Ukiweza kumpenda jirani yako kama nafsi yako mwenyewe wewe utakuwa bora kuliko mtu anayesali kuanzia asubuhi hadi usiku wa manane.
Upendo ndio kusudi la mwanadamu kuwepo duniani. Tukipendana kwa dhati, dunia ndio Paradiso yenyewe.
Naunga mkono hojaDini ni sheria
Dini ni utamaduni
Dini ni historia
Kwa sababu chache za hapo juu zinafanya dini kuwa ubanguzi na matabaka. DiNi SIO MUNGU.
Mungu ni IMANI.
Tupe hicho kitabu @wandewa tukipitie.Mkuuu Kama nakuelewa hiiv
Nikiunganisha na Lesson ya kitabu Cha Rhonda Byrne "THE POWER"
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nasisitiza Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Tulianza kumuabudu Mungu kabla hata dini hazijaja. Wanyakyusa Mungu wanamwita Kyala, Wasukuma wanamwita Seba, Wanyihaa wanamwita Mulungu.Naona swali la msingi unalikwepa kila ukijaribu kuulizwa.
Swali:
Mungu na Concept mzima ya Mungu imeletwa na kuelezewa na hizo Dini na sisi wote tumejua kuna Mungu kupitia hizo Dini, kwa kifupi God issues is religious things, sasa wewe hapa unasema unaamini kuna Mungu ila huamini Dini hizo zilizokuletea Cocept ya huyo Mungu mbona kama haingii akilini.
Muelezee huyo mungu anayemuamini wewe ambae si wadini yeyote, umemjulia wapi, ameamrisha nini, kupitia nini umepata hayo maamrisho au miongozo yake na nini ESSENCES ya hio miongozo wa huyo mungu unayemuamini wewe....na inakuwaje huyo mungu awe na miongozo fulani bila kuwa na mfumo unayesimamia hio miongozo ambapo pale mfumo huo unaitwa Dini.
nadhani ungeeleza mambo haya kwa kina tukuelewe.
Ndio maana hamna dini ya kweli wala ya haki. Zote zilienea kwa kuuwa watu wasio na hatiaDini zinajifanya zimetumwa na Mungu ili ziwe Agents wake hapa Duniani.
Ndio maana ziko nyingi sana.
Hivi kakuambia yupo kwenye mfungo ee?Bro swaumu imekuchukua mapema sana leo.........
Ndiyo ukweli,umakini tuBado nasisitiza Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Tulianza kumuabudu Mungu kabla hata dini hazijaja. Wanyakyusa Mungu wanamwita Kyala, Wasukuma wanamwita Seba, Wanyihaa wanamwita Mulungu.
Wazee wetu walimwomba Mungu naye akawajibu kabla hata dini hazijaja.
Dini zimeleta uongo mwingi na kuharibu kabisa ufahamu na uelewa wetu juu ya Mungu.
Tumtolee Mungu matoleo, mnatoa sadaka, halafu zinamfikiaje Mungu? Utajibiwa ni mishahara ya watumishi wake.Ndiyo ukweli,umakini tu
Hiyo inajulika Buji,we huoni mwamposa alivyotajirika kwa sadaka ya kujimaliza?Tumtolee Mungu matoleo, mnatoa sadaka, halafu zinamfikiaje Mungu? Utajibiwa ni mishahara ya watumishi wake.
Mungu hata usipoenda kanisani au msikitini utajua tu yupo...Mungu anaongea na sisi muda wote..ni vile tunsjitoa ufahamu...Ndo maana huhitaji mtu akuambie hiki ni kibaya, kuna sauti ndani iko wazi sana...Labda nikuulize huyo Mungu wewe ulimjua tu mwenyewe uwepo wake( kama ulivyojua kunyonya titi la mama) au uwepo wa anayeitwa Mungu ulijua kupitia watu?