Kutoa rejea ,hakumaanishi kuwa una aminiKwanini unatoa rejea huko ???unaviamini?
Usinitishie mkuu.FANYA KILA LIWEZEKANALO UFUTE HUU UZI LAKINI BAADA YA HAPO USIRUDIE TENA KUSEMA HAYA MANENO
Na mimi sihitaji huviamini hivyo vitabu nahitaji utumie akili kutambua uwepo wa aliyeumba kila kituKutoa rejea ,hakumaanishi kuwa una amini
Asili ya Mungu ni nini?Na mimi sihitaji huviamini hivyo vitabu nahitaji utumie akili kutambua uwepo wa aliyeumba kila kitu
Kwa unavyofikiria je asili ya mwanadam ni nini kama hajaumbwa na Mungu ???
Leta jibu kwanza bwasheeAsili ya Mungu ni nini?
Sawa, hakuna tatizo, ukaidi una madhara makubwa sana, cheza na vitu vyote lakini usithubutu kucheza na tembo kwasababu atakukanyagaUsinitishie mkuu.
Kilichokufanya wewe uulize swali ndicho kilichonifanya na mimi niulize swali kabla ya kujibu swali lakoLeta jibu kwanza bwashee
Usitumie mbinu ya swali ni jibu
Leta jibu halafu uliza swali ujibiwe usiwe na haraka tutafika mwisho tu
Mi hakuna atayeniambia tofauti ili niwakose bikra zangu 72 peponi 😁Watu wabishi sana Kwahiyo acha niguse kwanza naweza kuokoa watu leo
secretarybird ona hii kabla hujaonewaUbaya na uzuri hauwezi kuisha kamwe kwa sababu ni asili tu ya ubinadamu na maisha .
Hayo ya Mungu na shetani ni majina yaliyopewa tu hizi dhana mbili zinazotegemeana ,ili kuzipa picha na personality tu kwenye akili ya binadamu.
Sawa mkuu.Sawa, hakuna tatizo, ukaidi una madhara makubwa sana, cheza na vitu vyote lakini usithubutu kucheza na tembo kwasababu atakukanyaga
Sawa uzuri ni kuwa tunaeleweshana na tutumie akili zetu kujibu hili tusiende kwenye kitabu chochote cha diniKilichokufanya wewe uulize swali ndicho kilichonifanya na mimi niulize swali kabla ya kujibu swali lako
Nimeona mkuu.secretarybird ona hii kabla hujaonewa
Hawataki tufaidi 😂Mi hakuna atayeniambia tofauti ili niwakose bikra zangu 72 peponi 😁
Ni dhana ya uwongo.Kwani Mungu ni nini au ni nani mpaka watu wabishanie uwepo wake?
Wewe una amini hivyo , ni muhimu sana uendelee kuamini kwa sababu ili kuua imani yako yakupasa uthibitishe uwepo MunguSawa uzuri ni kuwa tunaeleweshana na tutumie akili zetu kujibu hili tusiende kwenye kitabu chochote cha dini
Swali umeuliza asili ya Mungu
Mungu ndiyo kaumba ulimwengu na vyote vilivyomo
Kuhitaji kuthibitisha asili yake ili kumuamini ni dhana isiyo na mashiko kwasababu hakuna umuhimu sana wa kujua asili ya kitu au mtu ili tuweze kukutumia au kumuamini
Kwa mfano leo hii kuna gari aina ya IST me Mnunuzi sina ulazima wa kujua kama gari hii imegunduliwa na nani na kutengenezwa na nani kwa Mara ya kwanza ili niweze kuiendesha maana hata nisipojua ila kama gari Zima na nimeipenda naweza kuichukua na kuiendesha
Kama una swali juu ya hili uliza bwashee na mimi nikuulize yangu
Yeye kaumbwa na nani?Ndiyo ameumba vyote uvionavyo pamoja na mwanadamu
Mi nimeamu kuwatafuta mabikra huku duniani mkuu. Nimegundua kule hakuna bikra hata mmoja.Mi sipo sihitaji kuwakosa bikira 72 hivihivi kizembe.