kingpin2030
Member
- Jul 28, 2015
- 57
- 71
Pole sana mkuu. Nakuombea upone kwa haraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntapiga picha mkuu ntaziwekaa hapa nikipata wasaa
Nimevunjika mguu wa kushoto kwenye kiwiko Cha mguu na kwenye ugoko
Pia kulia Nina majeraha na maumivu sanaa ila sijavunjika mguu
Hapa sijiwez Kwa chochote ni wakubebwa
aya ya mwisho amesema "miguu" ndo nikashtuka
[emoji23]Itakuwa ana miguu miwili ya kushoto
Duh.. pole sana aisee...Nimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater
Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..
Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..