Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu! Mungu akupe uponyaji wa haraka urudi kwenye majukumu yako!Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Aliyewagonga alisimama au alikimbia?Ntapiga picha mkuu ntaziwekaa hapa nikipata wasaa
Nimevunjika mguu wa kushoto kwenye kiwiko Cha mguu na kwenye ugoko
Pia kulia Nina majeraha na maumivu sanaa ila sijavunjika mguu
Hapa sijiwez Kwa chochote ni wakubebwa
Pole mzeeAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Catheter ina maumivu Inauma kias hapa nimeforce nimetolewa catheter duu usipime hapa mboo inauma sababu ya mpira wa catheter wakati unatolewa........Mkuu cathetar haikuumi sana?, maana kwa wanaume inakuwaga mtihani naona.
Pole sana nakushauri pia waombe wakufanyie checkup zingine mwiliniAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nazidi kuogopa mkuu yaan huu mwaka nimepatikana..Pole sana nakushauri pia waombe wakufanyie checkup zingine mwilini
Tuna miezi kadhaa tumempoteza rafiki yetu alipata ajali kama yako akavunjika mfupa wa paja kawekewa urine catheter sijui ilikuaje wakasahau kumfanyia checkup zingine kumbe damu zinavia ndani Kwa ndani na alikua fresh kabisa tunapiga story tunabishana mipira baada ya siku tatu akafa mzee
Nakushauri tu mkuu
Sasa unashukuru nini?Sawa mkuu bare in mind HUJAFA HUJAUMBIKA,
NILIKUA MZIMA BUHERI MPAKA 12 ;30 NA USHEE
Saivi ni wakugeuzwa sijiwezi Kwa LOLOTE hata kutambaa siwezi....
All the best mkuu
Kwahyo atapona atarudshiwa mguu wake?Akili huna, Wewe kama humtambui Mungu ungekaa kimya, busara kitu cha bure
Anyways, Pole sana muhanga wa ajali kwa uwezo wa Mungu utapona.
Wakati wa kutolewa unahisi kama kitu cha moto kinapita kwenye njia ya mkojoCatheter ina maumivu Inauma kias hapa nimeforce nimetolewa catheter duu usipime hapa mboo inauma sababu ya mpira wa catheter wakati unatolewa..
Nataka kwenda kwenye next x ray
Mkuu,Wakati wa kutolewa unahisi kama kitu cha moto kinapita kwenye njia ya mkojo
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Jamani unaendeleaje mkuu?Mkuu,
Sio siri inauma sanaa mzee.
🙏🙏🙏🙏
We acha ujinga. Mungu hajakuokoa na kifo, utakufa siku yako ikifika. Amekuokoa kwani hutokufa tena?Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF