Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hii ni ID ya Nape ya ku praise na ku worship huku JF....š¤£Kweli wewe unafanana na jina lako maana hata kusoma tu kwako ni shida. Naamini hata kuelewa huwezi kuelewa chochote kile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni ID ya Nape ya ku praise na ku worship huku JF....š¤£Kweli wewe unafanana na jina lako maana hata kusoma tu kwako ni shida. Naamini hata kuelewa huwezi kuelewa chochote kile
Kwani wapi palipoandikwa mh Nape hapo au hata kusoma hujuwi au ndio hivyo Kama jina lako lilivyoHii ni ID ya Nape ya ku praise na ku worship huku JF....š¤£
Hii ni ID ya Nape usibisheKwani wapi palipoandikwa mh Nape hapo au hata kusoma hujuwi au ndio hivyo Kama jina lako lilivyo
Kwa hiyo Mimi Ni mh Nape?Hii ni ID ya Nape usibishe
Hii ni Id ya Nape.Kwa hiyo Mimi Ni mh Nape?
Naunga mkono hoja, Samia Mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa Hili, Atabarikiwa!, Taifa Litabarikiwa!. Asante Mungu kwa Samia, Mungu Mbariki Samia, Mungu Ibariki TanzaniaMama Samia Amefika Hapo kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, Amefika Hapo kwa mipango ya Mwenyezi Mungu, Amefika Hapo kwa kuwa ndivyo ambavyo Mwenyezi Mungu alimwandikia hivyo, Kwa kuwa ndivyo Mwenyezi Mungu alipanga iwe Hivyo, Ndivyo Ambavyo alitaka agano litimie katika ulimwengu wa kiroho wa uumbaji wa Mama Samia Tangia Akiwa Tumboni mwa mama yake
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Mkuu Chakaza , kwanza ni kweli mimi japo ni Msukuma, sio tuu sio sehemu ya Sukuma Gang but I don't believe that Sukuma Gang does exist in reality, it's just a fictitious group.Hivi nyie Sukuma gang (sorry kama wewe haumo) si mna amini Magu ameondoka katika umri mdogo kwa kuhujumiwa maisha yake? Sasa kama makamu wake ni mpango wa Mungu yeye kuwa kiongozi ndio tukubaliane sasa kuwa hata Magu kuondoka pia utakuwa mpango wa Mungu ili hili litimie.
Sio Mungu aliunga mkono ni Mungu mwenyewe ndio amemuita kwake na saa hizi yuko nae Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniPascal unadhani kwanini Mungu aliunga mkono mpango huo wa kumuondoa Magu? Maana angekataa isingetokea kama ilivyoshindikana kwa yule Mr 16 Bullets ambaye tunaye na hajatetereka?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kiongozi wa nchi hapaswi kuwa mwanamke. (Tanzania) tunatenda dhambi kwa kumruhusu mwanamke (aendelee)kuwa kiongozi.Ndugu zangu Uongozi unatoka Kwa Mwenyezi Mungu anayetufahamu sisi Tungali katika Matumbo ya Mama zetu, Yeye Ndiye Anayejuwa hatima yetu, yeye ndiye mtoa Riziki, Neema na Baraka, yeye ndiye kiongozi mkuu wa viongozi wote hapa chini ya jua. Ndiye mtoa Maarifa na Njia kwa wale wamchao na kufuata njia zake.
Rais Samia yupo hapo ,Amefika hapo kwa kuwa Mwenyezi Mungu Alimuandikia kufika hapo. Mama Samia Hajafika hapo kwa uweza wa Mwanadamu, hajafika hapo kwa ujanja wake, kwa Akili zake, kwa Dini yake,kwa kabila lake, kwa jinsia yake, kwa nguvu zake, kwa mipango ya kiuanadamu, kwa Fedha zake, kwa ukarimu wake, upole wake, ucheshi wake, sura yake, Mwendo wake, Sauti yake, Umbo lake, kimo chake, Maono yake, mikakati na mbinu zake, familia yake na Elimu yake.
