Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mnasifia sana ila kwenye mapungufu hamsemi na sisi wananchi tunaumia kaka!!!Sasa sisi tunawaona nyinyi kama wachumia tumbo hamtuwakilishi!!!!!!Kivipi?
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnasifia sana ila kwenye mapungufu hamsemi na sisi wananchi tunaumia kaka!!!Sasa sisi tunawaona nyinyi kama wachumia tumbo hamtuwakilishi!!!!!!Kivipi?
P
Siasa hadi kwenye maisha yetu watanzania wa kawaida kakaKivipi?
P
Raisi Samia ni zao la wizi wa kura 2020 labda mungu wenu IBILISI ndio aliompa hayo madarakaNdugu zangu Uongozi unatoka Kwa Mwenyezi Mungu anayetufahamu sisi Tungali katika Matumbo ya Mama zetu, Yeye Ndiye Anayejuwa hatima yetu, yeye ndiye mtoa Riziki, Neema na Baraka, yeye ndiye kiongozi mkuu wa viongozi wote hapa chini ya jua. Ndiye mtoa Maarifa na Njia kwa wale wamchao na kufuata njia zake.
Rais Samia yupo hapo ,Amefika hapo kwa kuwa Mwenyezi Mungu Alimuandikia kufika hapo. Mama Samia Hajafika hapo kwa uweza wa Mwanadamu, hajafika hapo kwa ujanja wake, kwa Akili zake, kwa Dini yake,kwa kabila lake, kwa jinsia yake, kwa nguvu zake, kwa mipango ya kiuanadamu, kwa Fedha zake, kwa ukarimu wake, upole wake, ucheshi wake, sura yake, Mwendo wake, Sauti yake, Umbo lake, kimo chake, Maono yake, mikakati na mbinu zake, familia yake na Elimu yake.
Mama Samia Amefika Hapo kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, Amefika Hapo kwa mipango ya Mwenyezi Mungu, Amefika Hapo kwa kuwa ndivyo ambavyo Mwenyezi Mungu alimwandikia hivyo, Kwa kuwa ndivyo Mwenyezi Mungu alipanga iwe Hivyo, Ndivyo Ambavyo alitaka agano litimie katika ulimwengu wa kiroho wa uumbaji wa Mama Samia Tangia Akiwa Tumboni mwa mama yake
Mbele za Mwenyezi Mungu kila Jambo na wakati wake na majira yake, huu ulikuwa Ni wakati wa Mama Samia, Haya Ni majira ambayo MWENYEZI MUNGU alipanga iwe Hivyo kwa Rais Samia kuinuliwa kiuongozi kuongoza nchi yetu, siyo sisi wanadamu, siyo sisi tuliyo waamuzi. Ni Mungu Ndiye Aliyempaka Rais Samia Mafuta ya Uongozi, Ni Mungu Ndiye aliyempa kibali Cha kufika Hapo. Ni Mungu Ndiye aliyemcholea Ramani yake na njia yake kufika hapo, Ni Mungu Ndiye aliyemshika mkono kumfikisha hapo, Ni Mungu Ndiye Aliyemvusha katika mabonde na milima, katika majaribu na mitihani, ni Mungu Ndiye aliye mpitisha njia ambayo wengine hawakupitishwa, Ni Mungu Ndiye aliyemlinda na kumpigania kufika hapo.
kwote alikopita na kufanya na watu kazi ilikuwa ni mipango ya Mungu katika Kumwandaa na kumfundisha namna ya kuishi na watu wa aina zote, hao watu na hayo maeneo ya kikazi ilikuwa Ni madaraja tu ya kumvusha, lakini Mipango ya Mungu ilikuwa ni kumuinua Hadi hapa Alipo kwa Sasa nafasi ya mwisho kiuongozi na kicheo. Hivyo Hakuna wakumshushaa Mama Huyu Mzalendo wa kweli.
Sasa wewe Mwanadamu Ni Nani mbele za Mwenyezi Mungu? Ni Nani aliyewahi kuongoza kwa akili zake akafanikiwa? Ni Nani awezaye kushindana na Mwenyezi Mungu? Ni Nani kwa Fedha zake Amewahi kununua Urais wa nchi hii? Ni Nani kwa kusuka makundi ya kumshambulia na kumhujumu Rais wake amewahi kufanikiwa kupata Urais wa nchi hii? Ni Nani huyo? Yupo wapi? Wangapi walikuwa na mapesa na marafiki wenye mapesa waliojaribu kununua Urais lakini hawajawahi kufanikiwa? Wangapi wamewahi kuutamani Urais lakini bado wanausikia kwenye Redio? Nani alitegemea Odinga atafika Hadi Leo hii bila kuapishwa kuwa Rais ? Vipi Hillary Clinton? Nani alitegemea mfungwa Nelson Mandela atakuja kupata heshima ya ulimwengu?
