Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

hongera ila kumbuka kuna harusi na ndoa
nawatakia ndoa njema na mjaaliwe kizazi chema

kumbuka maneno haya

pole
ahsante
samahani
nakupenda

mkikoseana ombaneni msamaha na sameheaneni kabla hamjapanda kitandani
mnapogombana hakikisheni watoto na majirani na marafiki hawajui kuwa kuna ugomvi na mjisuluhishe wenyewe
 
Mmmmhh! Nikajua unawambia wakome kuliwa hovyo eti wavumilie subiri roho za uzizi za hao uliozini nao zianzishe vita ya kiroho utaona ndoa chungu mno..!
 
Hongera dear!hatimae sio single mom tena u have a family now..congrats kipenz may GOD bless u and your family be a good mom take care,respect u hubby and children well wish u all da best in your marriage mammie.
 
Ndoa ni nzuri sana lakini ikiwa mwanzoni, kati kati kuna kuwa na ugumu fulani hivi lakini ukisha pita furaha ya ndoa inarudi tena, hongera mleta mada hope mnaendelea kuvuka vikwazo vya hapa na pale, nasi tunaendelea kujifunza kwa walio tutangulia kwenye ndoa.
 
Kumbeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…