Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kubadiĺisha maisha kuna vingi vinahitajika. Sio ushauri tu, wala sio pesa tu, ila ni pamoja na kumpa elimu juu ya ndoto zake, kumpatia nyenzo mbalimbali na sehemu ambayo ataitimizia ndoto yake.Unataka kumpa ushauri tuu bila pesa? Motivational speakers kila siku wanatoa ushauri lakini wapi. Kama una nia kweli toa mitaji ya kilimo yenye tija na ushauri na uwasimamie itapendeza zaidi.
Jinsia yake?Kubadiĺisha maisha kuna vingi vinahitajika. Sio ushauri tu, wala sio pesa tu, ila ni pamoja na kumpa elimu juu ya ndoto zake, kumpatia nyenzo mbalimbali na sehemu ambayo ataitimizia ndoto yake.View attachment 2353047
Haijalishi, awe mume au mkeJinsia yake?
Ukianza kuchakata papuchi unigawie na mkmi, maana najua nyingi sana zinafuatilia uzi wako kwa karibuKila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke.
Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au asiye mwana JF, niweze kubadili hali yake ya kimaisha, nimpe moyo, abadilishe mindset atoke kwenye hali mbaya kwenda nzuri zaidi.
Nifanye mabadilklo bila kutegemea asante au ujiko au chochote kwa ndugu huyo
Mungu nisaidie nitimize ndoto zangu
Acha Upumbavu we dogo huyo mtoa Mada unamjua au umeamua kuandika pumbaUkianza kuchakata papuchi unigawie na mkmi, maana najua nyingi sana zinafuatilia uzi wako kwa karibu
Watu wana mbinu zao aisee, usipaniki kakaAcha Upumbavu we dogo huyo mtoa Mada unamjua au umeamua kuandika pumba
Watu wana mbinu zao aisee, usipaniki kaka
Ndugu huyo mtu fanya niwe mimi maana ndugu yako sielewi kabsa! Mungu akukubalie ombi lako!!Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke.
Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au asiye mwana JF, niweze kubadili hali yake ya kimaisha, nimpe moyo, abadilishe mindset atoke kwenye hali mbaya kwenda nzuri zaidi.
Nifanye mabadilklo bila kutegemea asante au ujiko au chochote kwa ndugu huyo.
Mungu nisaidie nitimize ndoto zangu.
Kutoa ni bora kuliko kupokeaNdugu huyo mtu fanya niwe mimi maana ndugu yako sielewi kabsa! Mungu akukubalie ombi lako!!
Wote tukikataa kupokea, watoaji watatoka wapi?Kutoa ni bora kuliko kupokea
AminaNdugu huyo mtu fanya niwe mimi maana ndugu yako sielewi kabsa! Mungu akukubalie ombi lako!!
Nipo hapa kiongozi, nimefulia kabisa sina fedha!Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke.
Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au asiye mwana JF, niweze kubadili hali yake ya kimaisha, nimpe moyo, abadilishe mindset atoke kwenye hali mbaya kwenda nzuri zaidi.
Nifanye mabadilklo bila kutegemea asante au ujiko au chochote kwa ndugu huyo.
Mungu nisaidie nitimize ndoto zangu.
Una wazo gani la kukufanya ujikwamue kutoka kwenye hiyo hali iliyokuelemea?Nipo hapa kiongozi, nimefulia kabisa sina fedha!