Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke.

Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au asiye mwana JF, niweze kubadili hali yake ya kimaisha, nimpe moyo, abadilishe mindset atoke kwenye hali mbaya kwenda nzuri zaidi.

Nifanye mabadilklo bila kutegemea asante au ujiko au chochote kwa ndugu huyo.

Mungu nisaidie nitimize ndoto zangu.
Kipi kinachokukwamisha kumsaidia.? Lengo la kuandika hii nyuzi nikutaka kutuaminisha kuwa una roho nzuri? Ninavyojua mtu mwenye willing ya kusaidia mtu anafanya actions inakuwa ni sehemu ya maisha yake.
 
Ndoto..... ndoto ...... ndoto.....
Ndoto ni mbegu, bado haijakomaa kiasi cha kuvunwa na kuliwa.

Ni ndoto bado
 
Back
Top Bottom