Pole mkuu, Ila Mimi hapo umeniacha njia panda umevunjika yaan wameuchomoa au umevunjika wamekufunga machuma au umevunjika wamefunga piopio? Maana hapo nimeduwaaLeo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
Asante ni first time ever in my lifePole sana mkuu,yaani mpaka kuwekewa catheter mmmmm ni ngumu mkuu, pigana
Hii naitambua mkuu, Pole sanaUrine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..
Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
Ntapiga picha mkuu ntaziwekaa hapa nikipata wasaaPole mkuu, Ila Mimi hapo umeniacha njia panda umevunjika yaan wameuchomoa au umevunjika wamekufunga machuma au umevunjika wamefunga piopio? Maana hapo nimeduwaa
Umeadimika jamniSababu ya kukuwekea urinary catheter ni ipi?
Pole sana upone haraka.
Mkuu ukipata wasaa utatuelezea scenario nzima ilivyokua vipi kuhusu dereva wako amepona au na yeye amevunjwavunjwa?Wakushoto umevunjika mara mbili wakulia una una maumivu ila x-ray imeonyesha haujavunjika ila inauma sanaa
Pole sana mkuu,Ntapiga picha mkuu ntaziwekaa hapa nikipata wasaa
Nimevunjika mguu wa kushoto kwenye kiwiko Cha mguu na kwenye ugoko
Pia kulia Nina majeraha na maumivu sanaa ila sijavunjika mguu
Hapa sijiwez Kwa chochote ni wakubebwa
Ok, point yang sikuona haja ya wewe kuwekewa catheter wangekupa hata condom catheter.Nimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater
Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..
Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
Hii ndio inakuaje hii?condom catheter
Kuna ma brother wana love sanaa jamaaPole sana mkuu,
Ina muundo sawa na condom, ila yenyewe inakuwa na outlet ya kutoa mkojo kwenda kwenye mfuko wa kukusanya mkojo.Hii ndio inakuaje hii?
Nayeye kavunjika mguu wa kushoto sema yeye yupo ward za kawaida Mimi nipo huku private ward na maumivu sanaaMkuu ukipata wasaa utatuelezea scenario nzima ilivyokua vipi kuhusu dereva wako amepona au na yeye amevunjwavunjwa?
Aisee hapo kwa wife inabidi upate njia zuri sana ya kumtuliza laasivyo patazua tatizo jingineNayeye kavunjika mguu wa kushoto sema yeye yupo ward za kawaida Mimi nipo huku private ward na maumivu sanaa
Wife ni mjamzito miezi ni 5 Huwa anashituka nimemwambia wasimwambie japo sijawai lala nje ya nyumbani
Ndio nimetoka kuchoma dawa ya maumivu..