Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Mbingu ni nini..?MUNGU ni yule aliyeziumba mbingu na nchi
Kaka MUNGU MWENYEZI ni majifunuo si wa jana au leo ila ni wa mileleSorry naomba kuuliza lugha ni nini?
Lugha zimetokea wapi?
Kiswahili tunachozungumza Sasa miaka 100000 huko nyumba tulizungumza, je dini zilizopo Sasa zilikuwepo, imani zilikuwepo.
Hawa jamaa wanachosha hata kujadiliana nao kama watoto vile
Hao uliowatag ni watu waliopotoswa kupitia jamaa mmoja anaitwa mudy rafiki yake na Chizi Maarifa
Mungu mwenye uwezo mkubwa ameshindwa vipi kuwazuia hao miungu mingine kuabudiwa? Na unaambiwa yeye anapenda sana sifa na anawivu.Mtumish Kuna MUNGU na miungu
Hao 999999 ni miungu ila MUNGU ni yule aliyeziumba mbingu na nchi kwa njia ya KRISTO YESU
Mungu amekubalije vijana/watoto/viumbe wake kupotoshwa? Huoni kwamba yeye si mwema/msaidizi?Hao uliowatag ni watu waliopotoswa kupitia jamaa mmoja anaitwa mudy rafiki yake na Chizi Maarifa
Nijubu kwa hoja mkuu labda nitashawishika.
A lot of theories zimejaribu kujibu hili theories like cosmology, evolution na nyinginezo zimejaribu kueleza ingawa neither theory is perfect that's why zote ni nadharia tu hata ambayo unataka kutueleza hapa ya Mungu ni nadharia tu .... Haina ukweli that's why skeptical thinkers judge it and try to look on other theoriesNature hii imetokana na nini inabidi ujiulize
Hii mifumo unayoona kwenye dunia imetengenezwa na nini na nani kaitengeneza inabidi ujiulize
Kwamba ulimwengu ulitokea tu dunia ikaja ikatokea tu na hata binadamu na wanyama tulitokea tu
Ndugu jibu la muhimu ni kuwa imetengenezwa/ kuumbwa au kutokea tu
Ukiambiwa sasahiv kuwa hizi simu tunazotumia zimetokea tu utakubali kiongozi???? Elewa hili na uulize swali lako kiongozi
unavyosema neno chanzo tunamaanisha mwanzo wa vitu kama jua ardhi mwezi na vinginevyo ulimwenguniSorry naomba niulize kitu kimoja unaweza je tuthibitisha kwamba Mungu ni chanzo?
Je Mungu ni nani, yeye ametokea wapi? Binadamu walimfahamu vp?
Hapo Mungu anasifa zote za ubaya na uzuri. Shetani wamemchora kwa sifa moja tu ya ubaya ila ukitizama vizuri utaona Mungu ndo aliesababisha yote haya kutokea.Ubaya na uzuri hauwezi kuisha kamwe kwa sababu ni asili tu ya ubinadamu na maisha .
Hayo ya Mungu na shetani ni majina yaliyopewa tu hizi dhana mbili zinazotegemeana ,ili kuzipa picha na personality tu kwenye akili ya binadamu.
Mwisho wa siku tunaangalia ipi yenye nguvu kwenye hili suala la mwanzo wa kila kitu na ipi Ina majibu yakutoshaA lot of theories zimejaribu kujibu hili theories like cosmology, evolution na nyinginezo zimejaribu kueleza ingawa neither theory is perfect that's why zote ni nadharia tu hata ambayo unataka kutueleza hapa ya Mungu ni nadharia tu .... Haina ukweli that's why skeptical thinkers judge it and try to look on other theories
Wewe ukiniambia chanzo Cha Dunia ni mwenyezi Mungu mimi ntasema Bing bang ukiniuliza Bing bang imetokea wap na Mimi nitauliza Mungu katokea wapi so neither theory explains this that's why thinkers humu JF wanakuambia kama wewe unavyofikiri same to thinkers wanafikiri on the other side.
Everything that has to be created need an ingredient mzee, tukija kwako je Mungu katokea wapi na ingredients zimetoka wapi?unavyosema neno chanzo tunamaanisha mwanzo wa vitu kama jua ardhi mwezi na vinginevyo ulimwenguni
Nani ameunda hizi force of gravity nani ameleta galaxy ndiyo hicho chanzo na mwanzo wa kila kitu tunasema ni Mungu
Mungu ni muumbaji na mwanzo wa kila kitu na asili yake anapotokea me sijui mkuu na hili siwezi kulijibu kwasababu haliathiri uwezo wangu wa kuona alivyoviumba
Utashi mkuu binadamu tumepewa akili ya kutambua vitu vilivyopo
Bila kuwa na hisia ya aina yoyote Mungu hayupo na kama yupo hana maana yoyote umuhimu wowote kwenye maisha na wala hakuna sababu ya kumwamini π€Hapo Mungu anasifa zote za ubaya na uzuri. Shetani wamemchora kwa sifa moja tu ya ubaya ila ukitizama vizuri utaona Mungu ndo aliesababisha yote haya kutokea.
Sasa unadhani hiyo theory of creation ndio Ina majibu ya kutosha wakati bing bang inatumia na wanasayansi kuelezea most phenomenons zinazotokea duniani and it's realMwisho wa siku tunaangalia ipi yenye nguvu kwenye hili suala la mwanzo wa kila kitu na ipi Ina majibu yakutosha
Achana na habari za kifo mboni ukikosa tu hela unalia lia kama kila kitu kipo ndani ya mtu si ilibidi uwezo wa kuimiliki hela au usiimiliki uwe nao mwenyewe?ππππ kila kitu kipo within human boundaries acha hofu kifo ni part of nature circle
Bado haithibitishi uwepo wa Mungu bwashee, kuwa na hela au kutokuwa nazo inategemea na personal effort, bado ipo kwenye uweza wa mtuAchana na habari za kifo mboni ukikosa tu hela unalia lia kama kila kitu kipo ndani ya mtu si ilibidi uwezo wa kuimiliki hela au usiimiliki uwe nao mwenyewe?
Kama unaweza kuamua kujisemea tu Mungu hayupo na akili zikakutuma kweli hayupo mbona jambo dogo kama hilo hapo juu linakushinda?hela unaziona kabisa mwenzako anazihesabu na wewe mfukoni mia mbovu huna kwanini usiwaze tu ni *natural mtu kumiliki helaβ na wewe zikajaa mifukoni mwako?
Hili swali mnapenda sana kuuliza ila jibu lake ni kuwa hata tukijua kuwa ametokea wapi haiwezi kupunguza uwezo wakeEverything that has to be created need an ingredient mzee, tukija kwako je Mungu katokea wapi na ingredients zimetoka wapi?
Sema Hawa jamaa ukiwashida kwa hoja wanaanza vitisho.Bado haithibitishi uwepo wa Mungu bwashee, kuwa na hela au kutokuwa nazo inategemea na personal effort, bado ipo kwenye uweza wa mtu
Leta hoja ingine