beberu la mtaa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 682
- 1,666
Cha ajabu anafungua hivyo visoda ili aje kutuaminisha kuwa Mungu yupo πππKwahiyo huwezi kujadiliana mpaka ufungue visoda kadhaa π
Kufa ni nature character ni lazima viumbe tufe ili Ardhi i- produce bidhaa mpya ili Ardhi iendelee na uuzalishaji , ndio maana majani yaliyopo mtini ni lazima yapukutike yarudishe kile ambacho ili kivuna katika Ardhi the same katika Kila kitu ambacho no zao la ArdhiNa rika lako waliokufa na wewe uliye hai haitoshi kukuonyesha Mungu alikuwapo, yupo na ataendelea kuwepo?
Mimi tangu nazaliwa najua hayupo, labda ninyi mliotengeze uwepo wake ndo mnipe ushahidi wa uwepo wake.Naam ila nipe dhana kwanza unayotumia kukosoa uwepo wake
Na huu ndio uhalisia tulidanganywa Sana!Ubaya na uzuri hauwezi kuisha kamwe kwa sababu ni asili tu ya ubinadamu na maisha .
Hayo ya Mungu na shetani ni majina yaliyopewa tu hizi dhana mbili zinazotegemeana ,ili kuzipa picha na personality tu kwenye akili ya bin
Na ukiondoa dhana ya shetani dhana ya Mungu itakua haina maana na ukiondoa dhana ya ubaya wema hautakua na maanaNa huu ndio uhalisia tulidanganywa Sana!
FANYA KILA LIWEZEKANALO UFUTE HUU UZI LAKINI BAADA YA HAPO USIRUDIE TENA KUSEMA HAYA MANENOWakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi.
Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani.
Naishia hapa Kwa sasa.
Wazungu Wa zamani walitumia akili zao vizuri!Na ukiondoa dhana ya shetani dhana ya Mungu itakua haina maana na ukiondoa dhana ya ubaya wema hautakua na maana
Tuweke hivi vitabu vya dini pembeni rejea zake sometimes sio sahihiMimi tangu nazaliwa najua hayupo, labda ninyi mliotengeze uwepo wake ndo mnipe ushahidi wa uwepo wake.
Mungu akasema ,ana upendo, ana chukia ,ana hasira, ana wivu anataka kuabudiwa , kwa hizi tabia ina onyesha ni kiumbe mwenye mahitaji fulaniKwani Mungu ni nini au ni nani mpaka watu wabishanie uwepo wake?
Ndiyo ameumba vyote uvionavyo pamoja na mwanadamuKwani Mungu ni nini au ni nani mpaka watu wabishanie uwepo wake?
Kasema wapi mkuuMungu akasema ,ana upendo, ana chukia ,ana hasira, ana wivu anataka kuabudiwa , kwa hizi tabia ina onyesha ni kiumbe mwenye mahitaji fulani
Kumb la torati 4.24Kasema wapi mkuu
Mi sipo sihitaji kuwakosa bikira 72 hivihivi kizembe.Uhalisia tu.
Kwakweli siwezi kumjibiaHivi kwa nini mungu ameshindwa kumsamehe Shetani huku akitutaka sisi tusameheane saba mara sabini?
Kwanini unatoa rejea huko ???unaviamini?Kumb la torati 4.24
Maana utamkufuru, siyo?Kwakweli siwezi kumjibia