Mungu ndiye aliyempa Urais Mama Samia. Hawezi kushushwa na Mwanadamu mwenye chuki binafsi

Inawezekana una hoja ila ata rais akiona sifa zote hizo as if tumekamilika ataona ni sanaa tuu, kwangu mimi naona wanaompenda rais ni wale wanaomkosoa kwa staha maana wanaongea ukweli, Bongo njaa kali sana kila anaesifu ana lengo lake sio bure
 
pro max +++
 
Unaweza kuthibitisha pasipo na shaka haya unayosema?
Unataka uthibitisho katika lipi maana nimetoa hoja 5 hapo?

Katika zote tano hujapata kuelewa hata moja..?

Mathalani. Je, unakataa kuwa mamlaka ya u - Rais aliyo Samia Suluhu (Rais kwa sasa) yanatoka kwa Mungu..?

Kwenye hili unataka nithibitishe kwa namna gani kwa mfano maana kama huamini hili, basi tatizo ni lako kwa kutoamini kwako...!

However, nitafurahi iwapo utakuwa specific unataka uthibitisho katika hoja gani kati ya hizo zote 5...

Thanx
 
Rais Samia Suluhu ni kiongozi ambae watanzania wengi tulitamani kua nae hatumii nguvu yeye anatumia akili nyingi sana kuendesha nchi
 
Well said yani amefanya mapinduzi makubwa sana hasa katika sekta inayowalenga direct wananchi
 
Mwongo mkubwa, tangu lini Mungu akashiriki wizi wa kura? Samia ni tunda la wizi wa kura hawezi kuwa katika mpango wa Mungu, labda mungu wa mchongo
 
Mimi nimekuuliza ulimpigia Nani Kura yako na ukakuta imehesabiwa kwa Nani?

Sio kumpigia nani, hata matokeo ya kituo chetu yaliwekwa pembeni, na mawakala wakasainishwa karatasi za matokeo ambayo hayakuwepo. Na ukigowa unakamatwa na polisi na kubambikiwa kesi.

Na ushahidi upo lakini hakuna pa kwenda kushitaki.
 
Mwongo mkubwa, tangu lini Mungu akashiriki wizi wa kura? Samia ni tunda la wizi wa kura hawezi kuwa katika mpango wa Mungu, labda mungu wa mchongo
Kura yako ulimpigia Nani? Ulikuta imehesabiwa kwa Nani?
 
Hii haiondoi ukweli kwamba CCM ni wezi wa kudumu wa kura, uongozi uliopo si wa haki ni dhurma tupu - na Mwenyezi Mungu hapendi kushirikiana na watu wa dhurma.
 
Sio kumpigia nani, hata matokeo ya kituo chetu yaliwekwa pembeni, na mawakala wakasainishwa karatasi za matokeo ambayo hayakuwepo. Na ukigowa unakamatwa na polisi na kubambikiwa kesi. Na ushahidi upo lakini hakuna pa kwenda kushitaki.
Basi walaumuni mawakala wenu mliowaamini maana sisi CCM mawakala wetu walisimama imara kusimamia Kura zetu, kwa hiyo kumbe mnaogopa polisi🤣🤣🤣, Basi tutawaletea Tena polisi mkileta makelele yenu😆😆
 

Watakuja kujipinga wenyewe

Tena wale wale waliowapinga waliomtangulia

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais Samia Suluhu Hasan
 
Hana tofauti na wale wanaosema Putin ni mteule wa Mwenyezi Mungu.
Kwa Putin ni kweli aliletwa na Mungu ili kuharibu malengo dhalimu ya nchi za magharibi wakiongozwa na marekani.

kwa mfano wamagharibi wanaeneza ushoga na wanalazimisha ulimwengu kuukubali lakini Kwa kupitia Putin nchi zinazopinga hili zinapata nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…