Mungu ndiye aliyempa Urais Mama Samia. Hawezi kushushwa na Mwanadamu mwenye chuki binafsi

Raisi Samia ni zao la wizi wa kura 2020 labda mungu wenu IBILISI ndio aliompa hayo madaraka
 

Umelipwa sh ngapi?
 
Bila shak hupi sawa kichwani,kwani nyumbani kwenu huna mama,hujazaliwa na mwanamke? Hujalelewa na mwanamke? Hujafundishwa na mwanamke? Hujakuzwa na mwanamke? Nani kakwambia uongozi Ni jinsia? Nani kakwambia kufanikiwa kiuongozi kunaangalia jinsia?
 
Raisi Samia ni zao la wizi wa kura 2020 labda mungu wenu IBILISI ndio aliompa hayo madaraka
Ulimpigia Nani kura? Kura yako ilihesabika kwa Nani? Nani alikuwa wakala wa chama chako? Alikwambia Kura yako haikuhesabika?
 
Kuna nchi Afrika mashariki inaongozwa na lipaka🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…