Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
SawaWw msanii bana.
Hongera sanaNashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo ndugu zangu
Asante mkuuHongera sana
Hamna mkuuMkuu umestaafu au
Kwahiyo wote mmesharudi sio?... Na imekuaje hadi jamaa kusitisha mapigano?Asante mkuu
Basi utachoka sana, kama kila ukimaliza kazi unatoa shukraniHamna mkuu
SawaBasi utachoka sana, kama kila ukimaliza kazi unatoa shukrani
Mkuu huyo ni msanii alitudanganya amekwenda vita Kongo.Mkuu umestaafu au
SawaMkuu huyo ni msanii alitudanganya amekwenda vita Kongo.
hakunaga mwanajeshi anayejielewa kwa nidhamu zao zilizo tukuka
Huyu msanii kutwa kushinda humu mitandaoni kujichetua
pumbaavu, we unajuwa nini kuhusu wanajeshi na mitandao ya kijamiiMkuu huyo ni msanii alitudanganya amekwenda vita Kongo.
hakunaga mwanajeshi anayejielewa kwa nidhamu zao zilizo tukuka
Huyu msanii kutwa kushinda humu mitandaoni kujichetua
Kahawa.Nashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo ndugu zangu
Nashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo ndugu zangu
Sio ww ndio pumbavupumbaavu, we unajuwa nini kuhusu wanajeshi na mitandao ya kijamii
Umefukuzwa kwa kugoma kwenda vitani... Mbona huongei?Hamna mkuu
Kumbe umefanya nini???Hamna mkuu