Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #281
Leo nilienda hospitali kuondoa P.O.P (hogo) kwa Mara ya pili nimefanikiwa kuondoa p.op nimeuona mguu wangu Tena japo hogo husababisha mzunguko wa damu usiwe sawa sawa
Lazima mguu uwe na weusi mixer dead skin na uvimbe kwa mbali nimeshauliwa niendeleze mazoezi ya kukanyagia mguu nakuendelee kujifunza kukanyagia mguu kama mtoto..
Psychological bado sijawa normal kukanyagia mguu sababu Mimi NI MWOGA KIASILI (mwoga wa matatizo) nikikanyaga naogopa mguu wangu japo najilazimisha
Asanteni wote mnao niombea na kuni wish nipone haraka I salute you guys