Mungu ndiye aliyempa Urais Mama Samia. Hawezi kushushwa na Mwanadamu mwenye chuki binafsi

Kwani hao watu wameongezeka mwaka huu tu mwaka jana mbona hatukuwa na hii shida kipindi cha mwendazake acha siasa tunahitaji maji na umeme.
 
Kibaya chajitembeza.Kizuri kinajiuza. Haina Haja ya kuumiza kichwa kutambua Rais aliyepo hana uwezo anahangaika kulazimisha kukubalika hali ya kuwa uwezo wake ni mdogo hata akili zake ndogo hata kielimu ni failure
Rais Samia Ni kiongozi Bora aliyepo kwa Sasa katika Bara hili la Afrika kwa Sasa, Ni Rais shupavu mzalendo na mwenye Maono makubwa ya kimaendeleo.

Ni kiongozi aliye na dira na muelekeo unaoeleweka ,hii ndio sababu ya kuona namna tulivyo fanikiwa katika secta nyingi ndani ya muda mfupi wa uongozi wake
 
Kwani hao watu wameongezeka mwaka huu tu mwaka jana mbona hatukuwa na hii shida kipindi cha mwendazake acha siasa tunahitaji maji na umeme.
Hayo yote uwe na subira hapo ulipo,Hali ya ukame iliyoikumba nchi yetu imeleta madhara katika secta hizo, hata hivyo Tumeona mikakati ya serikali yetu Katika kukabiliana na changamoto hizo
 
Uongozi huu wa Mama Samiah ulitoka kwa Jiwe.
 
Hata Hitler aliunguwa mkono na mamilioni ya Wajerumani, pia kuna mamilioni ya wazungu wanaohusudu sera zake leo hii ila wanakosa platforms tu.
Rais Samia Ni kiongozi Mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu Ndio sababu unaona namna anavyoungwa mkono na mamillion ya watanzania,huyo Hitler Nadhani unafahamu hatima yake kule ujerumani na historia yake katika Taifa lake mpaka leo
 
Kazi ya kutafuta vyeo huwa inakufanya ukeshe kwa kuandika pumba
 
The whole election process purely human. The only alternative to that ni devilish. Watu wanaibiwa kura wewe unamleta Mungu kiwepesi hivyo.

The whole process alivyoingia madarakani na Mangu wa a scum. Labda ujitoe ufahamu tu
 
The whole election process purely human. The only alternative to that ni devilish. Watu wanaibiwa kura wewe unamleta Mungu kiwepesi hivyo. The whole process alivyoingia madarakani na Mangu wa a scum. Labda ujitoe ufahamu tu
Nani alikuibia kura yako uliyopigaa na ulimpigia Nani ukaambiwa kuwa Kura yako haijaonekana kwenye boksi
 
Hakika, Mungu ametumiwa kama ngao ya watawala wa kila aina katika muda wote wa historia ya dunia.
Mimi namzungumzia Mwenyezi Mungu aliye Hai na ambaye amemuinua Rais Samia kufika hapo alipofika kiuongozi ,maana wengine wanamtaja Mungu mdomoni halafu kumbe mioyo Yao inaabudu fedha zao na mitandao yao kuwa itawapa Urais wa kununua
 
Wewe jitoe ufahamu. Mwenzako nilisimamia uchaguzi
Hata Mimi nilisimamia uchaguzi na nilikuwa msimamizi mkuu wa kituo na nilishiriki katika uhesabuji wa Kura katika kituo changu na niliona namna watu walivyoipigia CCM Kura kwa wingi
 
Mungu anakupa Madaraka ila ukishindwa kuongoza na kuendekeza uwizi na Rushwa anawaachia wananchi waamue,yeye anakaa pembeni.

Mungu ni wa watanzania wote na si wa CCM na makada wake!
 
Mungu anakupa Madaraka ila ukishindwa kuongoza na kuendekeza uwizi na Rushwa anawaachia wananchi waamue,yeye anakaa pembeni.
Mungu ni wa watanzania wote na si wa CCM na makada wake!
Ndio maana wananchi wameendelea kuwa na Imani na CCM na serikali yake inayoongozwa na mama yetu mpendwa mama Samia. Kwa kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya kila mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…