Ndugu zangu Amini Amini Nawaambieni kuwa Kama Haikupangwa Na Mwenyezi Mungu Wewe uwe kiongozi Au Rais Basi Tambua kuwa Hata Ufanyeje utaishia kusononeka tu Moyoni Mwako pale utakapoona miaka inayoyoma huku hakuna Dalili za wewe kutimiza Ndoto Zako.
Rais Samia huwezi Ukamchafua na kumpaka matope kwa watanzania na ukafanikiwa,kwa sababu watanzania tunamkubali Sana Rais Samia kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati katika kulitumikia Taifa hili, Amekuwa mkweli na muwazi Sana katika kuongoza Taifa letu, kwa kila changamoto tuipitiayo amekuwa mkweli kueleza mikakati ya kukabiliana nayo
Rai Yangu kwa Wana CCM wenzangu na Wazalendo Wa Taifa Hili Tusikubali kuchonganishwa na wenye maslahi Binafsi,Tusikubali watugawe Wala kutupandikiza mbegu za chuki, Marais wote Watano waliopita na kumtangulia Rais wetu mpendwa na kipenzi cha watanzania mama shupavu.
Rais Samia walikuwaa Ni wanaccm na waliotekeleza ilani ya ccm, Hivyo asitokee mtu wakutuletea mbegu za wale na sisi. CCM Ni moja ,Wana CCM Ni wamoja Na Chama Ni kimoja chini ya mama yetu jasiri, Hodari, shupavu, mchapa kazi, mcha Mungu, Mzalendo Na mwenye Dhamira ya Dhati na Taifa hili Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama na Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Ndugu zangu Uongozi unatoka Kwa Mwenyezi Mungu anayetufahamu sisi Tungali katika Matumbo ya Mama zetu, Yeye Ndiye Anayejuwa hatima yetu, yeye ndiye mtoa Riziki, Neema na Baraka, yeye ndiye kiongozi mkuu wa viongozi wote hapa chini ya jua. Ndiye mtoa Maarifa na Njia kwa wale wamchao na kufuata njia zake.

Bila shak hupi sawa kichwani,kwani nyumbani kwenu huna mama,hujazaliwa na mwanamke? Hujalelewa na mwanamke? Hujafundishwa na mwanamke? Hujakuzwa na mwanamke? Nani kakwambia uongozi Ni jinsia? Nani kakwambia kufanikiwa kiuongozi kunaangalia jinsia?Kiongozi wa nchi hapaswi kuwa mwanamke. (Tanzania) tunatenda dhambi kwa kumruhusu mwanamke (aendelee)kuwa kiongozi.
Mwanamke ata panic yakitokea matatizo. Mwanamke siyo reasonable. Mwanamke ana mihemuko.(emotional) Lakini muhimu ni kwamba Msahafu hautaki mwanamke awe kiongozi.
Uingereza alikuwepo Malkia haikuwepo migomo.sasa malkia ameondoka wafanyakazi wanagoma. Tena wanagoma kiasi kwamba utafikiria there is a coup detat against the king.
Swali ni kwamba why is there this difference of behaviour when a woman is keader and when a man is leader?
Wale wafanyakazi walikuwa na manung'uniko yale toka zamani,lakini wamesubiri malkia aondoke ili waweze kusema.
Funika kombe mwanaharamu apite.
Ulimpigia Nani kura? Kura yako ilihesabika kwa Nani? Nani alikuwa wakala wa chama chako? Alikwambia Kura yako haikuhesabika?Raisi Samia ni zao la wizi wa kura 2020 labda mungu wenu IBILISI ndio aliompa hayo madaraka
SijalipwaUmelipwa sh ngapi?
Akishushwa na wana (damu) urudi tena hapa wewe mwenyekiti wa chama cha mambuzi kitengo cha mitandaoni.Sijalipwa
Hawezi akashushwa na Mwanadamu,Ukiinuliwa na Mwenyezi MUNGU Huwezi ukashushwa na MwanadamuAkishushwa na wana (damu) urudi tena hapa wewe mwenyekiti wa chama cha mambuzi kitengo cha mitandaoni.
Mimi Ni mkulima Naye kula kwa jasho langu na siyo kumnyonya mtuOngezeko la machawa ni janga kubwa Kwa taifa..
Njaa Njaa Njaa
Jasho lako kwa kujipendekeza kwa mama.Mimi Ni mkulima Naye kula kwa jasho langu na siyo kumnyonya mtu
Naona nape una angaika sana...Mwenyezi MUNGU Aendelee kumlimda kumpigania na kumtetea Rais wetu
Tuliza akili yako,wapi pameandikwa nape hapoNaona nape una angaika sana...
Kazi yangu Ni kuandika ukweli,Jasho lako kwa kujipendekeza kwa mama.
Achana na huyo NAPE ni kijambio cha mamaMmmm kaka wewe unaishi wapi mbona unatuchanganya wadogo zako!!!!Maji yapo kila sehemu na mimi nipo hapo mbagala charambe tu na hakuna maji kaka????
Nape si weweTuliza akili yako,wapi pameandikwa nape hapo
Nani mh Nape hapaNape si wewe