Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujakatika umevunjika kwa kiswahili rahisiPole mkuu, Ila Mimi hapo umeniacha njia panda umevunjika yaan wameuchomoa au umevunjika wamekufunga machuma au umevunjika wamefunga piopio? Maana hapo nimeduwaa
Kuna kuteguka na kuvunjika unaelewa mkuu? Kuteguka unafungwa piopio kuweka mfupa Sawa baada ya mda unaenda kuondoa piopio, kuvunjika kuna mawili moja beyond repair hapo wananyofoa yaan wanakukata alafu unasubiri utaratibu mwingine hii wanawafanyia sana bodaboda wakifika tu ikigundulika ni bodaboda unatafutwa msumeno wanakata alafu kuna kuvunjika Ila unaweza kufanyiwa repair hii ndio wanaunga kwa kufunga machuma ili kuunga mfupa, umenielewa mkuu?
Pole sana ndugu yangu, nina miaka 2 sasa natumia magongo baada ya ajali kama hiyo, mifupa ilitoka kwenye femar pajani. Imenivuruga kiuchumi na kisaikolojia, get well soon 😊Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana mkuu.
Pole sana. Get well soon dear. Ushauri wangu: tujiepushe sana kupanda bodaboda. Au ikiwa lazima sana upande, chukuwa ya dereva mtu mzima, na hakikisha speed yake siyo ya kubwa, na anafuata sheria zote za barabarani. Bila kusahau kuvaa helmet.Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante mkuu namaumivu sana pia pressure yangu imepanda sana na mpaka sasa sijala chochote kitu...Pole sana mkuu.
Dreva wangu alikua yupo right dereva wa gari ndio katugonga sisi..Pole sana. Get well soon dear. Ushauri wangu: tujiepushe sana kupanda bodaboda. Au ikiwa lazima sana upande, chukuwa ya dereva mtu mzima, na hakikisha speed yake siyo ya kubwa, na anafuata sheria zote za barabarani. Bila kusahau kuvaa helmet.
Pressure imepanda kwasababu ya mawazo na stress ulizonazo.Asante mkuu namaumivu sana pia pressure yangu imepanda sana na mpaka sasa sijala chochote kitu...
Akili umepata mshituko kukubali reality
Sijui kama ntaweza kula moyo wangu umejaa hofu kuu nipo macho usiku kucha mpaka muda huu...
Kuna muda natokwa na machozi
Thanks Lord ila nimejionea Kuna wards Zina wagonjwa wanaumwa zaid yangu Mimi 🙏🙏🙏
Mara nyingi humu nawaambia watu waepuke bodaboda. Unaweza kuwa uko sawa kabisa ila kuna madereva wengi tu wa magari hawajitambui wala kujali watumiaji wengine wa barabara.Dreva wangu alikua yupo right dereva wa gari ndio katugonga sisi..
Get well soonAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]