Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana mkuu..
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upone mapema
 
Wakushoto umevunjika mara mbili wakulia una una maumivu ila x-ray imeonyesha haujavunjika ila inauma sanaa

Nimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater

Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..

Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
Pole sana mkuu, Mungu akujalie upone haraka kaka.
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana ! Quick recovery
 
Pole mkuu hujafa hujaumbika, Mungu akutie wepesi upone haraka uendelee na majukumu yako ya kila siku.

Napenda kutumia wasaa huu kukusisitizia usije ukajaribu kwenda Muhimbili kwa ajili ya matibabu.

Don't Ever.!!
Kwanini na ndio hospital kuu?
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana kiongozi...
Tunakuombea, Bwana Akuhurumie, maumivu yapungue na upone, ili maisha yaendelee, Vipi Hali ya dereva....?
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana sana Mkuu.
Mungu yu Mwema wakati wote, amekuepusha na kifo, atakufanyia wepesi upone haraka.
Mshukuru kwa yote.
 
Back
Top Bottom