Mama Samia Amefika Hapo kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, Amefika Hapo kwa mipango ya Mwenyezi Mungu, Amefika Hapo kwa kuwa ndivyo ambavyo Mwenyezi Mungu alimwandikia hivyo, Kwa kuwa ndivyo Mwenyezi Mungu alipanga iwe Hivyo, Ndivyo Ambavyo alitaka agano litimie katika ulimwengu wa kiroho wa uumbaji wa Mama Samia Tangia Akiwa Tumboni mwa mama yake
Mbele za Mwenyezi Mungu kila Jambo na wakati wake na majira yake, huu ulikuwa Ni wakati wa Mama Samia, Haya Ni majira ambayo MWENYEZI MUNGU alipanga iwe Hivyo kwa Rais Samia kuinuliwa kiuongozi kuongoza nchi yetu, siyo sisi wanadamu, siyo sisi tuliyo waamuzi. Ni Mungu Ndiye Aliyempaka Rais Samia Mafuta ya Uongozi, Ni Mungu Ndiye aliyempa kibali Cha kufika Hapo. Ni Mungu Ndiye aliyemcholea Ramani yake na njia yake kufika hapo, Ni Mungu Ndiye aliyemshika mkono kumfikisha hapo, Ni Mungu Ndiye Aliyemvusha katika mabonde na milima, katika majaribu na mitihani, ni Mungu Ndiye aliye mpitisha njia ambayo wengine hawakupitishwa, Ni Mungu Ndiye aliyemlinda na kumpigania kufika hapo.
kwote alikopita na kufanya na watu kazi ilikuwa ni mipango ya Mungu katika Kumwandaa na kumfundisha namna ya kuishi na watu wa aina zote, hao watu na hayo maeneo ya kikazi ilikuwa Ni madaraja tu ya kumvusha, lakini Mipango ya Mungu ilikuwa ni kumuinua Hadi hapa Alipo kwa Sasa nafasi ya mwisho kiuongozi na kicheo. Hivyo Hakuna wakumshushaa Mama Huyu Mzalendo wa kweli.
Sasa wewe Mwanadamu Ni Nani mbele za Mwenyezi Mungu? Ni Nani aliyewahi kuongoza kwa akili zake akafanikiwa? Ni Nani awezaye kushindana na Mwenyezi Mungu? Ni Nani kwa Fedha zake Amewahi kununua Urais wa nchi hii? Ni Nani kwa kusuka makundi ya kumshambulia na kumhujumu Rais wake amewahi kufanikiwa kupata Urais wa nchi hii? Ni Nani huyo? Yupo wapi? Wangapi walikuwa na mapesa na marafiki wenye mapesa waliojaribu kununua Urais lakini hawajawahi kufanikiwa? Wangapi wamewahi kuutamani Urais lakini bado wanausikia kwenye Redio? Nani alitegemea Odinga atafika Hadi Leo hii bila kuapishwa kuwa Rais ? Vipi Hillary Clinton? Nani alitegemea mfungwa Nelson Mandela atakuja kupata heshima ya ulimwengu?
Ndugu zangu Amini Amini Nawaambieni kuwa Kama Haikupangwa Na Mwenyezi Mungu Wewe uwe kiongozi Au Rais Basi Tambua kuwa Hata Ufanyeje utaishia kusononeka tu Moyoni Mwako pale utakapoona miaka inayoyoma huku hakuna Dalili za wewe kutimiza Ndoto Zako.
Rais Samia huwezi Ukamchafua na kumpaka matope kwa watanzania na ukafanikiwa,kwa sababu watanzania tunamkubali Sana Rais Samia kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati katika kulitumikia Taifa hili, Amekuwa mkweli na muwazi Sana katika kuongoza Taifa letu, kwa kila changamoto tuipitiayo amekuwa mkweli kueleza mikakati ya kukabiliana nayo
Rai Yangu kwa Wana CCM wenzangu na Wazalendo Wa Taifa Hili Tusikubali kuchonganishwa na wenye maslahi Binafsi,Tusikubali watugawe Wala kutupandikiza mbegu za chuki, Marais wote Watano waliopita na kumtangulia Rais wetu mpendwa na kipenzi cha watanzania mama shupavu.
Rais Samia walikuwaa Ni wanaccm na waliotekeleza ilani ya ccm, Hivyo asitokee mtu wakutuletea mbegu za wale na sisi. CCM Ni moja ,Wana CCM Ni wamoja Na Chama Ni kimoja chini ya mama yetu jasiri, Hodari, shupavu, mchapa kazi, mcha Mungu, Mzalendo Na mwenye Dhamira ya Dhati na Taifa hili Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama na Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Kaka unaongea kama nani kati ya haya!!!!!Moja kukipendekeza kwa watawala!!!Pili mkerekwetwa wa CCM!!!Na tatu Mtu wa dini ambae umekaa na Mungu afu akakuambia alipanga afe magufuli then amteue mama Samia!!!Unatuchanganya wadogo zako tunakua kama hatukuelewiNdugu zangu Uongozi unatoka Kwa Mwenyezi Mungu anayetufahamu sisi Tungali katika Matumbo ya Mama zetu, Yeye Ndiye Anayejuwa hatima yetu, yeye ndiye mtoa Riziki, Neema na Baraka, yeye ndiye kiongozi mkuu wa viongozi wote hapa chini ya jua. Ndiye mtoa Maarifa na Njia kwa wale wamchao na kufuata njia zake.
