Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Nakuombea mifupa yako, mishipa yako, misuli yako na maeneo mengine yote uliyoumia au kuvunjika, yapone mara moja katika Jina la Yesu Kristo. Aidha, Mungu akupe amani ipitayo ufahamu wa kibinadamu na ulale usingizi mnono kuanzia sasa.Asante mkuu namaumivu sana pia pressure yangu imepanda sana na mpaka sasa sijala chochote kitu...
Akili umepata mshituko kukubali reality
Sijui kama ntaweza kula moyo wangu umejaa hofu kuu nipo macho usiku kucha mpaka muda huu...
Kuna muda natokwa na machozi
Thanks Lord ila nimejionea Kuna wards Zina wagonjwa wanaumwa zaid yangu Mimi 🙏🙏🙏
Mwili wako wote utakapoimarika kumbuka kumpa Mungu utukufu, heshima, sifa na shukrani za pekee!