Mbona hivyo vilio huwa hatuvioni badala yake tunaviona kwa watu wake wale wa siku zote kina nyie?
Watu hawalipi Pesa yeyote kuanzia chekechea Hadi chuo kikuu watalilia Nini?
Watu wananunua mbolea kwa Bei ndogo huku wakiuza Mazao Yao kwa Bei kubwa watalilia Nini hasa?
Watu wanaendela kufungua biashara zoa hawaporwi Pesa,hawauwawi,Wala hawafungi biashara kwa ukata watalilia Nini labda?
Watu wanapata ajira maelfu na maelfu watalilia Nini? Eti vitu vimepanda kwani mapato yameshuka?
Acha upuuzi wewe,subiria kupata majibu 2025,Hakuna anayempangia Mungu bwashee.