Rais Samia yupo hapo ,Amefika hapo kwa kuwa Mwenyezi Mungu Alimuandikia kufika hapo. Mama Samia Hajafika hapo kwa uweza wa Mwanadamu, hajafika hapo kwa ujanja wake, kwa Akili zake, kwa Dini yake,kwa kabila lake, kwa jinsia yake, kwa nguvu zake, kwa mipango ya kiuanadamu, kwa Fedha zake, kwa ukarimu wake, upole wake, ucheshi wake, sura yake, Mwendo wake, Sauti yake, Umbo lake, kimo chake, Maono yake, mikakati na mbinu zake, familia yake na Elimu yake.
Mama Samia Amefika Hapo kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, Amefika Hapo kwa mipango ya Mwenyezi Mungu, Amefika Hapo kwa kuwa ndivyo ambavyo Mwenyezi Mungu alimwandikia hivyo, Kwa kuwa ndivyo Mwenyezi Mungu alipanga iwe Hivyo, Ndivyo Ambavyo alitaka agano litimie katika ulimwengu wa kiroho wa uumbaji wa Mama Samia Tangia Akiwa Tumboni mwa mama yake
Mbele za Mwenyezi Mungu kila Jambo na wakati wake na majira yake, huu ulikuwa Ni wakati wa Mama Samia, Haya Ni majira ambayo MWENYEZI MUNGU alipanga iwe Hivyo kwa Rais Samia kuinuliwa kiuongozi kuongoza nchi yetu, siyo sisi wanadamu, siyo sisi tuliyo waamuzi. Ni Mungu Ndiye Aliyempaka Rais Samia Mafuta ya Uongozi, Ni Mungu Ndiye aliyempa kibali Cha kufika Hapo. Ni Mungu Ndiye aliyemcholea Ramani yake na njia yake kufika hapo, Ni Mungu Ndiye aliyemshika mkono kumfikisha hapo, Ni Mungu Ndiye Aliyemvusha katika mabonde na milima, katika majaribu na mitihani, ni Mungu Ndiye aliye mpitisha njia ambayo wengine hawakupitishwa, Ni Mungu Ndiye aliyemlinda na kumpigania kufika hapo.
kwote alikopita na kufanya na watu kazi ilikuwa ni mipango ya Mungu katika Kumwandaa na kumfundisha namna ya kuishi na watu wa aina zote, hao watu na hayo maeneo ya kikazi ilikuwa Ni madaraja tu ya kumvusha, lakini Mipango ya Mungu ilikuwa ni kumuinua Hadi hapa Alipo kwa Sasa nafasi ya mwisho kiuongozi na kicheo. Hivyo Hakuna wakumshushaa Mama Huyu Mzalendo wa kweli.
Sasa wewe Mwanadamu Ni Nani mbele za Mwenyezi Mungu? Ni Nani aliyewahi kuongoza kwa akili zake akafanikiwa? Ni Nani awezaye kushindana na Mwenyezi Mungu? Ni Nani kwa Fedha zake Amewahi kununua Urais wa nchi hii? Ni Nani kwa kusuka makundi ya kumshambulia na kumhujumu Rais wake amewahi kufanikiwa kupata Urais wa nchi hii? Ni Nani huyo? Yupo wapi? Wangapi walikuwa na mapesa na marafiki wenye mapesa waliojaribu kununua Urais lakini hawajawahi kufanikiwa? Wangapi wamewahi kuutamani Urais lakini bado wanausikia kwenye Redio? Nani alitegemea Odinga atafika Hadi Leo hii bila kuapishwa kuwa Rais ? Vipi Hillary Clinton? Nani alitegemea mfungwa Nelson Mandela atakuja kupata heshima ya ulimwengu?
Ndugu zangu Amini Amini Nawaambieni kuwa Kama Haikupangwa Na Mwenyezi Mungu Wewe uwe kiongozi Au Rais Basi Tambua kuwa Hata Ufanyeje utaishia kusononeka tu Moyoni Mwako pale utakapoona miaka inayoyoma huku hakuna Dalili za wewe kutimiza Ndoto Zako.
Rais Samia huwezi Ukamchafua na kumpaka matope kwa watanzania na ukafanikiwa,kwa sababu watanzania tunamkubali Sana Rais Samia kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati katika kulitumikia Taifa hili, Amekuwa mkweli na muwazi Sana katika kuongoza Taifa letu, kwa kila changamoto tuipitiayo amekuwa mkweli kueleza mikakati ya kukabiliana nayo
Rai Yangu kwa Wana CCM wenzangu na Wazalendo Wa Taifa Hili Tusikubali kuchonganishwa na wenye maslahi Binafsi,Tusikubali watugawe Wala kutupandikiza mbegu za chuki, Marais wote Watano waliopita na kumtangulia Rais wetu mpendwa na kipenzi cha watanzania mama shupavu.
Rais Samia walikuwaa Ni wanaccm na waliotekeleza ilani ya ccm, Hivyo asitokee mtu wakutuletea mbegu za wale na sisi. CCM Ni moja ,Wana CCM Ni wamoja Na Chama Ni kimoja chini ya mama yetu jasiri, Hodari, shupavu, mchapa kazi, mcha Mungu, Mzalendo Na mwenye Dhamira ya Dhati na Taifa hili Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama na Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Kaka mbona mnatuchanganya!!!Mkuu Chakaza , kwanza ni kweli mimi japo ni Msukuma, sio tuu sio sehemu ya Sukuma Gang but I don't believe that Sukuma Gang does exist in reality, it's just a fictitious group.
Pili kuondoka mapema kwa JPM ni mpango wa Mungu, na ujio wa Samia pia ni mpango wa Mungu, akina sisi hili tulilizungumza kabla Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
Sio Mungu aliunga mkono ni Mungu mwenyewe ndio amemuita kwake na saa hizi yuko nae Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Kaka una hakika na unayosema au ni dhahania????Wewe ushakaa na watanzania wote wakakupa mawazo yao kua wanamuunga mkono raisi??Hatima yake Rais wetu mpendwa Ni njema Sana na kila mtanzania anamuombea heri Rais wetu katika kutimiza majukumu yake, Ni Rais muungwana,mcha Mungu,Mzalendo, Mkweli na mwenye Dhamira njema na Taifa hili aliyedhamilia kuinua maisha ya watanzania kiuchumi na ndio maana anaendelea kuungwa mkono na watanzania
Mmmm kaka wewe unaishi wapi mbona unatuchanganya wadogo zako!!!!Maji yapo kila sehemu na mimi nipo hapo mbagala charambe tu na hakuna maji kaka????Maji yapo kila sehemu Ila sema kwa kuwa idadi ya watu inaongezeka ndio imeleta changamoto ya kutotosheleza Mahitaji ya watu wote, kwa kutambua Hilo serikali imeongeza bajeti yake ili kutekeleza miradi ya maji maeneo mengi ya nchi yetu, hapa majuzi wewe Ni shahidi umeona Rais wetu akizindua mitambo mikubwa ya kuchimba visima virefu vya maji vitakavyo saidia katika kumaliza tatizo la maji.
Kaka mbona unatuchanganya wadogo zako yeye mama samia kakaa na wewe afu akakuambia ana hofu ya Mungu!!!Afu hao mamilioni ya watanzania uliwahesabia wapi!!Mimi ni mwanachama wa CCM ila sipendi wanafiki ambao kazi yao ni kusifia tu viongozi ili waonekane au wapate teuzi!!!Hata Mama Samia hapendezwi na hiloRais Samia Ni kiongozi Mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu Ndio sababu unaona namna anavyoungwa mkono na mamillion ya watanzania, huyo Hitler Nadhani unafahamu hatima yake kule Ujerumani na historia yake katika Taifa lake mpaka leo
Umemchana Laivu mwambie aache kujipendekeza kwa maneno mengi yasiyokuwa na tija.Kaka mbona unatuchanganya wadogo zako yeye mama samia kakaa na wewe afu akakuambia ana hofu ya Mungu!!!Afu hao mamilioni ya watanzania uliwahesabia wapi!!Mimi ni mwanachama wa CCM ila sipendi wanafiki ambao kazi yao ni kusifia tu viongozi ili waonekane au wapate teuzi!!!Hata Mama Samia hapendezwi na hilo
Kivipi?Kaka mbona mnatuchanganya!!!
Matendo ya mtu na maneno yake au kauli zake ndio yanayo kuonyesha Tabia ya mtu, kiongozi katili anatambulika kwa maneno au kauli zake na matendo yake,Kaka mbona unatuchanganya wadogo zako yeye mama samia kakaa na wewe afu akakuambia ana hofu ya Mungu!!!Afu hao mamilioni ya watanzania uliwahesabia wapi!!Mimi ni mwanachama wa CCM ila sipendi wanafiki ambao kazi yao ni kusifia tu viongozi ili waonekane au wapate teuzi!!!Hata Mama Samia hapendezwi na hilo
Sasa kaka wewe matendo ya mama samia unayajua????Au unazungumzia matendo na kauli za kwenye protoko ya uraisi!!!Kaka unatuchanganya wadogo zako ujueMatendo ya mtu na maneno yake au kauli zake ndio yanayo kuonyesha Tabia ya mtu, kiongozi katili anatambulika kwa maneno au kauli zake na matendo yake,