Mungu ni mwema hatimae nimemaliza kazi salama

Mungu ni mwema hatimae nimemaliza kazi salama

Nashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo ndugu zangu
Hongera sana
 
Mkuu huyo ni msanii alitudanganya amekwenda vita Kongo.
hakunaga mwanajeshi anayejielewa kwa nidhamu zao zilizo tukuka

Huyu msanii kutwa kushinda humu mitandaoni kujichetua
pumbaavu, we unajuwa nini kuhusu wanajeshi na mitandao ya kijamii
 
Nashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo ndugu zangu
downloadfile.gif
 
Mkuu mleta mada mara hii ushaenda vitani na kurudi salama!!! Au uligoma kwenda ukafukuzwa kazi Ndiyo unasema umemaliza kazi halafu watu hawakuelewi? Fafanua wasiendelee kukuita msanii..
 
Back
Top Bottom