WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Unajifanya kipofu bado zamu yako siku moja utaomboleza tu kama Sukuma gang wanavyoomboleza leo, tuliwaambia sana wakatuita vibaraka wa mabeberu na kila kejeli za kila aina lakini leo wanaomba Mungu wao afufuke ili wapumue na wewe muda wako ukifika tutakwambia endelea kulamba viatu.Nani alikuibia kura yako uliyopigaa na ulimpigia Nani ukaambiwa kuwa Kura yako haijaonekana kwenye boksi
Nimeshasema CCM ni moja,wanaccm ni wamoja na chama ni kimojaUnajifanya kipofu bado zamu yako siku moja utaomboleza tu kama Sukuma gang wanavyoomboleza leo,tuliwaambia sana wakatuita vibaraka wa mabeberu na kila kejeli za kila aina lakini leo wanaomba Mungu wao afufuke ili wapumue na wewe muda wako ukifika tutakwambia endelea kulamba viatu.
Umesema ccm ni moja lakini hao wanaolia lia ni akina nani.Nimeshasema CCM ni moja,wanaccm ni wamoja na chama ni kimoja
Wana CCM wote Tupo kitu kimoja na tunasonga mbele kwa pamoja na Kama unategemea migogoro ndani ya CCM ili upenye Basi utakuwa unajidanganya Sana na kujichelewesha muda wakoUmesema ccm ni moja lakini hao wanaolia lia ni akina nani.
Waulize wenzio akina Kipangaspecial,Bakil Muluzi,Crimea,Sambulungu,JF Member,Stroke,Gobole wanataka nini?Wana CCM wote Tupo kitu kimoja na tunasonga mbele kwa pamoja na Kama unategemea migogoro ndani ya CCM ili upenye Basi utakuwa unajidanganya Sana na kujichelewesha muda wako
Mwendazake alikwiba ili SSH awe Rais.The whole election process purely human. The only alternative to that ni devilish. Watu wanaibiwa kura wewe unamleta Mungu kiwepesi hivyo. The whole process alivyoingia madarakani na Mangu wa a scum. Labda ujitoe ufahamu tu
Atatoka kwa Mujibu wa mipango ya Mungu sio kelele za mitandaoni zisizo na msingi.Kama Amewekwa na Mungu, pia Usimpangie Mungu akitaka kumtoa kupitia malalamiko ya wananchi.
Vilio vimetanda Nchi nzima watu wanaugulia maumivu, kundi dogo ndo linafurahia.Atatoka kwa Mujibu wa mipango ya Mungu sio kelele za mitandaoni zisizo na msingi.
Mbona hivyo vilio huwa hatuvioni badala yake tunaviona kwa watu wake wale wa siku zote kina nyie?Vilio vimetanda Nchi nzima watu wanaugulia maumivu, kundi dogo ndo linafurahia.
Mungu aliruhusu akalie kiti hicho Ili kusaidia wananchi Si kuwazamisha.
Hivyo, Tusimpangie Mungu, akimuondoa na kumuweka mwingine hatuwezi zuia kama ambavyo hatuwezi kumuondoa kama Bado Mungu hajaamua atoke.
Kiti hicho na Mahali hapo ni PATAKATIFU, Si Mahali pa kugawana vyeo na kufurahia maumivu ya Wana wa Mungu.
Ameeen.
Ikulu Ni mahali patakatifu na ndio maana tunaona namna ambavyo mh Rais wetu mpendwa mama Samia anavyopaheshimu na kupatumia Kama sehemu ya kuratibia mipango na mikakati ya kuinua maisha ya watu kwa kutatua kero na kutoa majibu kwa maswali ya watanzania wote.Vilio vimetanda Nchi nzima watu wanaugulia maumivu, kundi dogo ndo linafurahia.
Mungu aliruhusu akalie kiti hicho Ili kusaidia wananchi Si kuwazamisha.
Hivyo, Tusimpangie Mungu, akimuondoa na kumuweka mwingine hatuwezi zuia kama ambavyo hatuwezi kumuondoa kama Bado Mungu hajaamua atoke.
Kiti hicho na Mahali hapo ni PATAKATIFU, Si Mahali pa kugawana vyeo na kufurahia maumivu ya Wana wa Mungu.
Ameeen.
Sijakuelewa,Mbona hivyo vilio huwa hatuvioni badala yake tunaviona kwa watu wake wale wa siku zote kina nyie?
Watu hawalipi Pesa yeyote kuanzia chekechea Hadi chuo kikuu watalilia Nini?
Watu wananunua mbolea kwa Bei ndogo huku wakiuza Mazao Yao kwa Bei kubwa watalilia Nini hasa?
Watu wanaendela kufungua biashara zoa hawaporwi Pesa,hawauwawi,Wala hawafungi biashara kwa ukata watalilia Nini labda?
Watu wanapata ajira maelfu na maelfu watalilia Nini? Eti vitu vimepanda kwani mapato yameshuka?
Acha upuuzi wewe,subiria kupata majibu 2025,Hakuna anayempangia Mungu bwashee.
Umeme ni vitu vidogo hivyo mvua zikitengamaa hutosikia TenaSijakuelewa,
Unamaanisha hapo Magogogogoni nao wanapitia adhaa ya mgao wa umeme?
Una HAKIKA pia maji hamna hapo ofisi kubwa au wizara ya maji?
Yaani wiki ya pili mjini hamna maji tuambiwe ngombe ndo wameyanywa sio😠😠😠
Chawa mwenzio huyo usimuonee wivu na we uwe unaweka namba ya simu unapoimbaga mapambio yako mwishoniii!.Umeandika vizuri, Ila kwa nn unaweka namba ya simu?
Naye pia hukaa gizani akisubiri umeme urudi usiku wa mane kama mtaani kwetu?Ikulu Ni mahali patakatifu na ndio maana tunaona namna ambavyo mh Rais wetu mpendwa mama Samia anavyopaheshimu na kupatumia Kama sehemu ya kuratibia mipango na mikakati ya kuinua maisha ya watu kwa kutatua kero na kutoa majibu kwa maswali ya watanzania wote.