Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Pole mkuu! Mungu akupe uponyaji wa haraka urudi kwenye majukumu yako!
 
Pole mzee

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu cathetar haikuumi sana?, maana kwa wanaume inakuwaga mtihani naona.
Catheter ina maumivu Inauma kias hapa nimeforce nimetolewa catheter duu usipime hapa mboo inauma sababu ya mpira wa catheter wakati unatolewa........

Nataka kwenda kwenye next x ray
 
Pole sana nakushauri pia waombe wakufanyie checkup zingine mwilini

Tuna miezi kadhaa tumempoteza rafiki yetu alipata ajali kama yako akavunjika mfupa wa paja kawekewa urine catheter sijui ilikuaje wakasahau kumfanyia checkup zingine kumbe damu zinavia ndani Kwa ndani na alikua fresh kabisa tunapiga story tunabishana mipira baada ya siku tatu akafa mzee

Nakushauri tu mkuu
 
Nazidi kuogopa mkuu yaan huu mwaka nimepatikana..

Nafanyia kazi maelezo yako
 
We acha ujinga. Mungu hajakuokoa na kifo, utakufa siku yako ikifika. Amekuokoa kwani hutokufa tena?
Sema tu umenusurika kufa kwa wakati huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…