kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
hongera ila kumbuka kuna harusi na ndoa
nawatakia ndoa njema na mjaaliwe kizazi chema
kumbuka maneno haya
pole
ahsante
samahani
nakupenda
mkikoseana ombaneni msamaha na sameheaneni kabla hamjapanda kitandani
mnapogombana hakikisheni watoto na majirani na marafiki hawajui kuwa kuna ugomvi na mjisuluhishe wenyewe