Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Leo nilienda hospitali kuondoa P.O.P (hogo) kwa Mara ya pili nimefanikiwa kuondoa p.op nimeuona mguu wangu Tena japo hogo husababisha mzunguko wa damu usiwe sawa sawa

Lazima mguu uwe na weusi mixer dead skin na uvimbe kwa mbali nimeshauliwa niendeleze mazoezi ya kukanyagia mguu nakuendelee kujifunza kukanyagia mguu kama mtoto..

Psychological bado sijawa normal kukanyagia mguu sababu Mimi NI MWOGA KIASILI (mwoga wa matatizo) nikikanyaga naogopa mguu wangu japo najilazimisha

Asanteni wote mnao niombea na kuni wish nipone haraka I salute you guys
 
Good progress……There is light at the end of the tunnel
 
Dah polesana kiongozi
 
Ni habar nzuri kwa sisi ndugu zako,,,pamoja na uoga ulio nao lkn kumbuka no pain no gain

Pambana chief hivyo hivyo Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana mkuu
 
Nilipitia hii hali mwaka flani. Nilishauriwa nisipige. Kwa ujeuri nikapiga wakati sijapona vizuri.Nilijuta
Ukifanya sex ishu inakua Ni style Kuna 100% ya kujitonesha kidonda Ila Kama style haito leta shida kwenye jeraha haina shida..
Maana hakuna findings zinazo SEMA ukisex hauto pona
NB.
Ni Bora ku abstain sex during healing fracture ukipona utaendeleaga ulipo ishia 😊
 
Leo nilienda hospitali kuondoa P.O.P (hogo) kwa Mara ya pili nimefanikiwa kuondoa p.op nimeuona mguu wangu Tena japo hogo husababisha mzunguko wa damu usiwe sawa sawa

Lazima mguu uwe na weusi mixer dead skin na uvimbe kwa mbali nimeshauliwa niendeleze mazoezi ya kukanyagia mguu nakuendelee kujifunza kukanyagia mguu kama mtoto..

Psychological bado sijawa normal kukanyagia mguu sababu Mimi NI MWOGA KIASILI (mwoga wa matatizo) nikikanyaga naogopa mguu wangu japo najilazimisha

Asanteni wote mnao niombea na kuni wish nipone haraka I salute you guys
Pole sana mkuu wangu. I hope your femur/tibia/tibia have been Remodelled successfully.
But whats your Qualification? MD, CO, MMED?
 
Back
Top Bottom