Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #281
Leo nilienda hospitali kuondoa P.O.P (hogo) kwa Mara ya pili nimefanikiwa kuondoa p.op nimeuona mguu wangu Tena japo hogo husababisha mzunguko wa damu usiwe sawa sawa
Lazima mguu uwe na weusi mixer dead skin na uvimbe kwa mbali nimeshauliwa niendeleze mazoezi ya kukanyagia mguu nakuendelee kujifunza kukanyagia mguu kama mtoto..
Psychological bado sijawa normal kukanyagia mguu sababu Mimi NI MWOGA KIASILI (mwoga wa matatizo) nikikanyaga naogopa mguu wangu japo najilazimisha
Asanteni wote mnao niombea na kuni wish nipone haraka I salute you guys
Dah polesana kiongoziLeo nilienda hospitali kuondoa P.O.P (hogo) kwa Mara ya pili nimefanikiwa kuondoa p.op nimeuona mguu wangu Tena japo hogo husababisha mzunguko wa damu usiwe sawa sawa
Lazima mguu uwe na weusi mixer dead skin na uvimbe kwa mbali nimeshauliwa niendeleze mazoezi ya kukanyagia mguu nakuendelee kujifunza kukanyagia mguu kama mtoto..
Psychological bado sijawa normal kukanyagia mguu sababu Mimi NI MWOGA KIASILI (mwoga wa matatizo) nikikanyaga naogopa mguu wangu japo najilazimisha
Asanteni wote mnao niombea na kuni wish nipone haraka I salute you guys
ππ Asante Sanaa kwa Dua njema mwenyezi Mungu akubarikiGood progressβ¦β¦There is light at the end of the tunnel
Asante mkuuDah polesana kiongozi
Ni habar nzuri kwa sisi ndugu zako,,,pamoja na uoga ulio nao lkn kumbuka no pain no gainLeo nilienda hospitali kuondoa P.O.P (hogo) kwa Mara ya pili nimefanikiwa kuondoa p.op nimeuona mguu wangu Tena japo hogo husababisha mzunguko wa damu usiwe sawa sawa
Lazima mguu uwe na weusi mixer dead skin na uvimbe kwa mbali nimeshauliwa niendeleze mazoezi ya kukanyagia mguu nakuendelee kujifunza kukanyagia mguu kama mtoto..
Psychological bado sijawa normal kukanyagia mguu sababu Mimi NI MWOGA KIASILI (mwoga wa matatizo) nikikanyaga naogopa mguu wangu japo najilazimisha
Asanteni wote mnao niombea na kuni wish nipone haraka I salute you guys
Kwa kuwa umeepuka kifo, jipe moyo, utapona na maisha yataendelea. Ajali haina macho.
Pole sana mkuuAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
πππππππ
Asante mkuu,Ni habar nzuri kwa sisi ndugu zako,,,pamoja na uoga ulio nao lkn kumbuka no pain no gain
Pambana chief hivyo hivyo Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia
Asante SanaPole sana mkuu
Asante Sana mkuuPole sana
Ukifanya sex ishu inakua Ni style Kuna 100% ya kujitonesha kidonda Ila Kama style haito leta shida kwenye jeraha haina shida..Nilipitia hii hali mwaka flani. Nilishauriwa nisipige. Kwa ujeuri nikapiga wakati sijapona vizuri.Nilijuta
Asante Sana mkuuPole sana Daktari( PhD)
Pole sana mkuu wangu. I hope your femur/tibia/tibia have been Remodelled successfully.Leo nilienda hospitali kuondoa P.O.P (hogo) kwa Mara ya pili nimefanikiwa kuondoa p.op nimeuona mguu wangu Tena japo hogo husababisha mzunguko wa damu usiwe sawa sawa
Lazima mguu uwe na weusi mixer dead skin na uvimbe kwa mbali nimeshauliwa niendeleze mazoezi ya kukanyagia mguu nakuendelee kujifunza kukanyagia mguu kama mtoto..
Psychological bado sijawa normal kukanyagia mguu sababu Mimi NI MWOGA KIASILI (mwoga wa matatizo) nikikanyaga naogopa mguu wangu japo najilazimisha
Asanteni wote mnao niombea na kuni wish nipone haraka I salute you guys
Asante Sanaa ndugu π kuhusu qualifications sipendeleagi ku expose kwa Sanaaa humu πPole sana mkuu wangu. I hope your femur/tibia/tibia have been Remodelled successfully.
But whats your Qualification? MD, CO, MMED?