Mungu ndiye aliyempa Urais Mama Samia. Hawezi kushushwa na Mwanadamu mwenye chuki binafsi

Hiyo iko aya gani ya vitabu vitakatifu? Mungu hajawahi kutuchagukia kiongozi Tanzania. Viongozi wa Ccm huwekwa na polisi
 
Naunga mkono hoja, Samia Mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa Hili, Atabarikiwa!, Taifa Litabarikiwa!. Asante Mungu kwa Samia, Mungu Mbariki Samia, Mungu Ibariki Tanzania
P
 

Hivi nyie Sukuma gang (sorry kama wewe haumo) si mna amini Magu ameondoka katika umri mdogo kwa kuhujumiwa maisha yake? Sasa kama makamu wake ni mpango wa Mungu yeye kuwa kiongozi ndio tukubaliane sasa kuwa hata Magu kuondoka pia utakuwa mpango wa Mungu ili hili litimie.
Pascal unadhani kwanini Mungu aliunga mkono mpango huo wa kumuondoa Magu? Maana angekataa isingetokea kama ilivyoshindikana kwa yule Mr 16 Bullets ambaye tunaye na hajatetereka?


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Chakaza , kwanza ni kweli mimi japo ni Msukuma, sio tuu sio sehemu ya Sukuma Gang but I don't believe that Sukuma Gang does exist in reality, it's just a fictitious group.
Pili kuondoka mapema kwa JPM ni mpango wa Mungu, na ujio wa Samia pia ni mpango wa Mungu, akina sisi hili tulilizungumza kabla Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
Pascal unadhani kwanini Mungu aliunga mkono mpango huo wa kumuondoa Magu? Maana angekataa isingetokea kama ilivyoshindikana kwa yule Mr 16 Bullets ambaye tunaye na hajatetereka?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sio Mungu aliunga mkono ni Mungu mwenyewe ndio amemuita kwake na saa hizi yuko nae Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Kiongozi wa nchi hapaswi kuwa mwanamke. (Tanzania) tunatenda dhambi kwa kumruhusu mwanamke (aendelee)kuwa kiongozi.
Mwanamke ata panic yakitokea matatizo. Mwanamke siyo reasonable. Mwanamke ana mihemuko.(emotional) Lakini muhimu ni kwamba Msahafu hautaki mwanamke awe kiongozi.
Uingereza alikuwepo Malkia haikuwepo migomo.sasa malkia ameondoka wafanyakazi wanagoma. Tena wanagoma kiasi kwamba utafikiria there is a coup detat against the king.
Swali ni kwamba why is there this difference of behaviour when a woman is keader and when a man is leader?
Wale wafanyakazi walikuwa na manung'uniko yale toka zamani,lakini wamesubiri malkia aondoke ili waweze kusema.
Funika kombe mwanaharamu apite.
 
Kaka unaongea kama nani kati ya haya!!!!!Moja kukipendekeza kwa watawala!!!Pili mkerekwetwa wa CCM!!!Na tatu Mtu wa dini ambae umekaa na Mungu afu akakuambia alipanga afe magufuli then amteue mama Samia!!!Unatuchanganya wadogo zako tunakua kama hatukuelewi
 
Kaka mbona mnatuchanganya!!!
 
Kaka una hakika na unayosema au ni dhahania????Wewe ushakaa na watanzania wote wakakupa mawazo yao kua wanamuunga mkono raisi??
 
Mmmm kaka wewe unaishi wapi mbona unatuchanganya wadogo zako!!!!Maji yapo kila sehemu na mimi nipo hapo mbagala charambe tu na hakuna maji kaka????
 
Rais Samia Ni kiongozi Mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu Ndio sababu unaona namna anavyoungwa mkono na mamillion ya watanzania, huyo Hitler Nadhani unafahamu hatima yake kule Ujerumani na historia yake katika Taifa lake mpaka leo
Kaka mbona unatuchanganya wadogo zako yeye mama samia kakaa na wewe afu akakuambia ana hofu ya Mungu!!!Afu hao mamilioni ya watanzania uliwahesabia wapi!!Mimi ni mwanachama wa CCM ila sipendi wanafiki ambao kazi yao ni kusifia tu viongozi ili waonekane au wapate teuzi!!!Hata Mama Samia hapendezwi na hilo
 
Umemchana Laivu mwambie aache kujipendekeza kwa maneno mengi yasiyokuwa na tija.
 
Matendo ya mtu na maneno yake au kauli zake ndio yanayo kuonyesha Tabia ya mtu, kiongozi katili anatambulika kwa maneno au kauli zake na matendo yake,
 
Matendo ya mtu na maneno yake au kauli zake ndio yanayo kuonyesha Tabia ya mtu, kiongozi katili anatambulika kwa maneno au kauli zake na matendo yake,
Sasa kaka wewe matendo ya mama samia unayajua????Au unazungumzia matendo na kauli za kwenye protoko ya uraisi!!!Kaka unatuchanganya wadogo zako ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…