Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As you wish brother.Acha kumzungumzia farida
Kwani anaoa domo au mke?Na Hilo domo loooh. Kweli upofu
Aliye kwambia kwamba huyo binti ni mmarekani ni nani?Hivi jina likifanana na la kilugha chako, mtu huyo tayari anakuwa msukuma?
Huyo Mmarekani Butogwabii, wewe umeshamfanya Butogwa!
Siku moja nilizikuta njemba za kisukuma zimebishana hadi fimbo zikatembea kuhusu R.i.p Madillu system mwanamuziki!
Kwamba Madillu ni jina la kisukuma yaani Madillo, kwamba huyo ni ong'wise huko Congo alienda tu kutafuta maisha.
Sasa na wewe ni walewale. Butogwabii wewe unalitohoa na kuwa Butongwa!
Unazijua gharama za kubadilisha jina la mtu bila ridhaa yake?
Halafu kwa nini ujenge matumaini ya kumuoa mtu ambaye hauelewi background yake?
Una uhakika gani kama yupo single? Pia una uhakika gani ndoano utakayomrushia itanasa?
Maswali ni mengi sana kuliko majibu juu ya dhamira yako hii.
Hayo ni maneno tu kweli ule uzi wangu mwingine walidai ana matiti makubwa mimi sikujali niliendelea kumpenda tu
Sasa hii miswali yote unamuuliza nanHivi jina likifanana na la kilugha chako, mtu huyo tayari anakuwa msukuma?
Huyo Mmarekani Butogwabii, wewe umeshamfanya Butogwa!
Siku moja nilizikuta njemba za kisukuma zimebishana hadi fimbo zikatembea kuhusu R.i.p Madillu system mwanamuziki!
Kwamba Madillu ni jina la kisukuma yaani Madillo, kwamba huyo ni ong'wise huko Congo alienda tu kutafuta maisha.
Sasa na wewe ni walewale. Butogwabii wewe unalitohoa na kuwa Butongwa!
Unazijua gharama za kubadilisha jina la mtu bila ridhaa yake?
Halafu kwa nini ujenge matumaini ya kumuoa mtu ambaye hauelewi background yake?
Una uhakika gani kama yupo single? Pia una uhakika gani ndoano utakayomrushia itanasa?
Maswali ni mengi sana kuliko majibu juu ya dhamira yako hii.
Naona umedandia treni kwa mbele eeh..Hivi jina likifanana na la kilugha chako, mtu huyo tayari anakuwa msukuma?
Huyo Mmarekani Butogwabii, wewe umeshamfanya Butogwa!
Siku moja nilizikuta njemba za kisukuma zimebishana hadi fimbo zikatembea kuhusu R.i.p Madillu system mwanamuziki!
Kwamba Madillu ni jina la kisukuma yaani Madillo, kwamba huyo ni ong'wise huko Congo alienda tu kutafuta maisha.
Sasa na wewe ni walewale. Butogwabii wewe unalitohoa na kuwa Butongwa!
Unazijua gharama za kubadilisha jina la mtu bila ridhaa yake?
Halafu kwa nini ujenge matumaini ya kumuoa mtu ambaye hauelewi background yake?
Una uhakika gani kama yupo single? Pia una uhakika gani ndoano utakayomrushia itanasa?
Maswali ni mengi sana kuliko majibu juu ya dhamira yako hii.
Acha tamaa najua huyo mtoto kweli ni wife material una haki lakini na moderator Farida vip? https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1569976/
Akujiwe sanaNahene wabheja ngwana mayoo
Sebha akujiwe